Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK ALONGA BAADA YA KUFANYA USAFI SOKO KUU LA CHALINZE

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ashiriki zoezi la usafi soko kuu la Chalinze

jk1

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Eng. Evarist Welle Ndikilo wakielekea soko kuu la Chalinze kushirikiana na wananchi kufanya usafi wa mazingira leo Desemba 9, 2015 ikiwa ni kuadhimisha miaka 54 ya UHURU kama ilivyoagizwa na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli.

jk2

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakifanya usafi katika soko kuu la Chalinze leo Desemba 9, 2015 ikiwa ni kuadhimisha miaka 54 ya...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU, MAJLIWA AFANYA USAFI SOKO KUU LA KARIAKOO

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisafisha mtaro wa maji machafu kwenye soko kuu la Kariakoo jijini Dar es salaam Desemba 9, 2015.  Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akitoka eneo la shimoni kwenye soko kuu la Kariakoo kufanya usafi Desemba 9, 2015. Kulia kwake ni Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond Mushi.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na umati ulioshiriki katika kufanya usafi kwenye soko kuu la Kariakoo jijini Dar es salaam Desemba 9, 2015. Kushoto kwake ni Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond...

 

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA TANGA CEMENT WAFANYA USAFI SOKO KUU LA MJINI TANGA LA NGAMIANI

 Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya Saruji Tanga, Diana Malambugi (kulia) akiwa na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni hiyo wakifanya usafi katika Soko Kuu la Mji wa Tanga la Ngamiani mjini humo leo, kuadhimisha Siku ya Uhuru iliyodhimishwa kwa watanzania wote kujishughulisha na shuhuli za usafi wa mazingira.  Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Saruji Tanga, wakifanya usafi katika Soko Kuu la Mji wa Tanga la Ngamiani mjini humo jana kuadhimisha Siku ya Uhuru ambayo watanzania nchini kote...

 

10 years ago

Vijimambo

MZUNGU ALIETEMBELEA TANZANIA NA KUFANYA SAFARI NDANI YA MBUGA ZA WANYAMA ALONGA


Hapa akiongea  kupitia camera ya Dr Temba, juu ya kilicho mvutia nchini Tanzania kwenye hiyo safari yake ya kutembelea mbuga za wanya. Jitiririshe na endelea kujivunia Utanzania wako kiroho safi. Kwa picha zaidi nenda hapa...http://tembaphoto.com/

 

11 years ago

Mwananchi

Walalamikia usafi wa soko Kariakoo

Baadhi ya wafanyabiashara Soko la Kariakoo wilayani Nzega, mkoani Tabora, wameomba halmashauri kuwatatulia kero zao ikiwamo suala la usafi ili kuepusha magonjwa ya mlipuko.

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Shein ashiriki usafi wa soko la matunda Z’bar

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ametoa wito kwa wananchi wa Unguja na Pemba kujitokeza kwa wingi kusherehekea maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi yanayoanza leo.

 

9 years ago

Dewji Blog

UN yafanya usafi soko la Temeke Stereo kuadhimisha miaka 70

IMG_5298

Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema (katikati) kabla ya kuanza zoezi la usafi katika soko la Temeke Stereo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa. Kushoto ni Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez.(Picha...

 

9 years ago

Dewji Blog

TTCL waitumia 9 Desemba kusafisha Soko Temeke, wasaidia vifaa vya usafi

Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakishusha vifaa vya kufanyia usafi katika soko la Temeke Stereo jijini Dar es Salaam jana kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli aliyeamuru Siku ya Maadhimisho ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ikiwa ni kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umekua ukiibuka mara kwa mara na kupoteza maisha ya wananchi. Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakishusha vifaa vya kufanyia...

 

9 years ago

Michuzi

TTCL WAITUMIA 9 DESEMBA KUSAFISHA SOKO LA TEMEKE STEREO NA WASAIDIA VIFAA VYA USAFI

Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakigawana nyenzo za kufanyia usafi kabla ya kuanza usafi katika soko la Temeke Stereo jijini Dar es Salaam leo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli aliyeamuru Siku ya Maadhimisho ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ikiwa ni kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umekua ukiibuka mara kwa mara na kupoteza maisha ya wananchi. Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani