Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wema Sepetu alichowajibu wanaosema Siasa imevamiwa baada ya yeye kuingia.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WEMA SEPETU AWATOLEA UVIVU WANAOSEMA ANA MIGUU MIBAYA NA MAKOVU


Staa wa mrembo wa Bongo Movies, Wema Sepetu amewatolea uvivu baadhi ya watu ambao wameibuka kwa wingi mtandaoni wakiitoa karoso miguu ya staa huyo mara baada ya Wema kuweka picha kadhaa akiwa amevaa sketi amabayo inaonyesha miguu yake.“Naomba niwaulize nyinyi mnaojiona miungu watu.... Mlitaka nijiongeze nyama miguuni kwangu au...? Ndo ilivyo na kuacha kuvaa nguo za kuionesha siwezi... Ntavaa tu... Yaani wala siwezi acha... Iwe mibaya iwe ina makovu iwe na michirizi ni ya Wema Sepetu... na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Mapokezi ya Wema Sepetu Dar, Asema Sababu ya Yeye Kutokata Tamaa

Hizi ni baadhi ya picha za mapokezi makubwa ya staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu siku ya jana alipokuwa akirudi kutoka Singinda ambako alikwenda kwaajili ya kinyang’anyiro cha kuwania ubunge wa viti maalumu kupitia cha cha mapinduzi (CCM).

Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Wema aliweka picha hiyo hapo juu na kueleza kuwa mashabiki wake ndiyo siri ya yeye kuendelea mbele.

Kama umewahi kujiuliza: kwanini Wema Sepetu hakati tamaa? Kwanini hachoki pamoja na changamoto zote anazokumbana nazo?

Jibu...

 

10 years ago

Mwananchi

Wema Sepetu sasa rasmi katika siasa

Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu (pichani kushoto akiwa na mama yake), ametangaza rasmi nia yake ya kutaka kugombea ubunge wa Viti Maalumu Singida Mjini, kupitia tiketi ya CCM.

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Diamond Kuponda, Wema Sepetu ‘Amsapoti’ Kiba

Kitoka Mitandaoni: Baada ya hapo juzi Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnum kupitia ukurasa wake mtandaoni kutoa lawama juu ya uteuzi wa vipengele wa tuzo za muziki za Kilimanjaro Music Awards za mwaka huu na pia kueleza kuwa yeye hata hamasisha watu wampigia kura yapo kuwa ametajwa kuwania vipengere vingi zaidi kwenye tuzo hizo, hali ni tofauti kwa upande wa pili ambapo Staa wa Bongo Movies Wema Sepetu na team yake wamekuwa mstari wa mbele kumpigia debe Ali Kiba ili watu wampigia kura ili...

 

10 years ago

Bongo Movies

HOJA:Ni kweli umaarufu wa Wema Sepetu umeshuka baada ya kuachana na Diamond?

Miaka kadhaa iliyopita, Diamond Platnumz alikuwa kijana mwenye ndoto kama underground wengine wa muziki walivyo na hasira ya kutoka. 

Kutoka kwenye familia ya kawaida (kama zilivyo familia nyingi za Kitanzania), Diamond alikuwa akihaha huku na kule kutafuta fedha ya kuingia studio. 

Fast forward – kwa kuungaunga hivyo hivyo alifanikiwa kurekodi wimbo uliokuja kubadilisha maisha yake, ‘Kamwambie’.

Ni wimbo aliouandika kwa hisia kutokana na kuhusisha kisa cha kweli cha kuachwa na msichana....

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema Sepetu azua gumzo kwenye mtandao baada ya kumuita Diamond "kaka"

Huku macho na masikio ya wananchi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania yakiwa kwenye bunge la katiba linalojadili lile sakata la tegeta ESCROW, mwanadada Wema sepetu ameamua naye kuzua gumzo kwenye mtandao baada ya kutoa salamu ya pongezi kwa kijana Naseeb al maarufu kama Chibu dangote ama Diamond platnumz kwa ushindi wake wa tuzo 3 kwenye tuzo za Channel O MUSIC AWARDS zilizofanyika huko Afrika ya kusini akitumia neno KAKA katika sentensi yake kitu ambacho kimezua minong’ono ya hapa na pale...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani