Malope kuwasili Alhamisi wiki hii tayari kwa Tamasha la Krismasi
MWIMBAJI nguli wa muziki wa Injili Afrika, Rebecca Malope anatarajia kuwasili nchini kesho saa tisa alasiri kwenye uwanja wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Tamasha la Krismasi linalotarajia kufanyika keshokutwa kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama kabla ya kuwasili kwa Malope leo watawasili watangulizi wake ambao watafika kwa ajili ya kufanya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-a1fa24mfK7c/VnwL_hLjZLI/AAAAAAADEL4/s6RDtJkbLzQ/s72-c/_MG_4580.jpg)
REBECCA MALOPE AWASILI NCHINI TAYARI KWA KUWASHA MOTO TAMASHA LA XMASS DIAMOND JUBILEE KESHO
![](http://3.bp.blogspot.com/-a1fa24mfK7c/VnwL_hLjZLI/AAAAAAADEL4/s6RDtJkbLzQ/s640/_MG_4580.jpg)
9 years ago
Mtanzania08 Dec
Rebeca Malope ndani ya Tamasha la Krismasi
NA MWANDISHI WETU
MWIMBAJI wa muziki wa injili, Rebecca Malope ambaye ni raia wa Afrika Kusini, anatarajia kuongeza nguvu katika Tamasha la Krismasi linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, alisema mwimbaji huyo atakuwa jukwaa moja na wenzake, Sarah K wa Kenya na Ephraim Sekeleti wa Zambia.
Msama alisema kamati yake inaendelea na mchakato wa kufanikisha tamasha hilo ambalo ni...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-t263lNfBSJA/VmPGyG2khaI/AAAAAAAIKYw/JV04Ez5PWCQ/s72-c/4.jpg)
Rebeca Malope kutikisa Diamond Tamasha la Krismasi
![](http://3.bp.blogspot.com/-t263lNfBSJA/VmPGyG2khaI/AAAAAAAIKYw/JV04Ez5PWCQ/s400/4.jpg)
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama muimbaji huyo atakuwa jukwaa moja na wenzake Sarah K wa Kenya na Ephraim Sekeleti wa Zambia ambao watafikisha shukrani za Watanzania baada ya kufanya uchaguzi Mkuu kwa amani na...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-CJRu5Jd26kA/VRTPpDaSWDI/AAAAAAAC2WI/F4YCAgPlysY/s72-c/rebecca-1024x1024.jpg)
Rebecca Malope, Solly kuwasili Aprili 4
![](http://3.bp.blogspot.com/-CJRu5Jd26kA/VRTPpDaSWDI/AAAAAAAC2WI/F4YCAgPlysY/s1600/rebecca-1024x1024.jpg)
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo imekamilika kwa kiasi kikubwa hivyo mashabiki wa muziki wa injili hapa nchini kujitokeza kwa wingi kufanikisha tamasha hilo...
9 years ago
Dewji Blog25 Dec
Rebecca Malope awasili nchini tayari kwa kutoa burudani, kuwashika vilivyo watanzania Diamond Jubilee leo
Rebecca Malope Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika ya Kusini akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa JNIA jana jioni tayari kutumbuiza kwenye tamasha la Krismass litakalofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam leo likishirikisha waimbaji mbalimbali wakiwemo wa nchini Tanzania kama vile Rose Muhando, Upendo Nkone, Joshua Mlelwa na wengine wengi, kushoto katika picha anayefurahia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion iliyoandaa na kumleta mwimbaji huyo...
9 years ago
Mwananchi27 Dec
Malope, Diamond waiteka Krismasi
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
REBECCA MALOPE: Malkia wa Injili Afrika, gumzo kwa mashabiki Tamasha la Pasaka 2014
JINA la Rebecca Malope si geni masikioni na machoni mwa wengi, hasa kwa wapenzi, mashabiki na wadau wa muziki wa Injili. Rebecca aliyezaliwa mwaka 1968, yu miongoni mwa waimbaji wa...
10 years ago
Dewji Blog25 Nov
Hii ni zaidi ya burudani ya Tamasha la Tigo Welcome Pack wilayani Kahama mwishoni mwa wiki
Msanii wa vichekesho Lucas Mhavile a.k.a Joti akitumbuiza kwenye uwanja wa Taifa Wilayani Kahama,wakati wa tamasha la Tigo Welcome Pack.
Msanii wa vichekesho Masanja akitumbuiza kwenye uwanja wa Taifa Wilayani Kahama,wakati wa tamasha la Tigo Welcome Pack.
Msanii wa vichekesho mpoki akitumbuiza kwenye uwanja wa Taifa Wilayani Kahama,wakati wa tamasha la Tigo Welcome Pack.
Msanii wa Bongo fleva Mwana FA akitumbuiza kwenye uwanja wa Taifa Wilayani Kahama,wakati wa tamasha la Tigo...
10 years ago
Dewji Blog17 Oct
T.I, Waje, Ash Hamman na Kimani kuwasili leo Dar kwa ajili Tamasha la Serengeti Fiesta 2014
Baada ya kuzunguka maelfu ya maili, tamasha la Serengeti Fiesta 2014 litafunga ziara yake katika viwanja vya leaders jijini Dar es Salaam kesho kutwa jumamosi.
Rapa wa kimataifa toka Marekani T.I, pamoja na Waje toka Nigeria, Ash Hamman toka Dubai na nyota mwingine wa muziki wa kizazi kipya toka nchini Kenya, Victoria Kimani wanatarajiwa kutua leo nchini kwa ajili kuburudisha katika tamasha la Serengeti Fiesta.
T.I toka Marekani, Waje wa Nigeria, Ash Hamman toka Dubai na Victoria Kimani wa...