Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Flaviana Matata Foundation na PSPF wakabidhi vifaa vya Shule Lindi

Mwanamitondo afanyae kazi zake za mitindo nchini Marekani Flaviana Matata, yuko nchini kwa ajili ya kufanya kazi za kijamii kupitia taasisi yake ya Flaviana Matata Foundation. katika mradi wa Back to school project /FMFstationarykit ambao unafadhiliwa na mfuko wa penseni PSPF,

Baada ya mwezi January Flaviana kugawa vifaa shule za msingi za jijini awamu hii ameenda Mtwara na kufanikiwa kugawa shule za Msingi Mtua na Chemchem ziliyopo Nachingwea pamoja nashule za msingi Litingi na Mnengulo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

FLAVIANA MATATA FOUNDATION YATOA VIFAA VYA SHULE SHULE YA MSINGI MSINUNE

Taasis ya Flaviana Matata 'FMF' ya Mwanamitindo Flaviana Matata aishie New York ,Nchini Marekani. Mwaka jana ilisaidia watoto 3000 kwa kuwapa vifaa vya kujifunzia.Mwaka huu itaendelea kuwasaidia Watoto hao hao wakati inaangalia namna ya kutatua matatizo mengine yanayozikabili Shule hizo ili kuboresha elimu nchini Yakiwemo mavazi, majengo na hata vyakula vya shule kwa shule za pembezoni Zoezi litaendelea kwa shule zingine za mikoani ukiwemo Mkoa wa Shinyanga, Lindi na Arusha kwa...

 

11 years ago

GPL

FLAVIANA MATATA, PSPF WATOA MABEGI KWA WANAFUNZI 650 WA SHULE KATIKA HALMASHAURI ZA LINDI NA NACHINGWEA MKOANI LINDI

Meneja Mawasiliano, Masoko na Uenezi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Costantina Martin pamoja na Mwanamitindo Flaviana Matata wakitoa mabegi kwa mmoja wa wanafunzi wa shule ya Msingi Mnengulo mkoani Lindi. Jumla ya wanafunzi 650 wa shule zilizopo katika  Halmashauri za Lindi na Nachingwea  mkoa wa Lindi wamenufaika na msaada huo wa mabegi hayo yenye vifaa mbalimbali vya shule, msaada huo umetolewa kwa pamoja kati ya PSPF na...

 

11 years ago

Michuzi

PSPF kwa kushirikiana na mwanamitindo Flaviana Matata wagawa vifaa shuleni

Mfuko wa Pensheni wa PSPF kwa kushirikiana na Taasisi ya Flaviana Matata imetoa msaada wa vifaa vya shule kwa wanafunzi walio katika mazingira magumu mkoani Lindi. Flaviana Matata ambaye ni mwanamitindo anayefanya nchini Marekani amekabidhi mabegi 650, kila begi lina vifaa mbalimbali vya shule. Vifaa vilikabidhiwa na Flaviana Matata mwenyewe kwa baadhi ya wanafunzi wa wilaya za Nachingwea na Lindi Mjini Lengo la msaada huo ambao umetolewa kwa pamoja kati ya Taasisi ya Flaviana Matata na...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA PSPF MWANAMITINDO WA KIMATAIFA FLAVIANA MATATA AKABIDHI MABEGI NA MADAFTARI KWA SHULE ZA MSINGI DODOMA NA SINGIDA


Balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Flaviana Matata, akikabidhi begi kwa mwanafunzi wa Shule ya Msingi, Nyerere iliyoko Manispaa ya Singida, Oktoba 7, 2015. PSPF kupitia Sera yake ya kusaidia jamii imetoa msaada wa mabegi na madaftari kwa shule hiyo na ile ya Chididimo iliyoko nje kidogo ya Manispaa ya Dodoma

NA K-VIS MEDIA, DODOMA NA SINGIDABALOZI wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Flaviana Matata, ametoa wito kwa wanafunzi wa shule za msingi Chididimo iliyoko Manispaa ya mji wa Dodoma na ile ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Balozi wa PSPF Mwanamitindo wa Kimataifa Flaviana Matata akabidhi mabegi na madaftari kwa shule za Msingi Dodoma na Singida

 Balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Flaviana Matata, akikabidhi begi kwa mwanafunzi wa Shule ya Msingi, Nyerere iliyoko Manispaa ya Singida, Oktoba 7, 2015. PSPF kupitia Sera yake ya kusaidia jamii imetoa msaada wa mabegi na madaftari kwa shule hiyo na ile ya Chididimo iliyoko nje kidogo ya Manispaa ya Dodoma

NA K-VIS MEDIA, DODOMA NA SINGIDA BALOZI wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Flaviana Matata, ametoa wito kwa wanafunzi wa shule za msingi Chididimo iliyoko Manispaa ya mji wa Dodoma...

 

10 years ago

Michuzi

RUSSELL SIMMONS AMSHIKA MKONO TENA FLAVIANA KUITAMBULISHA FLAVIANA MATATA FOUNDATION MAREKANI

Flaviana Matata Mwanamitindo wa kitanzania afanyae shughuli zake za Mitindo Nchini Marekani, Jana alijiunga na rafiki, mshauri, mwekezaji na hip- hop legend , Russell Simmons na kuitambulisha rasmi Flaviana Matata Foundation 'FMF' nchini Marekani katika hafla fupi ilofanyika jijini New York City kwenye mgahawa wa Beautique.  Nia ikiwa ni kusaidia suala la FMF katika - kuhamasisha , kuwawezesha na kuwasaidia watoto wa Tanzania katika masomo yao - wageni walioudhulia waliburudishwa na...

 

10 years ago

GPL

BALOZI WA PSPF FLAVIANA MATATA ATOA ELIMU YA FURSA MBALIMBALI ZINAZOPATIKANA KATIKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWA WANAFUNZI WA VYUO MBALIMBALI JIJINI MWANZA

  Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata akitoa elimu kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu (hawapo pichani) jijini Mwanza…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani