BAADA YA KADINDA, WEMA AMSHUSHIA MABUSU MTANGAZAJI
![](http://api.ning.com:80/files/Q7T2q86GkzXwNflOhDKo5JHZ4bTAXK8PPtRa40dfkvPRRCCMTzMl8bdJ0FxFrM**V8JlL-ovgW63disT51sKb6dCDUsjpKcJ/jini.jpg)
Stori: Mwandishi Wetu UTAMU kolea! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ametengeneza kichwa cha habari kwa mara nyingine baada ya picha inayomuonesha akimshushia mabusu Mtangazaji wa East Africa Television ‘EATV’, Tonny Albert ‘T-bway 260’ kunaswa. Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu akimshushia mabusu Mtangazaji wa East Africa Television ‘EATV’, Tonny Albert ‘T-bway 260’...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies28 Apr
Kadinda: Sipendi ‘Drama’ za Wema, Team Wema Msinitusi
Meneja wa staa mrembo, mjasiliamali na mwigizaji wa filamu, Wema Sepetu , Martin Kadinda ametoboa kuwa anapenda kila kitu kuhusu Wema isipokuwa ‘drama’ zake na kuwasihi watu ambao ni mashabiki na watetezi wa Wema Sepetu kwa kila jambo huko mtandaoni maarufu kama Team Wema wasimtukane .
Meneja huyo ambaye ni mbunifu wa mavazi aliyasema hayo hivi juzi kati kwenye ukursa wake mtandao mara baada ya kubandika picha ya Wema akiwa ndani ya ofisi ya Hospitali ya kimataifa ambayo imeingia...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sNGui7dfNNaliI*GLhAW8K6voDbGYWwQZm3qRUYmqhdSQthvZBLOO5KOodWAl9ddIcMKK7d16RXxafTz2ZFM2AmT0xkfwUj-/martinnawema.jpg)
BUSU LA WEMA, KADINDA UTATA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MOC7BqAcxPv7bgMctJAOp*3aj3SD*CUQS7tCv1wesyneddiglLAYKsM0c1fvSyoRTimahG2xFc1grNQka*hOjjUs0wsIJ9zA/kadinda.jpg)
KADINDA: NILITAMANI WEMA AWE WANGU
10 years ago
Bongo Movies19 Jun
Kadinda: Wema Anachangamoto Hii Kwenye Siasa
Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amesema anaamini kuwa muigizaji huyo anaweza kuwa kiongozi mzuri japo changamoto inayomkabili ni kubadilisha mawazo ya watu juu yake hasa kutokana na maisha yake ya ustaa na mapenzi.
Martin ameiambia Bongo5 kuwa kinachotakiwa sasa ni kuwabadili watu waanze kumchukulia kama mwanamke anayeweza kuwa kiongozi.
“Watu wengi wametokea kumsupport kwa sababu walikuwa wanamsikia baba yake akimtaka aingie kwenye siasa, na wengine walikuwa wanamtaka Wema aingie...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akTtDmgqr5dAzMNHpJcWCFgk*50VPMaC-iDMKTClqySPWoqaW5GK9lW3ZfD9rvYBsMkfUDCjVkFOaAKLFO6etpvU/kadinda.jpg)
PICHA ZA AUNT, WEMA, KADINDA ZATIBUA SWAUMU
9 years ago
Bongo531 Dec
Kadinda ataja mipango mipya kwa Wema Sepetu
![wemaa na kadinda](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/08/wemaa-na-kadinda-200x198.png)
Meneja Wema Sepetu, Martin Kadinda amesema mpango alionao ni kumtoa mwanadada huyo katika drama na kumfanya awe mfanyabiashara mkubwa mwaka 2016.
Kadinda ambaye pia ni mbunifu wa mavazi, ameiambia Bongo5 kama Wema akiweza kubadilika na kuacha drama, atakuwa na mafanikio makubwa.
“Wema is a business woman, kitu ambacho nitakifanya ni kuhakikisha anasimama kama mfanyabiashara,” alisema.
“Kuna kipindi tulikuwa tayari tumeondoka kwenye drama na mimi nikasimama na kazi zangu nyingine akarudi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwkgF7aJ*SSkQlbL83hLXTkj*u275b2s641kP8gnclEzIK6Zh5dUtWe09tRyhNRqERH4ooQe9L9*GC6EQKcq0*wD/KADINDA.jpg?width=650)
MARTIN KADINDA: ‘KUMMENEJI’ WEMA SHUGHULI PEVU
10 years ago
Bongo Movies22 Jan
Martin Kadinda Akanusha Habari ya Wema Kupeleka Diamond Polisi
Meneja wa mwigizaji Wema Sepetu, Martnin Kadinda amekaunsha habari ya Wema kumpeleka polisi Diamond kwa kumtapeli shilingi milioni 10, iliyochapishwa leo kwenye Gazeti la Mtanzania.
Martin amesema kuwa Wema na Diamond hawadaiani chochote na kwamba habari hizo ni za uongo. “Unajua tatizo ni kwamba hatujajua source ni nani,” amesema Martin. “Kwa sababu taarifa
ikishaingia kwenye social network everybody posts, kwahiyo sisi tunamtafuta nani ameianzisha hiyo stori. “We don’t have any issue with...