Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Benki ya Posta wakabidhi vifaa vya usafi

BENKI ya Posta imekabidhi msaada wa vifaa vya usafi vyenye thamani ya Sh milioni nne kwa uongozi wa soko kuu la samaki la Feri.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

TASAC,MARINE PARKS WAKABIDHI VIFAA VYA USAFI WA MAZINGIRA BAHARINI KWA RC SHIGELLA

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Emanuel Ndomba kulia akimkabidhi vifaa vya usafi wa mazingira ya bahari Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella leo vyenye thamani ya sh.milioni 70 walivyovitoa kwa kushirikiana na Shirika la Uhifadhi wa Mazingira ya Bahari (Marine Parks and Reserves Tanzania) kushoto ni Mhifadhi Ufundi,Ununuzi na Ufuatiliaji wa Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu Tanzania Clever Charles Mwaikambo

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli...

 

5 years ago

Michuzi

MTANDAO WA VIONGOZI WANAWAKE WAKABIDHI VIFAA VYA CORONA VYA SH MILIONI TANO GEREZA LA ISANGA DODOMA

Na Mwandishi Wetu, DodomaMTANDAO wa Viongozi Wanawake Wanaochipukia katika Utumishi wa Umma Tanzania ujulikanao kama Emerging Women Leaders in Tanzania (EWLT) umetoa vifaa vya usafi kwa ajili ya kujikinga na ugonjwa wa Corona kwa gereza la Isanga.
Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo,  mmoja wa Waanzilishi wa mtandao huo, Beatrice Kimoleta amesema hatua hiyo wameifanya ikiwa ni kuunga mkono kwa vitendo juhudi kubwa zinazofanywa na Serikali katika kupambana na ugonjwa wa Corona.
“  Mhe....

 

5 years ago

Michuzi

UVCCM HANANG' WAKABIDHI VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA


JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilayani Hanang' Mkoani Manyara, kupitia kampeni yao ya mikono safi Hanang' salama wameikabidhi Serikali vifaa vya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona vya thamani ya sh. 531,000. 
Makamu Mwenyekiti wa kampeni ya mikono safi Hanang'  Emmanuel Gamasa akizungumza jana alisema lengo la UVCCM wilayani humo  kukabidhi msaada huo wa vifaaa hivyo ni kuiunga mkono serikali katika mapambano ya kujikinga na maambukizi ya virusi...

 

11 years ago

Habarileo

NHIF,KfW wakabidhi vifaa tiba vya mil 989/-

NAIBU Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk Seif Rashid leo amekabidhi vifaa tiba vinavyotumika katika afya ya wanawake wajawazito na watoto vyenye thamani Shilingi 989,128,354.40 kwa mikoa ya Mbeya na Tanga.

 

11 years ago

GPL

TBL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USAFI WA MAZINGIRA VYA SH MIL 15 MANISPAA YA ILALA

 Meneja wa Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania  (TBL), Emma Oriyo (kushoto) akishiriki na viongozi mbalimbali kufanya usafi, Ilala, Dar es Salaam juzi, katika  maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani Dar es Salaa
 Meneja wa Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania  (TBL), Emma Oriyo (kushoto) akishiriki na viongozi mbalimbali kufanya usafi, Ilala, Dar es Salaam juzi, katika ...

 

11 years ago

Michuzi

TBL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USAFI VYA SH. MIL 15 SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (katikati)akikabidhiwa vifaa vya usafi vyenye thamani ya sh.mil. 15 na Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu katika hafla iliyofanyika, Ilala, Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani. Wafanyakazi wa TBL walishiriki kufanya usafi eneo la Karume, Ilala. Kushoto ni Meneja  Uhusiano wa TBL, Emma Oriyo.  Meneja wa Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania  (TBL), Emma Oriyo ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Flaviana Matata Foundation na PSPF wakabidhi vifaa vya Shule Lindi

Mwanamitondo afanyae kazi zake za mitindo nchini Marekani Flaviana Matata, yuko nchini kwa ajili ya kufanya kazi za kijamii kupitia taasisi yake ya Flaviana Matata Foundation. katika mradi wa Back to school project /FMFstationarykit ambao unafadhiliwa na mfuko wa penseni PSPF,

Baada ya mwezi January Flaviana kugawa vifaa shule za msingi za jijini awamu hii ameenda Mtwara na kufanikiwa kugawa shule za Msingi Mtua na Chemchem ziliyopo Nachingwea pamoja nashule za msingi Litingi na Mnengulo...

 

10 years ago

Dewji Blog

UNFPA wakabidhi msaada wa gari la wagonjwa, jengo na vifaa vya upasuaji Geita

DSC_0048

Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa (wa pili kulia) akisalimiana na Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Grace Lyon mara baada ya kuwasili kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kutokomeza Fistula yaliyofanyika kitaifa  katika Wilaya Mbogwe, Geita. Kulia ni  Kaimu Mkuu wa wilaya ya Mbogwe, Amani Mwenegoha na Kushoto ni Naibu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya CCBRT, Haika Mawalla na wa  pili kushoto...

 

5 years ago

Michuzi

SHIA ITHNA ASHERIA MWANZA WAKABIDHI VIFAA KINGA VYA CORONA JESHI LA POLISI


NA BALTAZAR MASHAKA, Mwanza

WAUMINI wa madhehebu ya Khoja Shia Ithna Asheria, jijini Mwanza wamejitosa kwenye mapambano ya vita dhidi ya Homa kali ya Mapafu inayosababishwa na Kirusi cha Corona (Covid-19) kwa kutoa msaada wa vifaa kinga vya ugonjwa huo kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza.

Vifaa kinga hivyo barakoa 300, vitakasa mikono 500 na chupa 500 za sanitizer vilikabidhiwa juzi kwa Ofisa Mnadhimu wa jeshi hilo mkoani humu, Safia Jongo kwa niaba ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani