Picha: Mapokezi ya Wema Sepetu Dar, Asema Sababu ya Yeye Kutokata Tamaa
Hizi ni baadhi ya picha za mapokezi makubwa ya staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu siku ya jana alipokuwa akirudi kutoka Singinda ambako alikwenda kwaajili ya kinyang’anyiro cha kuwania ubunge wa viti maalumu kupitia cha cha mapinduzi (CCM).
Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Wema aliweka picha hiyo hapo juu na kueleza kuwa mashabiki wake ndiyo siri ya yeye kuendelea mbele.
Kama umewahi kujiuliza: kwanini Wema Sepetu hakati tamaa? Kwanini hachoki pamoja na changamoto zote anazokumbana nazo?
Jibu...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/P5NKfaKdwW0/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies25 Apr
Wema Atoa Sababu ya Yeye Kutaka Mtoto wa Kiume!
Kupitia ukurasa wake mtandaoni Wema Sepetu ambae hivi karibuni aliweka wazi tatizo lake la kutoweza kushika ujauzito, jana usiku ameibua tena hisia za mashabiki wake baada ya kuweka picha akiwa na mtoto wakike,Sasha aliedai kuwa huyo ndiye kipenzi chake cha maisha na kusisitiza kuwa hiyo ndio sababu ya yeye kutaka mtoto wakiume kwani tayari anaye mtoto wa kike.
“Day well spent.... With the Love of my Life.... Reason y I want a baby boy.... Cause I already have my girl... Love her too...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/DfH9uRjW8vE/default.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-GHupgixgvEc/Xmh2vCCAt4I/AAAAAAALiic/XF1JrgMT6dwAh13Z1QSAdLCPL48Yp0-wgCLcBGAsYHQ/s72-c/9e626390-7d6f-4248-ace8-a4f4ef680bd0.jpg)
VIJANA 20,000 NCHINI KUNUFAIKA NA SOKO LA MATUNDA, WATAKIWA KUTOKATA TAMAA
VIJANA nchini wametakiwa kutokata tamaa ya maisha badala yake wawe wepesi wa kuchangamkia fursa pindi zinapojitokeza na siyo kukaa mitaani na kulalamikia ugumu wa maisha.
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana na Ajira, Mhe Anthony Mavunde wakati wa ufunguzi wa kongamano la vijana wakulima wilayani Butiama, Mara.
Mhe Mavunde amesema zaidi ya vijana 20,000 watanufaika na soko la mazao ya matunda nchini kote katika viwanda vilivyopo hapa nchini ikiwemo cha ...
10 years ago
Bongo509 Nov
Picha: Wema Sepetu na Penny wamaliza tofauti zao, wakumbatiana na kupiga picha pamoja
10 years ago
Bongo Movies08 Feb
PICHA:Penzi la Wema Sepetu na Ommy Dimpoz lazidi kuchanua, Watupia picha wakiwa kitandani!!
Baada ya kuwa ni wazi sasa kuwa wawili hao wapo kwenye Le Project flani Amazing..sasa wameamua kutupia picha kwenye kurasa zao za mitandaoni wakiwa kitandani.
Alianza Ommy na badae akafuta Wema ambae aliweka picha hizo jana usiku na kuwatakia followers wake usiku mwema.
Penzi la watu hawa linaendelea kuzua mvutano mkali kati ya wale ambao wanaona sawa na wale ambao wanaona kama sio sawa, wanaosema sawa wanasema,baada ya watu kuachana kila mmoja ana haki ya kula maisha na anaempenda hivyo...
10 years ago
Bongo Movies16 May
Wema Asema Hampendi Tena Diamond, Hatishwi na Zari, Yeye ni Team Kiba
Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu amesema alipokuwa akihojiwa na Sebo mtangazaji wa EFM, kwenye kipengele kiitwacho Kabali ambapo wema aliambiwa ajibu maswali kadhaa kama ndiyo au hapana na badaye kupewa nafasi ya kifafnua.
Wame aliulizwa kama bado anampenda Diamond, na kama Zari ni tishio kwake kwa upande wa fasheni ambapo yote hayo Wema alijibu hapana na kijibu ndiyo alipoulizwa kama yeye ni Team Kiba.
Akifafanua kuhusu kuhusu kutompenda tena Diamond Wema alisema kuwa kila kimkumbuka...
10 years ago
CloudsFM30 Sep