Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Wema Sepetu Kwenye Uzinduzi Rasmi wa Mitsubishi ASX

Hizi ni baadhi ya picha  za mrembo na staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu hapo jana usiku  katika uzinduzi rasmi  wa gari la kampuni ya Mitsubishi aina ya ASX  akiwa kama balozi.

Hivi karibuni Wema Sepetu na mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo, walipata shavu la kutengeneza tangazo la  gari hilo jipya  ambapo kwenye tangazo la gari hilo, mastaa hao wenye ushawishi mkubwa wanaonekana wakisifia vitu mbalimbali vilivyomo kwenye gari hilo.

Hongera sana Wema na team yako kutoka Endless...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Diamond Motors wazindua gari jipya la Mitsubishi 2015 ASX jijini Dar es Salaam

IMG_8097

Hili ndilo gari la ASX Mitsubish jipya lililozinduliwa wiki iliyopita katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

IMG_8128

Wema Sepetu akiwasha gari Jipya la ASX Mitsubishi katika uzinduzi wa gari hilo jijini Dar es Salaam.

IMG_8126

Mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo na mwigizaji maarufu nchini, Wema Sepetu wamesifia gari jipya la Mitsubishi ASX la mwaka 2015 linalouzwa na kusambazwa na kampuni ya Diamond Motors (Hansa Group).

Katika uzinduzi wa kutambulisha gari hilo uliofanyika mwishoni mwa wiki...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Wema Sepetu Akiwa Kwenye Harakati za Ubunge Huko Singida

Hizi ni baadhi ya picha za staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu zinazo ‘trend’ leo hii mtandaoni kwa hapa bongo  zikimuonyesha staa huyu aliyetitos kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum kupitia chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Singida.

Kila la Kheri Madam

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA YA WEMA SEPETU NA IDRIS SULTAN WAKIFANYA SHOPPING PAMOJA KWENYE SUPER MARKET

Wema Sepetu akiwa na mshindi wa big brother Idrisa Sultan maeneo ya shopping pamoja maswali ya mjini. Hapa chini picha zaidi 

 

9 years ago

Bongo5

Picha/Video: Tanesco wagundua wizi wa umeme kwenye nyuma ya Wema Sepetu, Idris Sultan akutwa ndani

20151208052550

Shirika la Umeme nchini, Tanesco limebaini wizi wa umeme nyumbani kwa Wema Sepetu.

Mafundi wa shirika hilo waliambatana na waandishi wa habari hadi kwenye nyumba hiyo na kubaini kuwa umeme unaingia moja kwa moja kwenye nyumba bila kupita kwenye mita.

Wakati mafundi hao wameingia nyumba hiyo walimkuta Idris Sultan ndani aliyejaribu kuwasihi wasiukate umeme.

20151208052550

Kukutwa kwa Idris kwenye nyumba hiyo kumetia mafuta zaidi tetesi za kuwa wawili hao wana uhusiano.

Jiunge na Bongo5.com...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Wema Sepetu na Penny wamaliza tofauti zao, wakumbatiana na kupiga picha pamoja

Hatimaye mpenzi wa sasa (Wema) na mpenzi wa zamani (Penny) wa msanii wa Bongo fleva Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz wamemaliza tofauti zao zilizotokana na ‘penzi’ la hit maker huyo wa ‘Number 1’. Penny, Junaithar aliyewapatanisha, na Wema Muigizaji wa Bongo Movie Wema Sepetu na mtangazaji wa E-FM Penny Mungilwa a.k.a VJ Penny walikutana usiku […]

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA:Penzi la Wema Sepetu na Ommy Dimpoz lazidi kuchanua, Watupia picha wakiwa kitandani!!

Baada ya kuwa ni wazi sasa kuwa wawili hao wapo kwenye Le Project  flani Amazing..sasa wameamua kutupia picha kwenye kurasa zao za mitandaoni wakiwa kitandani.

Alianza Ommy na badae akafuta Wema ambae aliweka picha hizo jana usiku na kuwatakia followers wake usiku mwema.

Penzi la watu hawa linaendelea kuzua mvutano mkali kati ya wale ambao wanaona sawa na wale ambao wanaona kama sio sawa, wanaosema sawa wanasema,baada ya watu kuachana kila mmoja ana haki ya kula maisha na anaempenda hivyo...

 

10 years ago

CloudsFM

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani