TTCL waitumia 9 Desemba kusafisha Soko Temeke, wasaidia vifaa vya usafi
Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakishusha vifaa vya kufanyia usafi katika soko la Temeke Stereo jijini Dar es Salaam jana kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli aliyeamuru Siku ya Maadhimisho ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ikiwa ni kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umekua ukiibuka mara kwa mara na kupoteza maisha ya wananchi.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakishusha vifaa vya kufanyia...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-aE3NtzgfBX8/VmgBDJVSwsI/AAAAAAAAFqM/pAo3dvUGa5A/s72-c/IMG_0323.jpg)
TTCL WAITUMIA 9 DESEMBA KUSAFISHA SOKO LA TEMEKE STEREO NA WASAIDIA VIFAA VYA USAFI
![](http://3.bp.blogspot.com/-aE3NtzgfBX8/VmgBDJVSwsI/AAAAAAAAFqM/pAo3dvUGa5A/s640/IMG_0323.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-JHZVa96yu3s/VmgBEZ8_NdI/AAAAAAAAFqg/VZm7EmKGzcU/s640/IMG_0371.jpg)
9 years ago
Dewji Blog09 Dec
TPB yasafisha soko la Feri, yatoa vifaa vya usafi, ni katika kuunga mkono uamuzi wa Rais Magufuli wa Uhuru ni kazi
![](http://1.bp.blogspot.com/-irAKTk09YTk/Vmf__FKcc4I/AAAAAAAAdLo/GMVNH4MgYBM/s640/b9.jpg)
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, Henry Bwogi, akizibua chemba ya kupitisha maji taka kwenye zoni 3 ya soko la samaki la kimataifa Feri jijini Dar es Salaam Desemba 9, 2015. TPB imeungana na watanzania katika kuunga mkono agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuwataka wananchi kusherehekea sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika kwa kufanya usafi ili kutekeleza zana ya “Uhuru ni Kazi” badala ya kufanya sherehe na matamasha huku nchi ikakabiliwa na ugonjwa wa...
9 years ago
Dewji Blog31 Aug
UN yafanya usafi soko la Temeke Stereo kuadhimisha miaka 70
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema (katikati) kabla ya kuanza zoezi la usafi katika soko la Temeke Stereo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 70 ya Umoja wa Mataifa. Kushoto ni Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez.(Picha...
9 years ago
MichuziUJASIRI WA WANASHERIA WASAIDIA KUPUNGUZA VITENDO VYA UKATILI WA JINSIA SOKO LA TABATA MUSLIM JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USAFI VYA SH. MIL 15 SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI
11 years ago
GPLTBL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USAFI WA MAZINGIRA VYA SH MIL 15 MANISPAA YA ILALA
10 years ago
Tanzania Daima19 Oct
TPB yatoa vifaa vya usafi Feri
KUTOKANA na uchafu uliokithiri katika soko la samaki Feri, Benki ya Posta Tanzania (TPB), imetoa msaada wa vifaa vya usafi vyenye thamani ya sh. milioni nne. Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu...
10 years ago
Habarileo19 Oct
Benki ya Posta wakabidhi vifaa vya usafi
BENKI ya Posta imekabidhi msaada wa vifaa vya usafi vyenye thamani ya Sh milioni nne kwa uongozi wa soko kuu la samaki la Feri.
9 years ago
Dewji Blog07 Sep
Zantel yalisaidia jiji la Tanga vifaa vya usafi
Meneja Mshauri wa Zantel, Charles Jutta akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi msaada wa vifaa vya usafi kwa mkoa wa Tanga, kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mheshimiwa Magalula Said Magalula.
Mkuu wa Wilaya ya Tanga Abdula Lutavi akiteta jambo na Meneja Mshauri wa Zantel, Charles Jutta (Kushoto) mara baada ya makabidhiano ya vifaa vya usafi baina ya Zantel na jiji la Tanga anayeshudia katikati ni meneja mauzo wa Zantel Tanga.
Mkuu wa mkoa wa Tanga Magalula Said...