Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ashiriki zoezi la usafi soko kuu la Chalinze

jk1

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Eng. Evarist Welle Ndikilo wakielekea soko kuu la Chalinze kushirikiana na wananchi kufanya usafi wa mazingira leo Desemba 9, 2015 ikiwa ni kuadhimisha miaka 54 ya UHURU kama ilivyoagizwa na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli.

jk2

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakifanya usafi katika soko kuu la Chalinze leo Desemba 9, 2015 ikiwa ni kuadhimisha miaka 54 ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI MAZISHI YA DADA YAKE RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE KIJIJINI MSOGA LEO

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya dada yake, Marehemu Tausi Khalfani Kikwete kijijini Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani leo Jumatatu Desemba 21, 2015. Rais John Pombe Joseph Magufuli akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya dada yake Rais Mstaafu Dkt JAkaya Kkikwete, Marehemu Tausi Khalfani Kikwete kijijini Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani leo Jumatatu Desemba 21, 2015. Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiweka udongo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki mazishi ya dada yake Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Kijijini Msoga

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokelewana Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete,wakati alipowasili kwenye msiba wa Dada yake na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete, jana kijini Msoga Mkoa wa Pwani. (Picha na OMR).

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwafariji baadhi ya wanafamilia wa Marehemu Tausi Khalfani Kikwete, aliyekuwa Dada yake na Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete, kijijini...

 

9 years ago

Global Publishers

Rais Magufuli Ashiriki Mazishi ya Dada wa Rais Mstaafu Kikwete, Msoga

1.jpgRais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya dada yake, Marehemu Tausi Khalfani Kikwete kijijini Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani jana Jumatatu Desemba 21, 2015.ms15.jpgRais John Pombe Joseph Magufuli akiweka udongo kaburini.
ms16.jpgRais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiweka udongo kaburini.ms17.jpgRais Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Marais Wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakishiriki katika dua wakati wa wa mazishi ya dada yake Rais...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU DKT JAKAYA KIKWETE AOMBOLEZA KIFO CHA ALIYEKUWA RAIS WA BURUNDI PIERRE NKURUNZINZA.

 Rais Mstaafu Dkt. Jakaya  Kikwete aomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi Marehemu Pierre Nkurunzinza kwa kusaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Burundi jana jijini Dar es Salaam.  Dkt. Kikwete amefahamiana na Marehemu Pierre Nkurunzinza kwa zaidi ya miaka 20 tangu wakati wa mazungumzo ya amani ya Burundi wakati huo Rais Kikwete akiwa Waziri wa Mambo ya Nje na Rais Nkurinzinza akiwa kiongozi wa CNDD-FDD na baadae wote wakiwa Marais wa nchi zao.

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ASHIRIKI ZOEZI LA KUCHANGIA FEDHA ZA UJENZI WA CHUO KIKUU CHA TUMAINI TAWI LA DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani la Kanisa hilo, Askofu Alex Malasusa pamoja na wachungaji wengine wa KKKT wakati wa chakula cha usiku kuchangia fedha za ujenzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini, tawi la Dar Es Salaam, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee usiku...

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Shein ashiriki usafi wa soko la matunda Z’bar

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa wananchi wa Unguja na Pemba kujitokeza kwa wingi kusherehekea maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi yanayoanza leo.

 

10 years ago

Michuzi

KAMANDA MSTAAFU WA UVCCM KINONDONI ASHIRIKI KATIKA USAFI WA MAZINGIRA

 Kamanda Mstaafu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi  Wilaya Kinondoni (UVCCM),Jumaa Mhina akichukua mbolea kwa ajili ya kupanda miti katika Zahanati Mbopo  baada ya mazoezi ya vijanawa Mbopo nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.  Kamanda Mstaafu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi  Wilaya Kinondoni (UVCCM),Jumaa Mhina akishiriki katika usafi wa mazingira katika zahanati ya Mbopo iliyopo nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.Kamanda Mstaafu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani