Rais Magufuli Ashiriki Mazishi ya Dada wa Rais Mstaafu Kikwete, Msoga
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya dada yake, Marehemu Tausi Khalfani Kikwete kijijini Msoga wilaya ya Chalinze Mkoa wa Pwani jana Jumatatu Desemba 21, 2015.
Rais John Pombe Joseph Magufuli akiweka udongo kaburini.
Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiweka udongo kaburini.
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Marais Wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakishiriki katika dua wakati wa wa mazishi ya dada yake Rais...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-zOTWqsPeBOo/VngUBz5wg5I/AAAAAAAINt4/dqLwJ23ORN4/s72-c/ms14.jpg)
RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI MAZISHI YA DADA YAKE RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE KIJIJINI MSOGA LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-zOTWqsPeBOo/VngUBz5wg5I/AAAAAAAINt4/dqLwJ23ORN4/s640/ms14.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-IMLXm88YdEA/VngUBqCqKdI/AAAAAAAINt0/OAfg7daVnz8/s640/ms15.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-cMLjGldeRQI/VngUCPMcpoI/AAAAAAAINuA/vYzlQoMJjKk/s640/ms16.jpg)
9 years ago
Dewji Blog22 Dec
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki mazishi ya dada yake Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Kijijini Msoga
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokelewana Mke wa Rais Mstaafu Mama Salma Kikwete,wakati alipowasili kwenye msiba wa Dada yake na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete, jana kijini Msoga Mkoa wa Pwani. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwafariji baadhi ya wanafamilia wa Marehemu Tausi Khalfani Kikwete, aliyekuwa Dada yake na Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete, kijijini...
9 years ago
Dewji Blog07 Nov
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete aondoka rasmi Ikulu na kuelekea kijijini Msoga
![](http://3.bp.blogspot.com/-hNMf7QFmRlo/VjyoOnVwk1I/AAAAAAAIEo8/q9JZUsKjMVA/s640/bye1.jpg)
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiagana na watumishi wa Ofisi ya Rais Ikulu wakati wakiondoka rasmi katika jumba hilo waliloishi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 iliyopita na kurudi kijijini Msoga. kushoto kwake ni Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
![](http://2.bp.blogspot.com/-OypXjzTqX_s/VjyoOe_1ZdI/AAAAAAAIEo0/Oye2IBrFo5g/s640/bye2.jpg)
Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na watumishi wa Ofisi ya Rais Ikulu wakati akiondoka rasmi katika jumba hilo...
9 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-hNMf7QFmRlo/VjyoOnVwk1I/AAAAAAAIEo8/q9JZUsKjMVA/s640/bye1.jpg)
RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AONDOKA RASMI IKULU NA KUELEKEA KIJIJINI MSOGA LEO
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-UCv7pRaz3Pc/VnUaA5cpRyI/AAAAAAAINWI/IQCr0YyIcS4/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-11-30%2Bat%2B3.56.53%2BPM.png)
Rais Magufuli amtumia salamu za Rambirambi Rais Kikwete kwa kufiwa na Dada yake
![](http://2.bp.blogspot.com/-UCv7pRaz3Pc/VnUaA5cpRyI/AAAAAAAINWI/IQCr0YyIcS4/s640/Screen%2BShot%2B2015-11-30%2Bat%2B3.56.53%2BPM.png)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye amepatwa na msiba mzito wa kufiwa na Dada yake Mpendwa Bi. Tausi Khalfan Kikwete kilichotokea jana tarehe 17 Desemba, 2015 huko nchini India.
Katika salamu hizo, Rais Magufuli amesema anaungana na familia ya Rais Mstaafu Kikwete katika kipindi hiki kigumu cha majonzi ya kuondokewa na mtu muhimu kwa familia."Kwa masikitiko makubwa nakupa...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-hNMf7QFmRlo/VjyoOnVwk1I/AAAAAAAIEo8/q9JZUsKjMVA/s72-c/bye1.jpg)
NEWS ALERT: RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AONDOKA RASMI IKULU NA KUELEKEA KIJIJINI MSOGA LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-hNMf7QFmRlo/VjyoOnVwk1I/AAAAAAAIEo8/q9JZUsKjMVA/s640/bye1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-OypXjzTqX_s/VjyoOe_1ZdI/AAAAAAAIEo0/Oye2IBrFo5g/s640/bye2.jpg)
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA KIMBAU MAFIA
9 years ago
StarTV13 Nov
Rais Magufuli apokea taarifa rasmi ya Rais Mstaafu Kikwete
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Magufuli amepokea taarifa rasmi ya makabidhiano ya Ofisi kutoka kwa Rais Mstaafu Mheshimiwa Jakaya Kikwete.
Makabidhiano hayo yamefanyika leo mchana Ikulu jijini Dar es Salaam yakishuhudiwa na Makamu wa Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Maafisa wa Ofisi Binafsi ya Rais.
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amekabidhi taarifa rasmi yenye kurasa 53 ambayo kwa ujumla inaelezea kazi zilizokwishakufanyika...