Kadinda: Wema Anachangamoto Hii Kwenye Siasa
Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amesema anaamini kuwa muigizaji huyo anaweza kuwa kiongozi mzuri japo changamoto inayomkabili ni kubadilisha mawazo ya watu juu yake hasa kutokana na maisha yake ya ustaa na mapenzi.
Martin ameiambia Bongo5 kuwa kinachotakiwa sasa ni kuwabadili watu waanze kumchukulia kama mwanamke anayeweza kuwa kiongozi.
“Watu wengi wametokea kumsupport kwa sababu walikuwa wanamsikia baba yake akimtaka aingie kwenye siasa, na wengine walikuwa wanamtaka Wema aingie...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies28 Apr
Kadinda: Sipendi ‘Drama’ za Wema, Team Wema Msinitusi
Meneja wa staa mrembo, mjasiliamali na mwigizaji wa filamu, Wema Sepetu , Martin Kadinda ametoboa kuwa anapenda kila kitu kuhusu Wema isipokuwa ‘drama’ zake na kuwasihi watu ambao ni mashabiki na watetezi wa Wema Sepetu kwa kila jambo huko mtandaoni maarufu kama Team Wema wasimtukane .
Meneja huyo ambaye ni mbunifu wa mavazi aliyasema hayo hivi juzi kati kwenye ukursa wake mtandao mara baada ya kubandika picha ya Wema akiwa ndani ya ofisi ya Hospitali ya kimataifa ambayo imeingia...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Uf5Jdma8M3241BYZfcII5076gpdmu-9P2YI8q0O6YQJRLwIpCwxm5sNQdHu8w9ZEvgM43uoTjbiRq7ExyIWhwyxbTwTDwCPA/BACKUWAZI.jpg?width=650)
VURUGU KWENYE KAMPENI ZA UCHAGUZI HII SIYO SIASA
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/DfH9uRjW8vE/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies18 Jun
Wema: Baba Aliniambia Niingie Kwenye Siasa, Haya Sasa Naingia Vitani, Sitakubali Kushindwa
Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ambaye ametangaza nia kuwania ubunge wa Viti Maalum kupitia CCM ameandika hayo kwenye ukursa wake Instagram mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu ya zamani akiwa na mama yake pamoja na Marehemu baba yake.
"Naanza kwa kusema Alhamdulillah kwa kufikia hapa nilipo na nawashkuru sana wazazi wangu kwa kunileta duniani na kunilea katika maadili mazuri.
Nawashkuru pia kwa kunipa Elimu na kunipa chochote nilichokitaka but more over kwa kunipa support kubwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sNGui7dfNNaliI*GLhAW8K6voDbGYWwQZm3qRUYmqhdSQthvZBLOO5KOodWAl9ddIcMKK7d16RXxafTz2ZFM2AmT0xkfwUj-/martinnawema.jpg)
BUSU LA WEMA, KADINDA UTATA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MOC7BqAcxPv7bgMctJAOp*3aj3SD*CUQS7tCv1wesyneddiglLAYKsM0c1fvSyoRTimahG2xFc1grNQka*hOjjUs0wsIJ9zA/kadinda.jpg)
KADINDA: NILITAMANI WEMA AWE WANGU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/c2nk1pk6akTtDmgqr5dAzMNHpJcWCFgk*50VPMaC-iDMKTClqySPWoqaW5GK9lW3ZfD9rvYBsMkfUDCjVkFOaAKLFO6etpvU/kadinda.jpg)
PICHA ZA AUNT, WEMA, KADINDA ZATIBUA SWAUMU
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q7T2q86GkzXwNflOhDKo5JHZ4bTAXK8PPtRa40dfkvPRRCCMTzMl8bdJ0FxFrM**V8JlL-ovgW63disT51sKb6dCDUsjpKcJ/jini.jpg)
BAADA YA KADINDA, WEMA AMSHUSHIA MABUSU MTANGAZAJI
9 years ago
Bongo531 Dec
Kadinda ataja mipango mipya kwa Wema Sepetu
![wemaa na kadinda](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/08/wemaa-na-kadinda-200x198.png)
Meneja Wema Sepetu, Martin Kadinda amesema mpango alionao ni kumtoa mwanadada huyo katika drama na kumfanya awe mfanyabiashara mkubwa mwaka 2016.
Kadinda ambaye pia ni mbunifu wa mavazi, ameiambia Bongo5 kama Wema akiweza kubadilika na kuacha drama, atakuwa na mafanikio makubwa.
“Wema is a business woman, kitu ambacho nitakifanya ni kuhakikisha anasimama kama mfanyabiashara,” alisema.
“Kuna kipindi tulikuwa tayari tumeondoka kwenye drama na mimi nikasimama na kazi zangu nyingine akarudi...