Video: Maneno ya Wema Sepetu baada ya kuukosa Ubunge, kaongea mengi.
![](http://img.youtube.com/vi/EE5JV3FctkA/default.jpg)
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies23 Jan
Baada ya wake kukanusha, Wema Sepetu mwenyewe kaongea kuhusu ishu ya kumpeleka Diamond Polisi.
Baada ya hapo jana meneja wa mwigizaji Wema Sepetu, Martin Kadinda kukanusha habari za Wema kumpeleka polisi Diamond Platnumz ambae alikuwa mpezi wake. Kwa kutoweza kulipa kwa wakati deni la shilingi million 10. Leo Wema Sepetu amefunguka kuhusu swala hili katika mahojiano na Millard Ayo.
Wema ameyasema haya “Hii taarifa imenishtua sana maana asubuhi ya jana nimekuta kwenye gazeti wameandika nikashangaa yaani hapa nimekaa kwa sababu muda mwingi siendeshi mimi akaunti yangu ya twitter,...
10 years ago
Vijimambo23 Jan
Haya ni maneno ya Wema Sepetu kuhusu inshu ya kumdai Diamond
![](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/01/spt.jpg?resize=501%2C376)
10 years ago
Bongo Movies21 Jun
Mzee Majuto Amuunga Mkono Wema Sepetu, Diamond Amtaka Wema Abadilike Kama Kweli Anautaka Ubunge
Mzee Majuto kwa mara ya kwanza ameamua kufunguka kumuunga mkono Wema Sepetu kwa nia yake ya kutaka kuwa mbunge.Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Mzee Majuto ameandika;
Nisingependa kuyaongea haya kwenye mfungu mtukufu ila kiundani ningependa kuonyesha umoja na kumuunga mkono wazo na lengo la Mwanangu kwa kuwa anaweza na amethubutu sasa isitokee wale wasiopenda maendeleo ya watu na taifa hili kuvuruga misingi na mipango madhubuti ya kuwapa nafasi vijana na hasa wanawake kushika hatamu na...
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-e-5vKoe8xhM/VjNYm5sJhzI/AAAAAAAAn9c/BPfrE3lefsw/s72-c/1.jpg)
AUDIO : LEMBELI AELEZA HATMA YAKE BAADA YA KUUKOSA UBUNGE, AJIBU TETESI JUU YAKE IKIWEMO YA KUUZA REDIO YAKE
![](http://1.bp.blogspot.com/-e-5vKoe8xhM/VjNYm5sJhzI/AAAAAAAAn9c/BPfrE3lefsw/s640/1.jpg)
Aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Kahama Mjini, James Lembeli ameelezea kinachoendelea katika maisha yake ya kisiasa hasa baada ya kushindwa katika uchaguzi wa mwaka huu akiwa ndani ya chama chake kipya cha Chadema.
Akiongea katika taarifa rasmi kwa wananchi wa jimbo hilo, Lembeli amesema kuwa hivi sasa atajikita zaidi katika shughuli za chama chake pamoja na shughuli alizokuwa akizifanya kabla ya kuwa mbunge wa jimbo hilo.
Alisema kuwa ataendelea kufanya kazi zake na mashirika ya kimataifa...
10 years ago
Bongo Movies18 Jun
Ubunge Viti Maalum, Wema Sepetu Atua Singida
STAA wa filamu nchini ambaye pia ni Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ametangaza nia ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia CCM mkoani Singida.
Wema tayari ametua mkoani Singida akiambatana na mama yake kwa ajili ya zoezi hilo ambapo amepokelewa kwa shangwe na mashabiki wake.
Cloudsfm.com
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10