WABONGO WAMFUTA MACHOZI MISS TZ
![](http://api.ning.com:80/files/W8k9GghxLBsgQWUHSbRtoE*Ye2Xql85JpbyDRpf4jzkyJQr0SnEyZxFhqnOnt5Ezx0UfmBmOs345Tp5t6mMXNmMXr7iLSSNX/miss.jpg)
Stori: Erick Evarist SIKU chache baada ya kupatikana kwa mshindi wa Shindano la Miss World 2014, imethibitika kuwa Wabongo walimfuta machozi mshiriki wao, Happiness Watimanywa kwa kumpigia kura nyingi zilizosababisha kuingia hatua ya Kumi Bora ya Chaguo la Watu (People’s Choice). Happiness Watimanywa akiwa na mrembo wa dunia Rolene Strauss wa Afrika Kusini. Kwenye shindano hilo lililofanyika Jumapili usiku huko London...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi07 Dec
Ubingwa wamfuta machozi Micho
9 years ago
Bongo521 Dec
Miss Universe 2015: Mc amtangaza Miss Colombia kimakosa kuwa mshindi, na baadaye kumvua taji na kumvisha mshindi halali Miss Philippines (Video/Picha)
![miss universe1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/miss-universe1-300x194.jpg)
Shindano la kumtafuta Miss Universe 2015 limefanyika Jumapili Dec.19 huko Hollywood, Marekani, ambapo Pia Alonzo Wurtzbach wa Philippines alitangazwa mshindi.
Miss Universe 2015 Pia Alonzo
Kabla ya Pia kutangazwa mshindi ilijitokeza hali ya sintofahamu, pale ambapo Mc wa tukio hilo Steve Harvey alipomtangaza kimakosa Miss Colombia kuwa ndio mshindi na kuvishwa kabisa taji.
Kwa dakika kadhaa Miss Colombia alikaa na taji hilo huku akipunga bendera ya nchi yake akionekana mwenye furaha.
Miss...
10 years ago
Vijimambo27 Feb
My Humble letter to Wabongo
Women and the hope factor! I in my humble opinion I think the hope factor is a number one killer of many women who experienced abusive in relationship. Much research has shown that women who use hope factor as their shield to continue to live in a bad relationship normally something is wrong with them. Often they think they are not good enough or not strong enough to stand on their own feet. Recently, our beloved singer Lady Jaydee admitted that some redemption was needed in her marriage....
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rhqcRsJl7aTUPE1cp*FEXTFGoGomlgd7i2ml4zm1v1T0SFmf5hae164ctnkgiMmtRr3qws9pZb0UJOxPyWS1xYFpV5eW6ZAH/1.jpg?width=650)
WABONGO SAUZI SI SALAMA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Dyivh8oZtExk9LHvePuC-8bnJhWD69-0DD*i3sDQCcrX6Ix*rJkz41rkP-G80NWDbIgBJhoA1ruzt2RGszKKBzFbpveonlWC/CHEKANAKITIME.jpg)
SIFA YA WABONGO UONGO!
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-vY7bWtvQIvk/VZHcxs7rlaI/AAAAAAAHlyE/3GSYfjnKS94/s72-c/unnamed%2B%252831%2529.jpg)
WABONGO ALL WHITE PARTY IN HOUSTON TX
![](http://4.bp.blogspot.com/-vY7bWtvQIvk/VZHcxs7rlaI/AAAAAAAHlyE/3GSYfjnKS94/s640/unnamed%2B%252831%2529.jpg)
To buy V.I.P/SECTION/BOOTH or REGULAR Advance Tickets (In Reduced Price) go HERE http://houstonwhite.eventbrite.com/?s=40265011. You have Seen Other Cities Tour Turn Up! Now Lets See what Yall got Over...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vMQ5RJcyKDB5lrF*g9zPbYEJI9qLQMWYM41ql43-TdxNYIA7M6zfPJsXMNXahB4vbUXo7v8A0NdmySHXhQkODvqOnH41pxOl/CHEKANAKITIME.jpg)
HATA UWEJE, WABONGO WATAHOJI!
11 years ago
Michuzi20 May
Ulaji kwa Wabongo UNDP
A program is about to start in Tanzania, funded by Bill Merinda Gate Foundation, for transformation of the agricultural industry. However, the Senior Program Officer / Senior Regional Advisor -East Africa, who is Kenyan and based in Seattle, has told me that they have failed to find qualified Tanzanians to fill the positions indicated below. I did not believe her because I know we have a lot of talent in the different agricultural sciences. Please help to look for the right people so we do...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
Wabongo wamtaka Malope Agosti 3
MWIMBAJI mahiri nchini, Rose Muhando, amesema mashabiki wengi nchini wameomba malkia wa muziki wa injili nchini Afrika Kusini, Rebecca Malope, awepo kwenye uzinduzi wa albamu yake ya ‘Kamata Pindo la...