Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NHIF,KfW wakabidhi vifaa tiba vya mil 989/-

NAIBU Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk Seif Rashid leo amekabidhi vifaa tiba vinavyotumika katika afya ya wanawake wajawazito na watoto vyenye thamani Shilingi 989,128,354.40 kwa mikoa ya Mbeya na Tanga.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kairuki aipatia Ilala vifaa tiba vya mil.65/-

 NAIBU Waziri wa Katiba na Sheria, Angela Kairuki ametoa msaada wa vifaatiba na vifaa vingine vya hospitali kwenye vituo vitano vya afya, vyenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 65. Amesema msaada huo ni mchango wake katika kuimarisha huduma za afya nchini.

 

10 years ago

Dewji Blog

TUNAJALI wawajali wanawake na vifaa tiba vya mil 155/-

DSC01359

Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali la TUNAJALI, Dk.Gottlieb Mpangile (kushoto) akizungumza kwenye hafla ya kuzindua mpango wa kutokomeza vifo vya wajawazito na watoto wachanga mkoani Singida, Pia hafla hiyo ilitumika kutoa msaada wa vifaa tiba vikiwemo vitanda vya kujifungulia vyote kwa pamoja  vikiwa na thamani ya zaidi ya shilingi 155 milioni.Wa pili kushoto (waliokaa) ni mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone na wa kwanza ni katibu tawala mkoani Singida, Liana Hassan.

Na...

 

10 years ago

Michuzi

TBL YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA SH. MIL. 22 KITUO CHA AFYA KAMBI YA SIMBA,KARATU

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin akikabidhi baadhi ya vifaa vya Kituo cha Afya cha Kijiji cha Kambi ya Simba wilayani Karatu mkoani Arusha kwa baadhi ya viongozi wa Serikali ya Kijiji hicho, ambapo Kampuni hiyo ya Bia ilitoa vifaa vyenye thamani ya Sh.Milioni 22. Mwananchi wa Kijiji cha Kambi ya Simba kilichopo Kata ya Mbulumbulu wilayani Karatu ambacho ni maarufu kwa ulimaji wa zao la Shayiri akimkabidhi Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert...

 

10 years ago

GPL

TBL YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA SH. MIL. 22 KITUO CHA AFYA KAMBI YA SIMBA,KARATU‏

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin akipokea zawadi ya fimbo kutoka kwa mmoja wa viongozi wa kijiji wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya Kituo cha Afya cha Kijiji cha Kambi ya Simba kilichopo Kata ya Mbulumbulu wilayani Karatu ivi karibu, ambapo Kiwanda hicho kilikabdhi vifaa vyenye thamani ya Sh. Milioni 22.
 Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin akikabidhi baadhi ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Masasi yatenga mil. 7/- za vifaa tiba

HALMASHAURI ya Wilaya ya Masasi imetenga sh milioni 9.07 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa tiba vya kitengo cha mazoezi ya viungo katika Hospitali ya Wilaya ya Mkomaindo. Akijibu swali...

 

10 years ago

Dewji Blog

NHIF waomba wadau zaidi kuomba mikopo ya vifaa tiba

DSC07056

Meneja wa mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF) mkoa wa Singida, Agnes Chaki,akitoa nasaha zake muda mfupi kabla hajamkaribisha kaimu katibu tawala mkoa wa Singida, Aziza Mumba,kufungua mafunzo ya siku moja kuhusu mikopo ianayotolewa na NHIF kwa watoa huduma katika vituo vya afya vya serikali,mashirika ya dini na binafsi yaliyosajiliwa.Wa pili kulia (aliyeketi) ni kaimu Katibu tawala mkoa wa Singida Aziza Mumba na wa kwanza kushoto ni Kaimu mganga mkuu wa mkoa wa Singida,Dk.Mgetta.

Na...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF YATOA MSAADA VIFAA TIBA HOSPITALI YA RUFAA BABATI

 Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Bendera (kushoto) akipokea msaada wa mashuka 150 yatakayotumika jana mjini Babati kwenye hospitali ya rufaa ya mkoa huo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa Taifa wa bima ya afya (NHIF) Michael Mhando. Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa Taifa wa bima ya afya (NHIF) Michael Mhando (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Bendera kifaa tiba cha mama mjamzito jana mjini Babati ili kitumiwe na wanawake watakaopata huduma ya matibabu kwenye hospitali...

 

5 years ago

Michuzi

MTANDAO WA VIONGOZI WANAWAKE WAKABIDHI VIFAA VYA CORONA VYA SH MILIONI TANO GEREZA LA ISANGA DODOMA

Na Mwandishi Wetu, DodomaMTANDAO wa Viongozi Wanawake Wanaochipukia katika Utumishi wa Umma Tanzania ujulikanao kama Emerging Women Leaders in Tanzania (EWLT) umetoa vifaa vya usafi kwa ajili ya kujikinga na ugonjwa wa Corona kwa gereza la Isanga.
Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo,  mmoja wa Waanzilishi wa mtandao huo, Beatrice Kimoleta amesema hatua hiyo wameifanya ikiwa ni kuunga mkono kwa vitendo juhudi kubwa zinazofanywa na Serikali katika kupambana na ugonjwa wa Corona.
“  Mhe....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani