Malope, Diamond waiteka Krismasi
Nyota wa muziki wa Injili kutoka Afrika Kusini, Dk Rebecca Malope ameonyesha mfano kwa waimbaji wa muziki huo nchini baada ya kujituma, kuimba muziki huo laivu na kufanya vizuri katika tamasha la kumshukuru Mungu la Krismasi lililofanyika juzi kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziRebeca Malope kutikisa Diamond Tamasha la Krismasi
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama muimbaji huyo atakuwa jukwaa moja na wenzake Sarah K wa Kenya na Ephraim Sekeleti wa Zambia ambao watafikisha shukrani za Watanzania baada ya kufanya uchaguzi Mkuu kwa amani na...
9 years ago
Mtanzania08 Dec
Rebeca Malope ndani ya Tamasha la Krismasi
NA MWANDISHI WETU
MWIMBAJI wa muziki wa injili, Rebecca Malope ambaye ni raia wa Afrika Kusini, anatarajia kuongeza nguvu katika Tamasha la Krismasi linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, alisema mwimbaji huyo atakuwa jukwaa moja na wenzake, Sarah K wa Kenya na Ephraim Sekeleti wa Zambia.
Msama alisema kamati yake inaendelea na mchakato wa kufanikisha tamasha hilo ambalo ni...
9 years ago
Michuzi22 Dec
Malope kuwasili Alhamisi wiki hii tayari kwa Tamasha la Krismasi
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama kabla ya kuwasili kwa Malope leo watawasili watangulizi wake ambao watafika kwa ajili ya kufanya...
9 years ago
MichuziREBECCA MALOPE AWASILI NCHINI TAYARI KWA KUWASHA MOTO TAMASHA LA XMASS DIAMOND JUBILEE KESHO
9 years ago
Dewji Blog25 Dec
Rebecca Malope awasili nchini tayari kwa kutoa burudani, kuwashika vilivyo watanzania Diamond Jubilee leo
Rebecca Malope Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika ya Kusini akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa JNIA jana jioni tayari kutumbuiza kwenye tamasha la Krismass litakalofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam leo likishirikisha waimbaji mbalimbali wakiwemo wa nchini Tanzania kama vile Rose Muhando, Upendo Nkone, Joshua Mlelwa na wengine wengi, kushoto katika picha anayefurahia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion iliyoandaa na kumleta mwimbaji huyo...
11 years ago
Tanzania Daima23 Dec
Diamond amwaga Krismasi kwa watoto
STAA wa muziki wa Bongo fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ juzi alitembelea kituo cha watoto wanaoishi katika mazingira magumu kilichopo Buguruni, Dar es Salaam kuwafariji na kuwapa zawadi ya Sikukuu...
10 years ago
Mwananchi20 Dec
Diamond: Nitaanza kupiga ‘live’ Krismasi hii
9 years ago
Mtanzania15 Dec
Diamond kuanza kupiga ‘live’ Krismasi hii
Na Mwandishi Wetu
STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ pamoja na kundi lake zima la Wasafi Classic Baby (WCB), wanatarajia kuanza kupiga ‘live’ kwa kutumia vyombo nyimbo zao zote kuanzia Sikukuu ya Krismasi mwaka huu (Desemba 25) ndani ya Uwanja wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.
Akizungumza na gazeti hili, Diamond anayetamba kwa wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la Utanipenda, alisema mwaka huu umekuwa na mabadiliko makubwa kwake kimuziki...
9 years ago
Global Publishers21 Dec
Jipatie tiketi ya bure shoo ya Diamond Krismasi
Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz.
UNATAKA kwenda shoo ya Diamond, Krismasi hii? Kama ndiyo, sasa unaweza kujipatia tiketi ya bure kwenda kwenye shoo hiyo kwa kujibu maswali katika Gazeti la Uwazi kesho Jumanne pamoja na Risasi Mchanganyiko siku ya Jumatano.
Jinsi ya kushiriki, nunua gazeti lako la Uwazi au Risasi Mchanganyiko kisha jibu maswali kiufasaha ndani ya magazeti hayo katika kuponi maalum na washindi watano kila gazeti watajishindia tiketi ya bure kwenda kwenye shoo ya...