Haya Ndio Aliyoyasema Diamond Kuhusu Hali ya Wema Kutoshika Mimba
Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameeleza kulifahamu kwa muda mrefu tatizo la aliyekuwa mpenzi wake , Wema Sepetu la kutoshika mimba.
Akiongea na kipindi cha Ng’ari Ng’ari cha Clouds TV, Diamond alisema wakati wako pamoja waliwahi kuzunguka kwa wataalam mbalimbali kujaribu kupata tiba lakini hawakufanikiwa.
Alisema ilifika wakati alimweleza tu kuwa akubali hali hiyo.
Diamond alizungumzia pia lile andiko la Wema Sepetu mtandaoni ambapo alielezea tatizo
Akizungumzia andiko la Wema...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo506 Jan
Haya ni mambo matano aliyoyasema Alikiba kuhusu Davido, na mpango wa collabo yao
![Ali na dav](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/Ali-na-dav-300x194.jpg)
Mwaka 2015 staa wa Nigeria, Davido alitangaza kuwa mashabiki wajiandae kupokea collabo yake na Alikiba, kitu kilichowafurahisha mashabiki wengi wa muziki hususan team Alikiba.
“I have a song coming out with Alikiba too, that’s gonna be crazy” alisema Davido alipohojiwa na Millard Ayo kwenye Red Carpet ya tuzo za MTV MAMA mwaka jana 2015.
Kwa bahati mbaya hadi sasa tukiwa tayari tumeingia kwenye mwaka mpya 2016 collabo hiyo bado haijafanyika wala hakuna dalili zozote za kurekodiwa...
10 years ago
Vijimambo23 Jan
Haya ni maneno ya Wema Sepetu kuhusu inshu ya kumdai Diamond
![](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/01/spt.jpg?resize=501%2C376)
9 years ago
Dewji Blog07 Nov
Haya ndiyo aliyoyasema Neymar kuhusu kuwepo kwake katika orodha ya wachezaji wanaowania tuzo Za mchezaji bora duniani (Ballon D’or)
Mchezaji wa klabu ya Barcelona, Neymar.
Na Rabi Hume
Staa wa timu ya taifa ya Brazil na klabu ya Barcelona, Neymar Da Silva Santos maarufu kama Neymar mwishoni kwa wiki hii alizungumzia kuhusu kushiriki kwake katika tuzo za mchezaji bora duniani maarufu kama Ballon d’Or zinazotolewa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA).
Neymar amesema amekuwa akishiriki katika tuzo hizo lakini si kitu ambacho amekuwa akikipa nafasi katika maisha yake ya soka kutokana na kuwepo kwa wachezaji wengine ambao...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ja6gu*i0lR47yBm5ZYSQALfHr**RAQQRy*wRLtKBaeIqosIZWDOZYNG6XPYKrq2-QKemLImGUz7doWVYNkionutdxQEq-0Ro/pregnantwomanatdoctor.jpg)
FAHAMU KINACHOSABABISHA KUTOSHIKA MIMBA-2
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wElhaJF9fXI85GHmg1yhfSHjJ5nCT1bK82quspxwoYf5tTqxk7EyotOxfsgpemFO0-T2xnwLSpeofJgFixCO5ZyEKKun4U0u/the_new_miscarriage_mandate.jpg?width=650)
FAHAMU KINACHOSABABISHA KUTOSHIKA MIMBA
10 years ago
Bongo Movies30 Mar
Haya Ndio Maelezo ya JB Kuhusu Watu Wanaotaka Kuigiza Naye
Habari,mara nyingi nimekuwa nikipokea maombi ya watu kutaka kuigiza, jamani kuna team ya ma director ndio wanafanya kazi hii sio mimi, na hawawezi kukuchagua kwa kusema tu, mpaka wakuone ukiigiza mahali nawavutiwe.
Please anza hata kwenye tamthilia.naamini wapo waigizaji wengi wenye vipaji lakini ni lazima uanzie sehemu kabla ya kufika kwetu.asante. JB ameandika haya kwenye ukurasa mtandaoni.
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Haya ndio majibu ya Davido kuhusu ujauzito wa mrembo Agness Masogange!
Wiki moja iliyopita, Mtanzania Agness Masogange alikuwa topic kubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya post yake kwenye Instagram kuzua mjadala mkubwa na kuibua uvumi mkubwa sana kati yake na Davido staa wa muziki kutoka Nigeria. Masogange alipost kipimo cha ujauzito kwenye page yake ya Instagram, post iliyoibua mjadala mkubwa Nigeria na Tanzania na kuacha […]
The post Haya ndio majibu ya Davido kuhusu ujauzito wa mrembo Agness Masogange! appeared first on TZA_MillardAyo.