Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Haya ni maneno ya Wema Sepetu kuhusu inshu ya kumdai Diamond

Ukubwa wa stori hii ambayo jana aliizungumzia Martin Kadinda kama Meneja wa Wema Sepetu imefanya millardayo.com kutaka kuujua undani zaidi kutoka kwa Wema mwenyewe.Kwenye exclusive Interview,Wema amesema>>’Taarifa hii imenishtua sana maana asubuhi ya jana nimekuta kwenye gazeti wameandika nikashangaa yaani hapa nimekaa kwa sababu muda mwingi siendeshi mimi akaunti yangu ya twitter,anaiendesha mtu wangu wa blog Bestizo maana nilikua nataka kutoa tamko’‘Nilishasema ukurasa huu tulishaufunga na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

WEMA SEPETU AKANA KUMDAI DIAMOND PLATINUMZ

Jana zilisambaa stori kwenye mitandao ya kijamii ambazo zilitoka kwenye gazeti la Mtanzania,ambazo zilidai kuwa Staa wa Bongo Fleva,Wema Sepetu anamdai aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platnumz kiasi cha shilingi Milion 10 ambazo Wema alikopa kwenye Vikoba.

Wema amezungumza na xxl na kudai kuwa amestushwa na taarifa hizo na kwamba hajawai kumdai Diamond na hamdai na wala hiyo Saccos haijui.

‘’Nilivyozisikia hizo habari nilishangaa sana ni mtu tu kaamua kuzusha habari za uongo mimi na Diamond...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema Sepetu Afunguka Mengine Haya kuhusu Magufuli na Lowassa..

Wakati wagombea mbalimbali wa vyama vya Siasa nchini Tanzania wakiwa na wafuasi wao wakiendelea kuingia kwenye headlines mbalimbali Aug 10 nakukutanisha na hii post ya Mrembo Wema Sepetu.

 

Kama unamfatilia Wema Sepetu kwenye mitandao yake ya kijamii leo kupitia mtandao wa Instagram kapost picha inayomuonyesha Waziri wa ujenzi John Magufuli akisalimiana na Steve Nyerere pamoja na Rais Jakaya Kikwete.

Kwenye post yake ameipa maneno haya  “Wamoja havai Mbili…. Alafu nina msg to Team Wema …...

 

10 years ago

Bongo Movies

Haya Ndio Aliyoyasema Diamond Kuhusu Hali ya Wema Kutoshika Mimba

Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameeleza kulifahamu  kwa muda mrefu  tatizo la aliyekuwa mpenzi wake , Wema Sepetu la kutoshika mimba.

Akiongea na kipindi cha Ng’ari Ng’ari cha Clouds TV, Diamond alisema wakati wako pamoja waliwahi kuzunguka kwa wataalam mbalimbali kujaribu kupata tiba lakini hawakufanikiwa.

Alisema ilifika wakati alimweleza tu kuwa akubali hali hiyo.

Diamond alizungumzia pia lile andiko la Wema Sepetu mtandaoni ambapo alielezea tatizo

Akizungumzia andiko la Wema...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya wake kukanusha, Wema Sepetu mwenyewe kaongea kuhusu ishu ya kumpeleka Diamond Polisi.

Baada ya hapo jana meneja wa mwigizaji Wema Sepetu, Martin Kadinda  kukanusha habari za Wema kumpeleka polisi Diamond Platnumz ambae alikuwa mpezi wake. Kwa kutoweza kulipa kwa wakati deni la shilingi million 10. Leo Wema Sepetu amefunguka  kuhusu swala hili katika mahojiano na Millard Ayo.

Wema  ameyasema haya “Hii taarifa imenishtua sana maana asubuhi ya jana nimekuta kwenye gazeti wameandika nikashangaa yaani hapa nimekaa kwa sababu muda mwingi siendeshi mimi akaunti yangu ya twitter,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani