Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Shein ashiriki usafi wa soko la matunda Z’bar

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa wananchi wa Unguja na Pemba kujitokeza kwa wingi kusherehekea maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi yanayoanza leo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ashiriki zoezi la usafi soko kuu la Chalinze

jk1

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Eng. Evarist Welle Ndikilo wakielekea soko kuu la Chalinze kushirikiana na wananchi kufanya usafi wa mazingira leo Desemba 9, 2015 ikiwa ni kuadhimisha miaka 54 ya UHURU kama ilivyoagizwa na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli.

jk2

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakifanya usafi katika soko kuu la Chalinze leo Desemba 9, 2015 ikiwa ni kuadhimisha miaka 54 ya...

 

5 years ago

Michuzi

MBOGAMBOGA NA MATUNDA KUPATA SOKO KATIKA NCHI ZA ULAYA

Makampuni kumi na tano (15) yaliojumuisha wazalishaji pamoja na wasafirishaji wa bidhaa za Mbogamboga na Matunda wajiongezea fursa katika soko la Ulaya kufuatia Ushiriki wao katika Maonesho ya Kimataifa ya Mbogamboga na Matunda yajulikanayo kama Fruit Logistica 2020 yaliyofanyika tarehe 5 hadi 7 Februari, 2020  mjini Berlin nchini Ujerumani.  

Mazao yaliyovutia wanunuzi  na wadau wengine katika maonyesho hayo ni pamoja na parachichi, rasiberi, pasheni, ndimu zisizo na mbegu, njegere, snow...

 

10 years ago

Habarileo

Kwa sasa soko la Kariakoo limeishiwa matunda, mboga

MENEJA Mkuu wa Shirika la Masoko Kariakoo, Florens Seiya amesema kuwa hivi sasa kuna uhaba wa matunda na mboga sokoni hapo.

 

11 years ago

Michuzi

Maalim Seif Shariff Hamad atembelea soko la matunda Mombasa.

Na Hassan Hamad wa OMKR. Baraza la Manispaa la Zanzibar limeshauriwa kuweka utaratibu unaofaa kuhakikisha kuwa mrundikano wa taka hasa katika maeneo ya mjini unapungua.  Wito huo umetolewa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, wakati alipofanya ziara ya kutembelea baadhi ya majaa ya Mkoa wa Mjini Magharibi, soko la matunda Mombasa, pamoja na kutembelea shimo la kutupia taka lililoko Kibele, kujionea hali halisi ya ukusanyaji na utupaji wa taka...

 

5 years ago

Michuzi

VIJANA 20,000 NCHINI KUNUFAIKA NA SOKO LA MATUNDA, WATAKIWA KUTOKATA TAMAA


VIJANA nchini wametakiwa kutokata tamaa ya maisha badala yake wawe wepesi wa kuchangamkia fursa pindi zinapojitokeza na siyo kukaa mitaani na kulalamikia ugumu wa maisha.

Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana na Ajira, Mhe Anthony Mavunde wakati wa ufunguzi wa kongamano la vijana wakulima wilayani Butiama, Mara.

Mhe Mavunde amesema zaidi ya vijana 20,000 watanufaika na soko la  mazao ya matunda nchini kote  katika viwanda vilivyopo hapa nchini ikiwemo cha ...

 

9 years ago

CCM Blog

NAPE ASHIRIKI USAFI JIMBONI KWAKE MTAMA

 Mbunge wa Jimbo la Mtama Ndugu Nape Nnauye akishiriki kufanya usafi jimboni kwake ikiwa sehemu ya kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli inayowataka wananchi kushiriki usafi wa mazingira kwenye siku ya kilele cha kusheherekea uhuru wa Tanzania, Desemba 9.
 Wakazi wa jimbo la Mtama wakijitokeza kufanya usafi
 Wakazi wa jimbo la Mtama wakishiriki usafi
  Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe. Yahaya Nawanda (mwenye fulana nyeusi) akishiriki usafi pamoja Mbunge...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA AFRIKA KUSINI ASHIRIKI KUFANYA USAFI MHIMBILI

 Balozi wa Afrika Kusini hapa nchini, Thami Mseleku akifanya usafi katika Wodi (A) ya Watoto iliyopo katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili(MOI),ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela.Muunganishi wa Makazi katika Umoja wa Mataifa,Alvaro Rodriguez (wa kwanza kutoka kushoto),Balozi wa Afrika Kusini nchini,Thami Mseleku (wa pili) wakiwa na baadhi ya wawakilishi wakipokea misaada kwa niaba ya walezi wengine. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa...

 

10 years ago

Michuzi

MEYA WA KINONDONI ASHIRIKI KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA NA WAKAZI WA MIKOCHENI B

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akishiriki usafi wa mazingira katika Mtaa wa Mlalakuwa na wakazi wa Mtaa huo wakati wa operesheni maalum ya kuweka safi mazingira.Meya wa Manispaa ya Kinondoni akioneshwa sehemu mbalimbali za Mto Mlalakuwa wakati wakiufanyia usafi.Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (wa pili kulia) akikabidhi viroba kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mikocheni B, Sixbert Thomas kwa ajili ya kuzuia maporomoko ya ardhi katika Mto Mlalakuwa, wakati ...

 

10 years ago

Michuzi

KAMANDA MSTAAFU WA UVCCM KINONDONI ASHIRIKI KATIKA USAFI WA MAZINGIRA

 Kamanda Mstaafu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi  Wilaya Kinondoni (UVCCM),Jumaa Mhina akichukua mbolea kwa ajili ya kupanda miti katika Zahanati Mbopo  baada ya mazoezi ya vijanawa Mbopo nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.  Kamanda Mstaafu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi  Wilaya Kinondoni (UVCCM),Jumaa Mhina akishiriki katika usafi wa mazingira katika zahanati ya Mbopo iliyopo nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.Kamanda Mstaafu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani