Vijana nchini watakiwa kuzingatia vigezo ili kunufaika na Mikopo ya Mfuko wa Maendeleo ya Vijana (YDF)
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Concilia Niyibitanga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana leo jijini Dar es Salaam.Kuliani Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana Dkt. Steven Kissui na kushoto ni Afisa Habari wa Idara ya Habari MAELEZO Bw. Frank Mvungi. Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana Dkt. Steven Kissui akionyesha Kitabu cha Sera ya Maendeleo ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziVijana watakiwa kuzingatia vigezo wanapoomba mkopo Mfuko wa Maendeleo
Hayo yalisemwa na Afisa Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Bi.Amina Sanga alipokuwa akitoa elimu ya mfuko wa Maendeleo ya Vijana kata ya Puge leo hii.
“Vijana mzingatie sana vigezo wakati wa kuomba mikopo hii kutoka mfuko wa Maendeleo ya Vijana kwani bila ivyo mtaishia...
11 years ago
MichuziVijana wa Babati wapata Mafunzo kuhusu upatikanaji wa Mikopo kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Vijana
Vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati waaswa kuzingatia Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana ya Mwaka 2007 ili kuweza kuleta maendeleo katika Halmashauri ya Mji wa Babati na hivyo kuwa chachu ya maendeleo nchini.
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi Msaidizi Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Venerose Mtenga wakati wa Mafunzo kwa Vijana kuhusu upatikanaji wa Mikopo kupitia Mfuko wa...
11 years ago
MichuziVijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Nchemba Wapigwa msasa kuhusu Mikopo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana
10 years ago
MichuziSerikali yawataka Vijana kuzingatia vigezo ili wapate mkopo
11 years ago
Dewji Blog18 Jun
Vijana Babati wapata mafunzo kuhusu upatikanaji wa Mikopo kutoka Mfuko wa Vijana
Mkurugenzi Msaidizi Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Venerose Mtenga akisalimiana na Mkurugenzi wa Mji wa Babati Bw. Omari M. Mkombole alipomtembelea ofisini kwake wakati wa ziara ya Mafunzo ya Vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati kuhusu Mikopo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana leo Mjini Babati.
Na Genofeva Matemu – Afisa Mawasiliano Serikalini – WHVUM
VIJANA wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati waaswa kuzingatia Sera ya Taifa ya...
5 years ago
MichuziVIJANA 20,000 NCHINI KUNUFAIKA NA SOKO LA MATUNDA, WATAKIWA KUTOKATA TAMAA
VIJANA nchini wametakiwa kutokata tamaa ya maisha badala yake wawe wepesi wa kuchangamkia fursa pindi zinapojitokeza na siyo kukaa mitaani na kulalamikia ugumu wa maisha.
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana na Ajira, Mhe Anthony Mavunde wakati wa ufunguzi wa kongamano la vijana wakulima wilayani Butiama, Mara.
Mhe Mavunde amesema zaidi ya vijana 20,000 watanufaika na soko la mazao ya matunda nchini kote katika viwanda vilivyopo hapa nchini ikiwemo cha ...
10 years ago
MichuziVijana nchini watakiwa kuzingatia upatikanaji wa taarifa sahihi kuelekea uchaguzi mkuu
10 years ago
MichuziElimu kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana yawafikia Vijana wa Mbeya Vijijini
Vijana wa Mkoa wa Mbeya Wilaya ya Mbeya Vijijini wametakiwa kutokuwa na tafsiri hasi kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana kuwa ni takrima inayotolewa na serikali kwa vijana hivyo kuchezea fedha hizo na kushindwa kurejesha mkopo watakaouomba kupitia mfuko huo.
Hayo yamesemwa na Mwezeshaji kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Ester Riwa wakati wa semina iliyotolewa kwa Vijana wa Mbeya Vijijini kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana, Stadi za...
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Vijana wilayani Kasulu wapewa somo kuhusu fursa za Mfuko wa Maendeleo ya Vijana
Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Mhe. Dani Makanga akizungumza na wajumbe kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo waliofika ofsini kwake kwa ajili ya kujitambulisha kabla ya kuendelea na ratiba yao ya mafunzo kwa Vijana wa Halmashauri za Kasulu na Bihigwe leo mjini Kasulu. Katikati ni Mkuu wa msafara huo ambaye pia ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Sheria wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Esther Riwa na wa kwanza kushoto ni Afisa Vijana wa wizara hiyo Bi. Amina...