Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jipatie tiketi ya bure shoo ya Diamond Krismasi

DIAMOND (4) Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz.

UNATAKA kwenda shoo ya Diamond, Krismasi hii? Kama ndiyo, sasa unaweza kujipatia tiketi ya bure kwenda kwenye shoo hiyo kwa kujibu maswali katika Gazeti la Uwazi kesho Jumanne pamoja na Risasi Mchanganyiko siku ya Jumatano.

DIAMOND (3)Jinsi ya kushiriki, nunua gazeti lako la Uwazi au Risasi Mchanganyiko kisha jibu maswali kiufasaha ndani ya magazeti hayo katika kuponi maalum na washindi watano kila gazeti watajishindia tiketi ya bure kwenda kwenye shoo ya...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SHOO YA ZARI ALL WHITE PARTY YANUKIA, DIAMOND AJIPINDA KUHAKIKI TIKETI

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond' jana ametupia picha hii mitandaoni akihakiki tiketi kwa ajili ya shoo ya mpenzi wake Zarinah Hassan 'Zari' ya ZARI ALL WHITE PARTY itakayofanyika Ijumaa ya Mei 1, mwaka huu kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar. Staa huyo aliisindikiza picha hiyo kwa maneno haya:  "Sio kwa kiingilio hiki cha kuanzia Elf 50 hadi Milioni 3 eti nikajifanya naleta Uboss ... Mzigo Nausimamia mwenyeweee!!!...

 

10 years ago

Michuzi

The Nyama Choma Festival Dar 6 Desemba -Jipatie Tiketi Yako Sasa Kwa sh 7000 tu.

Tembelea Vituo Vya Mauzo Ujipatie Tiketi Yako Sasa.1.Samaki Samaki-Mlimani City na Posta2.Tripple 7  - Kawe3.Didis - Oysterbay4.Born 2 Shine - Mwenge

 

11 years ago

GPL

TASWIRA MBALIMBALI ZA SHOO YA KRISMASI NDANI YA DAR LIVE

Mwanamuziki wa Hip Hop kutoka Kundi la Weusi, Joh Makini, akiwapagawisha mashabiki wa Hip Hop waliofurika katika Uwanja wa…

 

11 years ago

GPL

PROFESA JAY AFANYA KWELI SHOO YA KRISMASI DAR LIVE

MwanaHip Hip mahiri nchini, Joseph Haule 'Profesa Jay' akipanda steji ya Dar Live tayari kuwapa burudani mashabiki. Profesa Jay akiwapa hi mashabiki wake wa Dar Live.…

 

9 years ago

Global Publishers

Diamond akacha shoo ya zari

hhjNasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.

MUSA MATEJA

Habari ya mjini! Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amezua utata kwa mashabiki wake baada ya kukacha kuzama kwenye pati iliyokuwa imeandaliwa na mzazi mwenzake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.

Tukio hilo lilijiri mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Guvnor jijini Kampala, Uganda ambapo wawili hao walikwenda pamoja kwa lengo la kushirikiana kwenye makamuzi ya shoo ya pati hiyo iliyokwenda kwa jina la Zari All White Ciroc Party.

12298790_913147808763757_2141814560_n

Wageni...

 

9 years ago

Mwananchi

Malope, Diamond waiteka Krismasi

Nyota wa muziki wa Injili kutoka Afrika Kusini, Dk Rebecca Malope ameonyesha mfano kwa waimbaji wa muziki huo nchini baada ya kujituma, kuimba muziki huo laivu na kufanya vizuri katika tamasha la kumshukuru Mungu la Krismasi lililofanyika juzi kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Diamond amwaga Krismasi kwa watoto

STAA wa muziki wa Bongo fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ juzi alitembelea kituo cha watoto wanaoishi katika mazingira magumu kilichopo Buguruni, Dar es Salaam kuwafariji na kuwapa zawadi ya Sikukuu...

 

10 years ago

GPL

SHOO YA DIAMOND DAR LIVE YAACHA HISTORIA

Mwanamuziki Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akipozi katika picha na mashabiki baada ya shoo ya nguvu Dar Live. Diamond akiwa na tuzo pamoja na cheti baada ya kuibuka mshindi wa shindano la Ijumaa Sexiest Bachelor.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani