KAMANDA MSTAAFU WA UVCCM KINONDONI ASHIRIKI KATIKA USAFI WA MAZINGIRA
Kamanda Mstaafu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya Kinondoni (UVCCM),Jumaa Mhina akichukua mbolea kwa ajili ya kupanda miti katika Zahanati Mbopo baada ya mazoezi ya vijanawa Mbopo nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Kamanda Mstaafu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya Kinondoni (UVCCM),Jumaa Mhina akishiriki katika usafi wa mazingira katika zahanati ya Mbopo iliyopo nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Kamanda Mstaafu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMEYA WA KINONDONI ASHIRIKI KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA NA WAKAZI WA MIKOCHENI B
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ashiriki zoezi la usafi soko kuu la Chalinze
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Eng. Evarist Welle Ndikilo wakielekea soko kuu la Chalinze kushirikiana na wananchi kufanya usafi wa mazingira leo Desemba 9, 2015 ikiwa ni kuadhimisha miaka 54 ya UHURU kama ilivyoagizwa na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli.
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakifanya usafi katika soko kuu la Chalinze leo Desemba 9, 2015 ikiwa ni kuadhimisha miaka 54 ya...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-UbhF3YILPdQ/VmflLuX_YgI/AAAAAAACmqo/gtxDL-dFkLc/s72-c/6.jpg)
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI NA WANANCHI WA ENEO LAKE KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA, MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU.
![](http://1.bp.blogspot.com/-UbhF3YILPdQ/VmflLuX_YgI/AAAAAAACmqo/gtxDL-dFkLc/s640/6.jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki kuzoa taka na baadhi ya wananchi wakazi wa eneo lake la Oysterbay- Karume Raod, wakati wa zoezi la kufanya usafi wa mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 54 ya Uhuru wa Tanzania kama alivyoagiza Mhe Rais Dkt. John Pombe Magufuli, ambapo zoezi hilo limefanyika nchini kote hii leo.
![](http://2.bp.blogspot.com/-Yzr49bVVyqg/VmflMIPfw3I/AAAAAAACmqs/j_0tXVT_yzw/s640/7.jpg)
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-KKSXFv0qGaM/U0L6R9E-PCI/AAAAAAAAFRs/h-fW-47XKwc/s1600/IMG_0929.jpg)
MKUU WA MKOA WA RUKWA ASHIRIKI NA UVCCM KATIKA MBIO ZA UZALENDO TANZANIA
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-w9KWA_Keelk/VmqM3lpywsI/AAAAAAAILmE/eF6kNW7wzac/s72-c/Untitled1.png)
BALOZI ZOKA AWAONGOZA MAAFISA WA UBALOZI KATIKA ZOEZI LA USAFI WA MAZINGIRA
![](http://4.bp.blogspot.com/-w9KWA_Keelk/VmqM3lpywsI/AAAAAAAILmE/eF6kNW7wzac/s640/Untitled1.png)
![](http://3.bp.blogspot.com/-qoq7W8gjles/VmqM47YuJ4I/AAAAAAAILmQ/SR8Ppt_3YOc/s640/Untitled2.png)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OcxvxG4wHxbLqIHal3CM2et2gIcVJ*YJFrVXHQh5E4wV-oq9pwZ3dT18VpLGfr9XIYMgl5RV8Us94IbQ9t7GN8w2gM2oq4-6/1ajalinew.jpg?width=650)
MFANYAKAZI WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI (MUWSA) AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-XTKd-MfC7fg/U-r0zTrP6CI/AAAAAAAAHBE/HIffhdCubpM/s72-c/IMG-20140812-WA0042.jpg)
MFANYAKAZI WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI(MUWSA)AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI
![](http://1.bp.blogspot.com/-XTKd-MfC7fg/U-r0zTrP6CI/AAAAAAAAHBE/HIffhdCubpM/s1600/IMG-20140812-WA0042.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-SpWPsULA-Qc/U-r00FUJdeI/AAAAAAAAHBQ/NBj3Nocy6ek/s1600/IMG-20140812-WA0041.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-LdZZliWu-fk/U-r02_Pn8yI/AAAAAAAAHBk/qV2Ime3Szo4/s1600/IMG-20140812-WA0044.jpg)
Ajali mbaya imetokea barabara kuu ya Arusha Moshi ikihusisha Lori aina ya Sacania lenye namba za Usajili T 137 ATA na pikipiki aina ya Suzuki yenye namba SU 40262 mali...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-vl_EVEcGFPE/XnC3p9ZRvEI/AAAAAAALkEo/pUhpX0U9eXUNR9k4rEfI7xeMYd4vkKXmQCLcBGAsYHQ/s72-c/63c3b17a-c5d5-4b0d-83e7-97cfe5bb5ce1.jpg)
FORUMCC KUWAKUTANISHA WADAU WA MAZINGIRA ZAIDI YA 200 KATIKA MKUTANO MKUU WA SITA, RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE KUTOA HOTUBA
Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii
RAIS Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne Jakaya Kikwete anatarajiwa kutoa hotuba katika Mkutano Mkuu wa Sita wa Mabadiliko ya Tabianchi unaotarajiwa kufanyika Machi 25 hadi 26 mwaka huu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam ambapo wadau zaidi ya 200 wanatarajiwa kuhudhuriwa mkutano huo.
Mkutano huo umeandaliwa na Shirika lisilo la Kiserikali la FORUMCC linalojihusisha na kuleta ushawishi wa kuchukua hatua...
11 years ago
Habarileo31 Jul
Yono kamanda UVCCM
MBUNGE wa zamani wa Jimbo la Njombe Magharibi, Yono Kevela, ataapishwa kuwa Kamanda mpya wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) wa Wilaya ya Wanging’ombe, Jumamosi hii katika hafla itakayohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa CCM.