Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YATIMA WAMTOA MACHOZI BATULI

Deogratius Mongela na Shani Ramadhani MWIGIZAJI Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amejikuta akiangua machozi baada ya kuwaona watoto yatima wa Kituo cha Sinza jijini Dar. Mwigizaji Yobnesh Yusuph ‘Batuli’. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita wakati Batuli, wanafamilia na mastaa wengine walipokwenda katika kituo hicho kutoa misaada mbalimbali ndipo aliposhindwa kujizuia baada na kuangua machozi.
...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mlegezo ‘wamtoa shoo’

Kijana mmoja alikuwa amevalia suruali ya ‘jeans’ na shati. Lakini suruali yake alivalia chini ya makalio kiasi cha kuonyesha nusu ya nguo yake ya ndani. Wakati huo alikuwa anatembea kuelekea kituoa cha basi.

 

10 years ago

Mwananchi

Albino wamtoa chozi Kikwete

Rais Jakaya Kikwete ametokwa na machozi wakati akisikiliza wimbo ya masikitiko ya watoto wenye ulemavu wa ngozi (albino), na akaeleza kuwa ni upumbavu kuamini kuwa viungo vyao vinaleta utajiri.

 

10 years ago

GPL

BATULI KUOLEWA SOON

Stori: Gladness Mallya
GOOD news kwa mtoto mzuri Bongo Movies, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ ni kwamba anatarajia kuolewa hivi karibuni baada ya kuishi maisha ya upweke kwa muda mrefu, Risasi Jumamosi linakujuza. Msanii wa Bongo Movies, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’. Batuli ambaye ni mama wa watoto wawili, ameliambia Risasi Jumamosi kuwa kwa umri alionao, amejifunza vitu vingi katika maisha hivyo kwa kuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maruhani yamtesa Batuli

NYOTA wa filamu Bongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’, amesema kila aingiapo kwenye kazi ya kurekodi filamu, anapatwa na tatizo la kupandisha maruhani (mashetani), jambo ambalo linamkosesha raha. Akizungumza jijini Dar es...

 

10 years ago

GPL

BATULI LAIVU NA MWANAUME

Musa mateja DAH! Wakati mashabiki wake wakiamini si mtu wa ‘kurukaruka’ kivile, muigizaji mwenye mvuto wa aina yake Bongo Movies, Yobnesh Yussuph ‘Batuli’ amekwaa aibu baada ya picha zake zikimuonesha akiwa kimahaba chumbani na mchekeshaji Stan Bakora kuvuja, Ijumaa linakupa mchapo kamili. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1Ubl7KZ ...

 

11 years ago

GPL

BATULI, MTUNISI KIMEELEWEKA

Stori:Musa Mateja na Gladness Mallya
WASANII wawili wa filamu, Nice Mohamed ‘Mtunisi’ na Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ ambao walikuwa wapenzi kabla ya kuachana na mwanaume huyo kuoa, sasa wamerudiana rasmi. Staa wa filamu Bongo Yobnesh Yusuph ‘Batuli’. Kwa mujibu wa chanzo chetu kilicho jirani na wasanii hao kimesema wawili hao hivi sasa wanapika na kupakua.Kilisema baada ya kurudiana, kwa...

 

11 years ago

GPL

BATULI AHOFIA KUPORWA BWANA

MCHEZA sinema mwenye mvuto wa kipekee Bongo, Yobnesh Yusuf 'Batuli' akifunguka mambo mbalimbali alipolonga na wanahabari wa Global Publishers Ltd.

 

10 years ago

GPL

BATULI ACHEZEA SHARUBU ZA KAJALA

Imelda Mtema
STAA wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ ameonekana kuchezea ‘sharubu’ za Kajala baada kuweka picha ya kiazi kwenye mtandao wake wa kijamii wa Instagram kitu ambacho kimeonekana ni kumkejeli staa mwenzake huyo kutokana na Wema Sepetu kumuita kiazi. Staa wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’. Akichezesha taya na Amani baada ya kubanwa kwa nini aliweka picha...

 

10 years ago

GPL

BUSU LA BATULI, CHILO UTATA!

Stori: Gladness Mallya
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amezua utata wa aina yake kufuatia kunaswa akimpiga busu matata mkongwe, Ahmed Olotu ‘Mzee Chilo’. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ Baada ya picha inayowaonyesha wawili hao wakiwa ‘very close’ wakifanya tendo hilo kunaswa na paparazi wetu, paparazi wetu alimtafuta Batuli na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani