Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BUSU LA BATULI, CHILO UTATA!

Stori: Gladness Mallya
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amezua utata wa aina yake kufuatia kunaswa akimpiga busu matata mkongwe, Ahmed Olotu ‘Mzee Chilo’. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ Baada ya picha inayowaonyesha wawili hao wakiwa ‘very close’ wakifanya tendo hilo kunaswa na paparazi wetu, paparazi wetu alimtafuta Batuli na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BUSU LA WEMA, KADINDA UTATA!

Wema Sepetu na meneja wake, Martin Kadinda katika pozi tata. Stori: Mwandishi Wetu PICHA inayomuonesha mwigizaji Wema Sepetu na meneja wake, Martin Kadinda imezua utata kuwa huenda wawili hao wana zaidi ya umeneja. Baada ya picha hiyo kutupiwa kwenye mtandao wa Instragram na watu kutilia mashaka busu hilo, paparazi wetu alimvutia waya Wema, alipopatikana alijibu:
“Martin ni meneja, baby wangu kila mmoja anamjua, ni...

 

10 years ago

BBCSwahili

Busu la Kitamaduni la Wellesley,utata

Busu la kitamaduni la mbio za Boston Marathon,lampa wakati mgumu mwanamke mmoja nchini Marekani.

 

10 years ago

Bongo Movies

Mzee Chilo Aingia Chimbo

Muigizaji mkongwe katika tasnia ya filamu Tanzania, Mzee Chilo ameonyesha kuwa licha ya umri mkubwa alionao, anaendelea na kazi ya sanaa, hivi sasa akiwa katika utayarishaji wa tamthilia kubwa kabisa inayokwenda kwa jina 'Ghafla Siku Moja'.

Kazi hiyo inaendelea kwa sasa kuongeza nguvu kwa upande wa utayarishaji tamthilia hapa nchini ambao bado upo chini kufuatia wasanii wengi kujikita katika filamu ambazo huwagharimu bajeti na muda mdogo kukamilisha.

Eatv.tv

 

9 years ago

Bongo Movies

Chilo Afungukia Kupotea Tamthilia za Nyumbani

Msanii wa filamu, Mzee Chilo amedai wamiliki wa runinga nchini ndio waliosababisha kupotea kwa tamthilia za nyumbani kwa kuzikwepa na kuonesha za kigeni.

Mzee Chilo

Mzee Chilo

 

Muigizaji huyo ambaye pia ni mmiliki wa kampuni ya Pilipili Entertainment, ameiambia Bongo5 kuwa hali hiyo imesababisha wazalishaji wa filamu nchini kukaa na kazi zao ndani bila kuwa na sehemu za kuzipeleka.

“Kilichopoteza tamthilia zetu ni runinga zetu, wakawa wanaamua kuonesha tamthilia za kigeni sijui kwao ndio zilikuwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Chilo: Going Bongo inastahili tuzo zaidi

Mwigizaji wa filamu, Chilo ametaja sababu tatu zinazoweza kuifanya filamu ya Going Bongo kushinda tuzo zaidi, ambazo ni maandalizi ya muda mrefu, kuona mbali na waigizaji kutambua kazi yao.

 

11 years ago

GPL

MZEE CHILO AWATOLEA UVIVU WASANII

Na Brighton Masalu
MSANII mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo, Ahmed Ollotu ‘Mzee Chilo’ amewatolea uvivu wasanii wasiopenda kushirikiana na wenzao katika matatizo na kuwaonya kuwa tabia hiyo si nzuri kwani ipo siku itawaponza. Ahmed Ollotu ‘Mzee Chilo’. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni katika mahojiano maalumu, Chilo aliyejizolea heshima na umaarufu mkubwa katika fani hiyo, alikiri kuwa...

 

9 years ago

Bongo Movies

Mzee Chilo: Going Bongo Inastahili Tuzo Zaidi

Mwigizaji wa filamu, Chilo ametaja sababu tatu zinazoweza kuifanya filamu ya Going Bongo kushinda tuzo zaidi, ambazo ni maandalizi ya muda mrefu, kuona mbali na waigizaji kutambua kazi yao.

Mwigizaji huyo, ambaye jina lake halisi ni Ahmed Olutu, alisema inawezekana mambo mengine yamo ndani ya maandalizi, lakini kiuhalisia kila jambo linajitegemea, kwa sababu unaweza kuandaa kila kitu lakini waigizaji wakawa hawatambui thamani ya ulichokiandaa na kufanya mzaha katika kazi.

Chilo ni miongoni...

 

10 years ago

Bongo5

Mzee Chilo asema filamu ya ‘Going Bongo’ imemfunza mengi

Msanii wa filamu nchini, Ahmed Olotu maarufu kama Mzee Chilo, amesema kuigiza ndani ya filamu ya Going Bongo kumemfunza mambo mengi huku akidai kuwa amegundua filamu nyingi za bongo watu wanakurupuka. Mzee Chilo (kulia) akiwa na muigizaji mkuu wa filamu ya Going Bongo, Ernest ‘Napoleon’ Rwandalla Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni katika uzinduzi wa filamu […]

 

10 years ago

GPL

MIAKA 10 KWENYE GEMU MZEE CHILO: SANAA HAILIPI!

UKIWATAJA wasanii wakongwe wa tasnia ya filamu wenye umri mkubwa na majina Bongo, hutakosa kumtaja nguli wa filamu, Ahmed Olotu maarufu kama ‘Mzee Chilo.’ Nguli wa filamu, Ahmed Olotu maarufu kama ‘Mzee Chilo.’ Mkongwe huyu mwenye miaka 65 aliyejikita kwenye tasnia ya filamu tangu miaka 10 iliyopita na kujipatia umaarufu mkubwa kupitia Tamthiliya ya Jumba la Dhahabu iliyokuwa ikirushwa na kituo cha TBC...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani