HONGERA WEMA SEPETU, SASA LINDA HESHIMA!

Wema Sepetu akiwa na tuzo pamoja na kitita cha shilingi milioni moja alichopatiwa na GPL kwa kuibuka Ijumaa Sexiest Girl 2013/14. KWAKO, Wema Sepetu, staa wa ukweli unayeng’ara kimataifa. Sina wasiwasi nikisema hivyo maana namaanisha.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Jun
Wema Sepetu sasa rasmi katika siasa
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Bongo Movies27 May
'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema
Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao
ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.
Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...
10 years ago
Bongo Movies21 Jun
Mzee Majuto Amuunga Mkono Wema Sepetu, Diamond Amtaka Wema Abadilike Kama Kweli Anautaka Ubunge
Mzee Majuto kwa mara ya kwanza ameamua kufunguka kumuunga mkono Wema Sepetu kwa nia yake ya kutaka kuwa mbunge.Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Mzee Majuto ameandika;
Nisingependa kuyaongea haya kwenye mfungu mtukufu ila kiundani ningependa kuonyesha umoja na kumuunga mkono wazo na lengo la Mwanangu kwa kuwa anaweza na amethubutu sasa isitokee wale wasiopenda maendeleo ya watu na taifa hili kuvuruga misingi na mipango madhubuti ya kuwapa nafasi vijana na hasa wanawake kushika hatamu na...
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Hongera Rais, lakini sasa jenga mfumo
9 years ago
Dewji Blog28 Nov
Hongera Rais Dk. Magufuli: Umeibukia huku, Sasa bado pale kwa akina Ngoswe!
Kaimu Balozi wa Zambia akiyakana Magogo hayo ya miti ya mninga kwa kile alichodai kuwa watu hao licha ya kueleza kuyatoa Zambia, hawana nyaraka muhimu za kuonyesha kama wameyatoa Zambia licha ya kuwa wametokea Zambia tukio lililotokea jana Novemba 27.
Na Andrew Chale,Modewjiblog
[TANZANIA] Miongoni mwa habari kubwa kwasasa Tanzania ni namna ya utendaji wa kasi ya ajabu ya Mheshimiwa Rais wetu Dk. John Pombe Magufuli pamoja na...
10 years ago
Dewji Blog26 Oct
Modewjiblog: Hongera watanzania kupiga kura kwa amani na utulivu, sasa tujiandae kupokea matokeo!
Na Andrew Chale, Modewjiblog
Jumapili ya Oktoba 25, 2015, Taifa la Tanzania tumeshuhudia wananchi wake wakipiga kura kuwachagua viongozi katika Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge pamoja na kumpata Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Uchaguzi huu wa amani na huru umeweza kufanyika katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania, sasa hatua inayofuata ni ya Mamlaka husika ambao ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC na ZEC) kwa upande wa Zanzibar ambao ndio wenye majukumu ya kutoa...