Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wema: Baba Aliniambia Niingie Kwenye Siasa, Haya Sasa Naingia Vitani, Sitakubali Kushindwa

Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ambaye ametangaza nia kuwania ubunge wa Viti Maalum kupitia CCM ameandika hayo kwenye ukursa wake Instagram mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu ya zamani akiwa na mama yake pamoja  na Marehemu baba yake.

"Naanza kwa kusema Alhamdulillah kwa kufikia hapa nilipo na nawashkuru sana wazazi wangu kwa kunileta duniani na kunilea katika maadili mazuri.

Nawashkuru pia kwa kunipa Elimu na kunipa chochote nilichokitaka but more over kwa kunipa support kubwa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WEMA, AUNT, YOTE HAYA ILI IWEJE SASA?

MIMI ni Mmatengo, kabila moja kubwa katika mkoa wa Ruvuma, lakini lisilo maarufu, tunapatikana katika wilaya kubwa pia, inaitwa Mbinga. Idadi kubwa ya wamatengo ni wakristo, tena wa madhehebu ya Roman Catholic.
Katika moja ya vitu ambavyo wanakijiji wenzangu wanaviheshimu sana, ni makaburi. Wenyewe wanaita Shamba la Bwana. Ili kuonyesha heshima hiyo, makaburi yamepewa ‘ofa’ ya kujengwa mbali kabisa na makazi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Wema Sepetu sasa rasmi katika siasa

Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu (pichani kushoto akiwa na mama yake), ametangaza rasmi nia yake ya kutaka kugombea ubunge wa Viti Maalumu Singida Mjini, kupitia tiketi ya CCM.

 

9 years ago

Bongo Movies

Wakati Baadhi Ya Wasanii wa Bongo Movies Wamejikita Kwenye Siasa, Gabo Ana Haya

Mcheza filamu Salim Ahmed ‘Gabo’ amesema sanaa haitakufa  licha la wimbi la wasanii wake  kujikita katika maswala ya siasa kwa sasa, kwasababau wapo amabo wameamua kuiendeleza kwa kwenda mbele.

Gabo amesema pamekuwa na wasiwasi  kwamba fani ya filamu haitaweza  tena kuwa pale ilipokuwa baada ya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwezi ujao kutokana na wasanii wengi kuwania kuingia Bungeni  na chuki baina yao.

Maishani kila mmoja ana maamuzi yake, alisema Gabo , na ndiyo  maana ana chofikieria...

 

10 years ago

Bongo Movies

Kadinda: Wema Anachangamoto Hii Kwenye Siasa

Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amesema anaamini kuwa muigizaji huyo anaweza kuwa kiongozi mzuri japo changamoto inayomkabili ni kubadilisha mawazo ya watu juu yake hasa kutokana na maisha yake ya ustaa na mapenzi.

Martin ameiambia Bongo5 kuwa kinachotakiwa sasa ni kuwabadili watu waanze kumchukulia kama mwanamke anayeweza kuwa kiongozi.

“Watu wengi wametokea kumsupport kwa sababu walikuwa wanamsikia baba yake akimtaka aingie kwenye siasa, na wengine walikuwa wanamtaka Wema aingie...

 

9 years ago

Bongo5

Young Killer: ‘Muziki ni mkombozi kwenye familia yangu’, haya ni mafanikio aliyoyapata hadi sasa

Kwa Young Kiler muziki ni mkombozi mkubwa si tu kwake binafsi, bali pia kwa familia yake nzima. “Muziki ndio umefanya hadi sasa hivi familia yangu inaendelea kusurvive,” Young Killer alikiambia kipindi cha Chill na Sky. “Muziki ndio unatoa hata mtaji kwa dada zangu na mama yangu sasa hivi namjengea nyumba na ipo katika hatua nzuri. […]

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Haya yote ya nini JK wakati nchi haiko vitani?

. Natatizwa sana kuona Serikali ya KIkwete ikijiimarisha “kiulinzi” kupitia Jeshi, Polisi na hata Usalama wa Taifa eti kudhibiti na kuzuia machafuko wakati wa uchaguzi mkuu. Serikali imeweka majesho yote kwenye Red alert, polisi wamekabidhiwa magari […]

The post Haya yote ya nini JK wakati nchi haiko vitani? appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Bongo5

Picha: Si Baba Malcom tu, Nikki Mbishi sasa ni Baba Nathan pia!!

Hivi karibuni rapper Nikki Mbishi aliongeza member mwingine kwenye familia yake. Nikki akiwa na mwanae, Nathan Rapper huyo ana amepata mtoto mwingine wa kiume aitwaye Nathan. Tayari rapper huyo ana mtoto mwingine wa kiume aitwaye Malcom. Mama Nathan ameandika: Together God gave us Nathan!! yes he is his father no more questions!! Have a good […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani