BUSU LA WEMA, KADINDA UTATA!
![](http://api.ning.com:80/files/sNGui7dfNNaliI*GLhAW8K6voDbGYWwQZm3qRUYmqhdSQthvZBLOO5KOodWAl9ddIcMKK7d16RXxafTz2ZFM2AmT0xkfwUj-/martinnawema.jpg)
Wema Sepetu na meneja wake, Martin Kadinda katika pozi tata. Stori: Mwandishi Wetu PICHA inayomuonesha mwigizaji Wema Sepetu na meneja wake, Martin Kadinda imezua utata kuwa huenda wawili hao wana zaidi ya umeneja. Baada ya picha hiyo kutupiwa kwenye mtandao wa Instragram na watu kutilia mashaka busu hilo, paparazi wetu alimvutia waya Wema, alipopatikana alijibu: “Martin ni meneja, baby wangu kila mmoja anamjua, ni...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*EqvtGjmCN7ap*qh7MK2xATlzcXfXzl5Bnk-EMeCEycfi*SsEezXWA*b-iL1EHDZghx-wAv889s015nJ2yvwYXP7kM0Dwual/chilo.jpg)
BUSU LA BATULI, CHILO UTATA!
10 years ago
BBCSwahili05 May
Busu la Kitamaduni la Wellesley,utata
10 years ago
Bongo Movies28 Apr
Kadinda: Sipendi ‘Drama’ za Wema, Team Wema Msinitusi
Meneja wa staa mrembo, mjasiliamali na mwigizaji wa filamu, Wema Sepetu , Martin Kadinda ametoboa kuwa anapenda kila kitu kuhusu Wema isipokuwa ‘drama’ zake na kuwasihi watu ambao ni mashabiki na watetezi wa Wema Sepetu kwa kila jambo huko mtandaoni maarufu kama Team Wema wasimtukane .
Meneja huyo ambaye ni mbunifu wa mavazi aliyasema hayo hivi juzi kati kwenye ukursa wake mtandao mara baada ya kubandika picha ya Wema akiwa ndani ya ofisi ya Hospitali ya kimataifa ambayo imeingia...
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Busu la Wema Lamdatisha JB
Waigizaji nguli wa sinema za Kibongo, Jacob Stephen na mwenzake Wema Sepetu ‘Madam’.
Mwandishi wetu
MKONGWE kwenye anga la sinema za Kibongo, Jacob Stephen ameeleza jinsi alivyodatishwa na busu la mwigizaji mwenzake Wema Sepetu ‘Madam’ wakati wakirekodi sinema yake mpya iitwayo Chungu cha Tatu.
JB alisema licha ya kuwa busu hilo lilikuwa katika moja ya scene ya filamu hiyo iliyoingia sokoni Jumatatu iliyopita, lakini lilimfanya akose amani kutokana na Wema alivyolipiga kwa mbwembwe na...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pwNUcGVK-dUo2SW8mEnJrha5sujSoBlZ43IFTlM7z-0jDgL041ZFTXyj18eZbw41g-auSwxUVFhtG4kdZ1Spoci-yzQqpgQX/Wema.gif?width=650)
BUSU LA WEMA, MAKAMBA MH!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MOC7BqAcxPv7bgMctJAOp*3aj3SD*CUQS7tCv1wesyneddiglLAYKsM0c1fvSyoRTimahG2xFc1grNQka*hOjjUs0wsIJ9zA/kadinda.jpg)
KADINDA: NILITAMANI WEMA AWE WANGU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akTtDmgqr5dAzMNHpJcWCFgk*50VPMaC-iDMKTClqySPWoqaW5GK9lW3ZfD9rvYBsMkfUDCjVkFOaAKLFO6etpvU/kadinda.jpg)
PICHA ZA AUNT, WEMA, KADINDA ZATIBUA SWAUMU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q7T2q86GkzXwNflOhDKo5JHZ4bTAXK8PPtRa40dfkvPRRCCMTzMl8bdJ0FxFrM**V8JlL-ovgW63disT51sKb6dCDUsjpKcJ/jini.jpg)
BAADA YA KADINDA, WEMA AMSHUSHIA MABUSU MTANGAZAJI