VIJANA 20,000 NCHINI KUNUFAIKA NA SOKO LA MATUNDA, WATAKIWA KUTOKATA TAMAA
VIJANA nchini wametakiwa kutokata tamaa ya maisha badala yake wawe wepesi wa kuchangamkia fursa pindi zinapojitokeza na siyo kukaa mitaani na kulalamikia ugumu wa maisha.
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana na Ajira, Mhe Anthony Mavunde wakati wa ufunguzi wa kongamano la vijana wakulima wilayani Butiama, Mara.
Mhe Mavunde amesema zaidi ya vijana 20,000 watanufaika na soko la mazao ya matunda nchini kote katika viwanda vilivyopo hapa nchini ikiwemo cha ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziVijana nchini watakiwa kuzingatia vigezo ili kunufaika na Mikopo ya Mfuko wa Maendeleo ya Vijana (YDF)
10 years ago
Bongo Movies27 Jul
Picha: Mapokezi ya Wema Sepetu Dar, Asema Sababu ya Yeye Kutokata Tamaa
Hizi ni baadhi ya picha za mapokezi makubwa ya staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu siku ya jana alipokuwa akirudi kutoka Singinda ambako alikwenda kwaajili ya kinyang’anyiro cha kuwania ubunge wa viti maalumu kupitia cha cha mapinduzi (CCM).
Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Wema aliweka picha hiyo hapo juu na kueleza kuwa mashabiki wake ndiyo siri ya yeye kuendelea mbele.
Kama umewahi kujiuliza: kwanini Wema Sepetu hakati tamaa? Kwanini hachoki pamoja na changamoto zote anazokumbana nazo?
Jibu...
11 years ago
Dewji Blog06 Aug
Zaidi ya wananchi 3,000 Wilaya ya Ikungi Singida kunufaika na soko la asali chini ya mradi wa FU-DI kwa ufadhili wa UNDP
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk Parseko Kone akizungumza na wanavikundi 49 vya ufugaji wa Nyuki katika Wilaya ya Ikungi wakati wa uzinduzi wa mradi wa FU-DI na ugawaji wa mizinga ya Nyuki pamoja na vifaa.
Na Hillary Shoo, IKUNGI.
ZAIDI ya wananchi 3,000 watanufaika na soko la asali kupitia taasisi ya Kijamii ya fursa za kimaendeleo ‘Future Development Initiatives’ (Fu-DI) Mkoani Singida, kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP).
Wakizungumza wakati wa hafla fupi ya...
10 years ago
MichuziVijana nchini watakiwa kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Dunia
Vijana watakiwa kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani ambayo kitaifa yatafanyika tarehe 12 Agosti jijini Dar es Salaam huku kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ni “Ushiriki wa Vijana katika masuala ya Kiraia”
Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam.
Bibi Sihaba amesema kuwa maadhimisho hayo yamekuwa yakifanyika kila mwaka...
11 years ago
Mwananchi22 Jan
Vijana nchini watakiwa kubuni miradi endelevu
5 years ago
MichuziVIJANA NCHINI WATAKIWA KUWA WAZALENDO, KUHAMASISHA WANANCHI KUCHUKUA TAHADHARI YA CORONA
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi akizungumza na kamati tendaji ya viongozi wa serikali za wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu (Tahliso) katika mkutano wa pamoja jijini Dodoma.
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi akiwa katika picha ya pamoja na kamati tendaji ya viongozi wa serikali za wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini (Tahliso).
Charles James, Globu ya Jamii
VIJANA nchini wametakiwa kuwa wabunifu katika kufikia ndoto zao na siyo kukaa vijiweni wakilalamikia ugumu wa...
10 years ago
MichuziVijana nchini watakiwa kuzingatia upatikanaji wa taarifa sahihi kuelekea uchaguzi mkuu
9 years ago
Mwananchi04 Jan
Dk Shein ashiriki usafi wa soko la matunda Z’bar
10 years ago
Habarileo27 Feb
Kwa sasa soko la Kariakoo limeishiwa matunda, mboga
MENEJA Mkuu wa Shirika la Masoko Kariakoo, Florens Seiya amesema kuwa hivi sasa kuna uhaba wa matunda na mboga sokoni hapo.