REBECCA MALOPE AWASILI NCHINI TAYARI KWA KUWASHA MOTO TAMASHA LA XMASS DIAMOND JUBILEE KESHO
Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika ya Kusini,Rebecca Malope akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa JNIA jioni hii tayari kwa ajili ya kutumbuiza kaika tamasha la Krismass litakalofanyika ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam kesho likishirikisha waimbaji mbalimbali wakiwemo wa nchini Tanzania kama vile Rose Muhando, Upendo Nkone, Joshua Mlelwa na wengine wengi , kushoto katika picha anayefurahia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion iliyoandaa na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog25 Dec
Rebecca Malope awasili nchini tayari kwa kutoa burudani, kuwashika vilivyo watanzania Diamond Jubilee leo
Rebecca Malope Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika ya Kusini akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa JNIA jana jioni tayari kutumbuiza kwenye tamasha la Krismass litakalofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam leo likishirikisha waimbaji mbalimbali wakiwemo wa nchini Tanzania kama vile Rose Muhando, Upendo Nkone, Joshua Mlelwa na wengine wengi, kushoto katika picha anayefurahia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion iliyoandaa na kumleta mwimbaji huyo...
10 years ago
MichuziMWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI KUTOKA AFRIKA KUSINI REBECCA MALOPE AWASILI USIKU HUU KUTUMBUIZA KESHO TAMASHA LA PASAKA JIJINI DAR.
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
REBECCA MALOPE: Malkia wa Injili Afrika, gumzo kwa mashabiki Tamasha la Pasaka 2014
JINA la Rebecca Malope si geni masikioni na machoni mwa wengi, hasa kwa wapenzi, mashabiki na wadau wa muziki wa Injili. Rebecca aliyezaliwa mwaka 1968, yu miongoni mwa waimbaji wa...
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
Rebecca Malope akubali Tamasha la Pasaka
MALKIA wa muziki wa Injili nchini Afrika Kusini, Rebecca Malope, ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye Tamasha la Pasaka mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa...
11 years ago
MichuziRebecca Malope kutumbuiza tamasha la Pasaka
“Tunashukuru kwamba baada ya mapendekezo ya mashabiki tuliwasiliana na Rebecca ambaye ameonesha uungwana wa hali ya juu na kutukubalia ombi...
10 years ago
Mtanzania10 Mar
Rebecca Malope kunogesha Tamasha la Pasaka
Na Mwandishi Wetu
RAIA wa Afrika Kusini ambaye ni mwanamuziki wa injili, Rebecca Malope, amethibitisha kuwa mmoja wa waimbaji wa kimataifa watakaotumbuiza kwenye Tamasha la Pasaka litakalofanyika nchini.
Kwa mujibu wa mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, sambamba na Malope, Afrika Kusini wanatarajia kutoka waimbaji wengine wawili ambao ni Solly Mahlangu na Sipho Makabane.
Msama alisema waimbaji wengine waliokubali kutumbuiza kwenye tamasha hilo ni pamoja na Ephraim...
10 years ago
MichuziDiamond na Mzee Yusuf kuwasha moto Dar Live Krismas katika tamasha la wafalme chini ya Vodacom Tanzania, Moto mwingine wa burudani utakuwa Coco beach
9 years ago
Michuzi22 Dec
Malope kuwasili Alhamisi wiki hii tayari kwa Tamasha la Krismasi
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama kabla ya kuwasili kwa Malope leo watawasili watangulizi wake ambao watafika kwa ajili ya kufanya...