Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yono kamanda UVCCM

MBUNGE wa zamani wa Jimbo la Njombe Magharibi, Yono Kevela, ataapishwa kuwa Kamanda mpya wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) wa Wilaya ya Wanging’ombe, Jumamosi hii katika hafla itakayohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa CCM.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kingunge kuendelea kuwa Kamanda UVCCM

BARAZA Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), limempitisha mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwilu kuendelea kuwa kamanda wa umoja huo.

 

11 years ago

Michuzi

Mhe. Kairuki asimikwa kuwa Kamanda wa UVCCM Same

Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana (UVCCM), Ndg. Sixtus Mapunda akimkabidhi Mhe. Angellah Kairuki (MB), Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, nyenzo za vitendea kazi za kimila wakati wa kusimikwa kuwa Kamanda wa UV CCM wa Wilaya ya Same. Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana (UVCCM), Ndg. Sixtus Mapunda akimweleza majukumu ya Kamanda wa Vijana Mhe. Angellah Kairuki kabla ya kusimikwa kuwa Kamanda wa UV CCM wa Wilaya ya Same. Mhe. Kairuki akila kiapo cha Kamanda Mpya wa UVCCM wa Wilaya ya Same wakati wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Angellah Kairuki asimikwa kuwa Kamanda wa UVCCM Same

1

Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana (UVCCM, Ndg. Sixtus Mapunda akimkabidhiMhe. Angellah Kairuki (MB), Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, nyenzo za vitendea kazi za kimila wakati wakusimikwa kuwa Kamanda wa UVCCM wa Wilaya ya Same.

2

Katibu Mkuu wa Umojawa Vijana (UVCCM), Ndg. Sixtus Mapunda akimweleza majukumu ya Kamanda wa Vijana Mhe. Angellah Kairuki kabla ya kusimikwa kuwa Kamanda wa UV CCM wa Wilaya ya Same.

3

Mhe. Kairuki akila kiapo cha Kamanda Mpya wa UVCCM wa Wilaya ya Same wakati wa...

 

11 years ago

Michuzi

TONNY NGOMBALE MWIRU ASIMIKWA KUWA KAMANDA WA UVCCM

 Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi na Waziri  Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar Shamsi Vuai Nahodha akimsimika Tonny Ngombale Mwiru kuwa kama wa UVCCM kata ya Kijitonyama. Kamanda mpya wa Umoja wa Vijana kata ya Kijitonyama Tonny Ngombale Mwiru akiwapungia mkono wanachama wa CCM mara baada ya kusimikwa kuwa kamanda wa UVCCM kata ya Kijitonyama. Mjumbe wa kamati kuu ya CCM ambaye pia ni waziri kiongozi wa zamani wa SMZ Shamsi Vuai Nahodha,katibu wa UVCCM kata ya Kijitonyama Fatuma  ...

 

10 years ago

Michuzi

KAMANDA MSTAAFU WA UVCCM KINONDONI ASHIRIKI KATIKA USAFI WA MAZINGIRA

 Kamanda Mstaafu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi  Wilaya Kinondoni (UVCCM),Jumaa Mhina akichukua mbolea kwa ajili ya kupanda miti katika Zahanati Mbopo  baada ya mazoezi ya vijanawa Mbopo nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.  Kamanda Mstaafu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi  Wilaya Kinondoni (UVCCM),Jumaa Mhina akishiriki katika usafi wa mazingira katika zahanati ya Mbopo iliyopo nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.Kamanda Mstaafu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ...

 

10 years ago

Mwananchi

UVCCM wagoma Pinda kuwa naibu kamanda, kisa urais 2015

Dodoma. Vita ya urais ndani ya CCM inaendelea. Juzi, vita hiyo iliibuka katika Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM) baada ya kuwapo kwa madai kwamba kikao hicho kilikataa kupitisha jina la  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuwa naibu kamanda wake Tanzania Bara.

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Kamanda wa UVCCM Wilaya ya Moshi vijijini ampongeza Rais Kikwete

Na Bakari Issa,Dar es Salaam
Naibu Kamanda wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM),Wilaya ya Moshi vijijini,Innocent Melleck amempongeza Rais Jakaya Kikwete na Serikali kwa ujumla kwa kuwajali wananchi wa kijiji cha Mwakata wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga waliopatwa na janga la kubomokewa na nyumba zao kutokana na mvua iliyoambatana na mawe makubwa na upepo mkali.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam,Melleck amesema kitendo cha Rais Kikwete kuahidi kuwajengea nyumba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani