Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wema Sepetu sasa rasmi katika siasa

Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu (pichani kushoto akiwa na mama yake), ametangaza rasmi nia yake ya kutaka kugombea ubunge wa Viti Maalumu Singida Mjini, kupitia tiketi ya CCM.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

HONGERA WEMA SEPETU, SASA LINDA HESHIMA!

Wema Sepetu akiwa na tuzo pamoja na kitita cha shilingi milioni moja alichopatiwa na GPL kwa kuibuka Ijumaa Sexiest Girl 2013/14. KWAKO, Wema Sepetu, staa wa ukweli unayeng’ara kimataifa. Sina wasiwasi nikisema hivyo maana namaanisha.…

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Wema Sepetu Kwenye Uzinduzi Rasmi wa Mitsubishi ASX

Hizi ni baadhi ya picha  za mrembo na staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu hapo jana usiku  katika uzinduzi rasmi  wa gari la kampuni ya Mitsubishi aina ya ASX  akiwa kama balozi.

Hivi karibuni Wema Sepetu na mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo, walipata shavu la kutengeneza tangazo la  gari hilo jipya  ambapo kwenye tangazo la gari hilo, mastaa hao wenye ushawishi mkubwa wanaonekana wakisifia vitu mbalimbali vilivyomo kwenye gari hilo.

Hongera sana Wema na team yako kutoka Endless...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wema afurahi kukubalika aanza safari rasmi ya siasa

DSC00633

Mgombea nafasi ya ubunge viti maalum CCM mkoa wa Singida, Wema Sepetu, akisindikizwa kwa maandamano kuelekea ukumbi wa mkutano wa kanisa la katoliki mjini Singida, kushiriki zoezi la uchaguzi wa kuchagua wana CCM wawili watakaoshika nafasi za ubunge viti maalum.

DSC00637

Mgombea nafasi ya ubunge viti maalum CCM mkoa wa Singida, Wema Sepetu, akiwa na na mgombea mwenzake Sara Mwambu, wakipokelewa kwenye lango la kuingilia kwenye  ukumbi wa mkutano wa kanisa la katoliki mjini Singida, kwa ajili ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema: Baba Aliniambia Niingie Kwenye Siasa, Haya Sasa Naingia Vitani, Sitakubali Kushindwa

Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ambaye ametangaza nia kuwania ubunge wa Viti Maalum kupitia CCM ameandika hayo kwenye ukursa wake Instagram mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu ya zamani akiwa na mama yake pamoja  na Marehemu baba yake.

"Naanza kwa kusema Alhamdulillah kwa kufikia hapa nilipo na nawashkuru sana wazazi wangu kwa kunileta duniani na kunilea katika maadili mazuri.

Nawashkuru pia kwa kunipa Elimu na kunipa chochote nilichokitaka but more over kwa kunipa support kubwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani