Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Diamond: Nitaanza kupiga ‘live’ Krismasi hii

Muziki wa Bongo Fleva unazidi kubadilika kila kukicha, zile zama za kufanya muziki wa ‘play back’ unaanza kupotea taratibu na sasa imefika wakati wa kupiga laivu ambapo kwa staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ atalifanya hilo Sikukuu ya Krismasi mwaka huu ndani ya Dar Live, Mbagala-Zakhem jijini Dar.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Diamond kuanza kupiga ‘live’ Krismasi hii

diamond-numzNa Mwandishi Wetu

STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ pamoja na kundi lake zima la Wasafi Classic Baby (WCB), wanatarajia kuanza kupiga ‘live’ kwa kutumia vyombo nyimbo zao zote kuanzia Sikukuu ya Krismasi mwaka huu (Desemba 25) ndani ya Uwanja wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.

Akizungumza na gazeti hili, Diamond anayetamba kwa wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la Utanipenda, alisema mwaka huu umekuwa na mabadiliko makubwa kwake kimuziki...

 

11 years ago

GPL

10 years ago

GPL

DIAMOND AMSIFU DAVIDO, KRISMASI NAYE YUPO DAR LIVE

WIKI iliyopita tuliishia pale ambapo staa wa Bongo Fleva, Diamond aliachia video yake ya Number One katika uzinduzi usiyo na kiingilio alioufanya ndani ya Hoteli ya Serena jijini Dar ambapo pia alimzawadia gari, aliyekuwa mwanamuziki nguli nchini, marehemu Muhidin Maalim Gurumo.
Wiki hii tunaendelea ambapo katika kuanika maisha yake, Diamond anasema: Staa wa Bongo Fleva, Diamond. ASIFU KAMPANI YA DAVIDO
“Mwezi wa 10,...

 

9 years ago

Michuzi

Diamond awakaribisha mashabiki wake Dar Live X-mas hii

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amewaahidi shoo ya nguvu mashabiki wake na kuwataka waje kwa wingi katika shoo kali ya kufunga mwaka itakayopigwa Dar Live, Mbagala Zakhem, Dar katika Sikukuu ya X-mas na kuwa hatawaangusha. 
 Diamond anayetamba na ngoma ya Utanipenda ameyaongea hayo leo kwenye mkutano maalum uliofanyika Karume, Dar ambao ulihusisha waandishi wa habari na wapenzi wa muziki kwa ajili ya kuzungumzia shoo hiyo kubwa kuliko inayojulikana kama Funga Mwaka...

 

11 years ago

GPL

MASTAA KUFURIKA... DAR LIVE SIKU YA KRISMASI

Na Mwandishi wetu
BURUDANI juu ya burudani! Mastaa mbalimbali wa filamu wanatarajiwa kufurika kwa wingi ndani ya Ukumbi wa Dar Live Mbagala-Zakhem jijini Dar, siku ya Krismasi katika tamasha maalumu lililopewa jina la Mtoko wa Mastaa, likiambatana na shoo ya nguvu yenye mchanganyiko wa Bongo Fleva, Hip Hop na Taarabu kutoka kwa wasanii nguli wa miondoko hiyo. Wema Sepetu. Siku hiyo, mashabiki watapata nafasi ya kupiga picha...

 

9 years ago

Global Publishers

Wakali Dancers wafunika Krismasi Dar Live

dansa wakalai dancers wakali dancers wakaliKundi linalobamba Afrika Mashariki kwa miondoko ya kucheza, Wakali Dancers wakikamua jukwaani Sikukuu ya Krismasi ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar .

(PICHA: MUSA MATEJA NA RICHARD BUKOS/GPL)

 

11 years ago

GPL

TASWIRA MBALIMBALI ZA SHOO YA KRISMASI NDANI YA DAR LIVE

Mwanamuziki wa Hip Hop kutoka Kundi la Weusi, Joh Makini, akiwapagawisha mashabiki wa Hip Hop waliofurika katika Uwanja wa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani