Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ubingwa wamfuta machozi Micho

Addis Ababa. Kocha wa Uganda, Sredojevic Milutin ‘Micho’ amesema ubingwa wa Kombe la Chalenji kwake umempunguzia machungu ya kukosa fainali zilizopita za Mataifa ya Afrika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WABONGO WAMFUTA MACHOZI MISS TZ

Stori: Erick Evarist
SIKU chache baada ya kupatikana kwa mshindi wa Shindano la Miss World 2014, imethibitika kuwa Wabongo walimfuta machozi mshiriki wao, Happiness Watimanywa kwa kumpigia kura nyingi zilizosababisha kuingia hatua ya Kumi Bora ya Chaguo la Watu (People’s Choice). Happiness Watimanywa akiwa na mrembo wa dunia Rolene Strauss wa Afrika Kusini. Kwenye shindano hilo lililofanyika Jumapili usiku huko London...

 

10 years ago

BBCSwahili

Micho ajinasibu kwa yaliyopita

Milutin 'Micho' Sredojevic amesema timu yake, The Cranes ilicheza kwa umakini na kuwafunga wenyeji wao Taifa Stars.

 

11 years ago

BBC

2015 qualifying is tight - Micho

Uganda coach Milutin 'Micho' Sredojevic voices his concerns over the fixture schedule for the 2015 Nations Cup qualifiers.

 

11 years ago

TheCitizen

Cranes’ Micho upset by preliminaries start

Cranes coach Micho Sredojevic was yesterday taken aback by news that Uganda’s road to the 2015 Orange Africa Cup of Nations will have to take a rather longer route.

 

10 years ago

Mwananchi

Jeuri ya Micho iwazindue nyota wetu

Jumanne iliyopita, timu ya Taifa ya Uganda ‘The Cranes’ ilijitupa kwenye Uwanja wake wa Nelson Mandela uliopo Namboole kuumana na timu ya Taifa ya Gambia katika mchezo wa kujipima nguvu kujiandaa na mechi ya kufuzu kwa Fainali za Mataifa Afrika (Afcon 2017).

 

9 years ago

TheCitizen

Micho lauds his charges after win over Malawi

After booking a semi-final berth at the expense of The Flames of Malawi in the ongoing CECAFA Senior Challenge Cup, Uganda Cranes head coach Milutin Sredojevic has expressed his joy and lauded his lads.

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Habarileo

Mjumbe amwaga machozi Bungeni

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba na Kadhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Shehe Hamid Masoud Jongo jana alimwaga machozi bungeni kwa kile alichodai ni masikitiko yake kuona waasisi wa Taifa wanatukanwa na vijana wadogo wajumbe wa Bunge hilo.

 

11 years ago

GPL

YATIMA WAMTOA MACHOZI BATULI

Deogratius Mongela na Shani Ramadhani MWIGIZAJI Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amejikuta akiangua machozi baada ya kuwaona watoto yatima wa Kituo cha Sinza jijini Dar. Mwigizaji Yobnesh Yusuph ‘Batuli’. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita wakati Batuli, wanafamilia na mastaa wengine walipokwenda katika kituo hicho kutoa misaada mbalimbali ndipo aliposhindwa kujizuia baada na kuangua machozi.
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani