UNFPA wakabidhi msaada wa gari la wagonjwa, jengo na vifaa vya upasuaji Geita
Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa (wa pili kulia) akisalimiana na Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Grace Lyon mara baada ya kuwasili kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kutokomeza Fistula yaliyofanyika kitaifa katika Wilaya Mbogwe, Geita. Kulia ni Kaimu Mkuu wa wilaya ya Mbogwe, Amani Mwenegoha na Kushoto ni Naibu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya CCBRT, Haika Mawalla na wa pili kushoto...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-fdzQZjWEbpo/XrEQKsnQzXI/AAAAAAALpLE/OpgHuenFokIc4AG8kFgxBD5Zk8Z075ATACLcBGAsYHQ/s72-c/ba32994a-d591-4fcf-9782-4f0505072d74.jpg)
MHOLA WAKABIDHI MSAADA WA VIFAA KINGA DHIDI YA CORONA
Na Abdullatif Yunus Michuzi TV.
Shirika la lisilokuwa la Kiserikali linalojihusisha na utoaji wa msaada wa kisheria pamoja na malezi na makuzi ya watoto Wilayani Muleba limetoa vifaa vya kujikinga na ugonjwa wa Corona kwa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, ikiwa ni harakati na muendelezo wa mapambano dhidi ya Corona.
Akikabidhi vifaa hivyo kwa Mkuu wa Wilaya ya Muleba pamoja na viongozi wengine wa Wilaya hiyo Mkurugenzi wa Shirika hilo Bwana Saulo Marauli amesema kuwa vifaa hivyo ni pamoja na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-azEL92owoJ4/Xrb-nv6PTqI/AAAAAAALpoM/wdZ3V1zEzOcZrvQFlj2Dhp_xu44btlJ0wCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-09%2Bat%2B8.09.20%2BPM%2B%25281%2529.jpeg)
MTANDAO WA VIONGOZI WANAWAKE WAKABIDHI VIFAA VYA CORONA VYA SH MILIONI TANO GEREZA LA ISANGA DODOMA
Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo, mmoja wa Waanzilishi wa mtandao huo, Beatrice Kimoleta amesema hatua hiyo wameifanya ikiwa ni kuunga mkono kwa vitendo juhudi kubwa zinazofanywa na Serikali katika kupambana na ugonjwa wa Corona.
“ Mhe....
10 years ago
Habarileo19 Oct
Benki ya Posta wakabidhi vifaa vya usafi
BENKI ya Posta imekabidhi msaada wa vifaa vya usafi vyenye thamani ya Sh milioni nne kwa uongozi wa soko kuu la samaki la Feri.
10 years ago
MichuziWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA TANZANIA WAKABIDHI MSAADA WA VYANDARUA KWA AJILI YA HOSPITALI NANE ZINAZOLAZA WAGONJWA UNGUJA NA PEMBA.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-SEceDJZ9m1c/Xr4ymqY4lCI/AAAAAAALqTg/bkP-Ewg3n-sNNlnWzTe-AIFYM4vc77m7ACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200513-WA0078.jpg)
UVCCM HANANG' WAKABIDHI VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA
JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilayani Hanang' Mkoani Manyara, kupitia kampeni yao ya mikono safi Hanang' salama wameikabidhi Serikali vifaa vya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona vya thamani ya sh. 531,000.
Makamu Mwenyekiti wa kampeni ya mikono safi Hanang' Emmanuel Gamasa akizungumza jana alisema lengo la UVCCM wilayani humo kukabidhi msaada huo wa vifaaa hivyo ni kuiunga mkono serikali katika mapambano ya kujikinga na maambukizi ya virusi...
11 years ago
Habarileo10 Jan
NHIF,KfW wakabidhi vifaa tiba vya mil 989/-
NAIBU Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk Seif Rashid leo amekabidhi vifaa tiba vinavyotumika katika afya ya wanawake wajawazito na watoto vyenye thamani Shilingi 989,128,354.40 kwa mikoa ya Mbeya na Tanga.
11 years ago
Dewji Blog12 Aug
Flaviana Matata Foundation na PSPF wakabidhi vifaa vya Shule Lindi
Mwanamitondo afanyae kazi zake za mitindo nchini Marekani Flaviana Matata, yuko nchini kwa ajili ya kufanya kazi za kijamii kupitia taasisi yake ya Flaviana Matata Foundation. katika mradi wa Back to school project /FMFstationarykit ambao unafadhiliwa na mfuko wa penseni PSPF,
Baada ya mwezi January Flaviana kugawa vifaa shule za msingi za jijini awamu hii ameenda Mtwara na kufanikiwa kugawa shule za Msingi Mtua na Chemchem ziliyopo Nachingwea pamoja nashule za msingi Litingi na Mnengulo...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Zl0EJ7n4qrg/XmPSkijsaMI/AAAAAAALhv4/V3jb_PYAu0gRLDuXDFwAL5LGTSPBAtHTwCLcBGAsYHQ/s72-c/9c93071b-f496-4abd-8350-1a913221848a.jpg)
WAFANYAKAZI WANAWAKE TANESCO WAKABIDHI VIFAA VYA UJENZI KITUO CHA WATOTO YATIMA
KATIKA kusherehekea siku ya wanawake duniani, Wafanyakazi Wala ya kazi wanawake wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco) wametembelea kituo cha watoto yatima cha Rahman kilichopo jijini Dodoma na kuwapa misaada mbalimbali.
Wafanyakazi hao kwa umoja wao wamepeleka Mabati, Mbao, Mifuko ya Saruji, Misumari na Milango kwa ajili ya kumalizia baadhi ya mabweni lakini pia walibeba vyakula kama Mchele, Mafuta ya kupikia, Maji na Juisi.
Akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa hivyo...