Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanza wawasubiri Malope, Muhando

WAKAZI mbalimbali wa Jiji la Mwanza wameonyesha kumkubali mwimbaji wa kimataifa kutoka Afrika Kusini, Rebecca Malope, katika Tamasha la Pasaka linalotarajiwa kufanyika Mei 4 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Wabongo wamtaka Rose Muhando amlete Rebecca Malope

MWIMBAJI mahiri nchini, Rose Muhando amesema mashabiki wengi nchini wameomba malkia wa muziki wa Injili nchini Afrika Kusini, Rebecca Malope, awepo kwenye uzinduzi wa albamu yake ya Kamata Pindo la Yesu Agosti 3, mwaka huu.
Uzinduzi huo utafanyika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam na tayari wasanii mbalimbali nchini wameshaalikwa kushiriki.

“Nimekuwa nikipokea simu nyingi za mashabiki wangu wakitaka nimualike Rebecca, najua kuna gharama zake kubwa, hivyo kwa kushirikiana na wasaidizi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Malope atuma salamu Mwanza

MWIMBAJI wa nyimbo za injili wa kimataifa, Rebecca Malope, ametoa wito kwa wakazi wa Jiji la Mwanza na vitongoji vyake, kujitokeza kwa wingi kwenye tamasha hilo linalotarajia kufanyika Mei 4...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Malope kutikisa Mwanza Aprili 4

BAADA ya kuweka historia  katika Tamasha la Pasaka mwaka 2012, Malkia wa muziki wa injili Afrika Kusini, Rebecca Malope, anatarajia kuuinua umati wa mashabiki wa muziki huo jijini Mwanza, Aprili...

 

11 years ago

GPL

MAANDALIZI YA TAMASHA LA PASAKA YAKAMILIKA, REBECCA MALOPE KUTUMBUIZA JIJINI MWANZA

Mkurugenzi wa Msama Promotions Ltd, ambao ndio waandaji wa tamasha la Krismas na Pasaka, Bwa. Alex Msama akiongea na wanahabari katika Viwanja vya Karimjee, jijini…

 

11 years ago

Dewji Blog

MWENDELEZO WA PASAKA; Mwanamuziki Rebecca Malope kutumbuiza April 4 Jijini Mwanza

ribecca1

MALKIA wa muziki wa Injili nchini Afrika Kusini, Rebecca Malope (pichani) anatarajiwa kutua kwenye jiji la Mwanza a.k.a ROCKY CITY  April 4,ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Tamasha la Pasaka 2014

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama amesema kuwa Nyota huyo wa muziki wa nyimbo za Kiroho,ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye Tamasha hilo,ameeleza kuwa msanii huyo alipata kura nyingi kutoka kwa mashabiki waliompendekeza kutumbuiza jijini humo.

“Tunashukuru...

 

11 years ago

Michuzi

maandalizi ya tamasha la pasaka yakamilika,rebecca malope kutumbuiza jijini mwanza.

MKurugenzi wa Msama Promotions Ltd,ambao ndio waandaji wa tamasha la krismass na Pasaka,Bwa.Alex Msama amesema kuwa maandalizi ya tamasha la Pasaka linalotarajiwa kuanza kufanyika jijini Dar mnamo April,20 mwaka huu yamekamilika.


Aakizungumza na Waandishi wa habari jijini dar leo katika viwanja vya Karimjee,Msama amebainisha kuwa kila kitu kimekwishakamilika,wakiwemo wasanii mbalimbali watakaotumbuiza siku hiyo,aidha amesema kuwa pamoja na wanamuziki wa nyumbani kushiriki tamasha hilo,pia...

 

11 years ago

Michuzi

MWENDELEZO WA TAMASHA LA PASAKA;MWANAMUZIKI REBECCA MALOPE KUTUMBUIZA APRIL 4 JIJINI MWANZA

MALKIA wa muziki wa Injili nchini Afrika Kusini, Rebecca Malope anatarajiwa kutua kwenye jiji la Mwanza a.k.a ROCKY CITY  April 4,ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Tamasha la Pasaka 2014
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama amesema kuwa Nyota huyo wa muziki wa nyimbo za Kiroho,ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye Tamasha hilo,ameeleza kuwa msanii huyo alipata kura nyingi kutoka kwa mashabiki waliompendekeza kutumbuiza jijini humo.
“Tunashukuru kwamba...

 

11 years ago

GPL

MWENDELEZO WA PASAKA; MWANAMUZIKI REBECCA MALOPE KUTUMBUIZA APRIL 4 JIJINI MWANZA‏

MALKIA wa muziki wa Injili nchini Afrika Kusini, Rebecca Malope anatarajiwa kutua kwenye jiji la Mwanza a.k.a ROCKY CITY  April 4,ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Tamasha la Pasaka 2014. Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama amesema kuwa Nyota huyo wa muziki wa nyimbo za Kiroho,ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye Tamasha hilo,ameeleza kuwa msanii huyo alipata kura nyingi kutoka kwa mashabiki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani