FLAVIANA MATATA, PSPF WATOA MABEGI KWA WANAFUNZI 650 WA SHULE KATIKA HALMASHAURI ZA LINDI NA NACHINGWEA MKOANI LINDI

Meneja Mawasiliano, Masoko na Uenezi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Costantina Martin pamoja na Mwanamitindo Flaviana Matata wakitoa mabegi kwa mmoja wa wanafunzi wa shule ya Msingi Mnengulo mkoani Lindi. Jumla ya wanafunzi 650 wa shule zilizopo katika Halmashauri za Lindi na Nachingwea mkoa wa Lindi wamenufaika na msaada huo wa mabegi hayo yenye vifaa mbalimbali vya shule, msaada huo umetolewa kwa pamoja kati ya PSPF na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog12 Aug
Flaviana Matata Foundation na PSPF wakabidhi vifaa vya Shule Lindi
Mwanamitondo afanyae kazi zake za mitindo nchini Marekani Flaviana Matata, yuko nchini kwa ajili ya kufanya kazi za kijamii kupitia taasisi yake ya Flaviana Matata Foundation. katika mradi wa Back to school project /FMFstationarykit ambao unafadhiliwa na mfuko wa penseni PSPF,
Baada ya mwezi January Flaviana kugawa vifaa shule za msingi za jijini awamu hii ameenda Mtwara na kufanikiwa kugawa shule za Msingi Mtua na Chemchem ziliyopo Nachingwea pamoja nashule za msingi Litingi na Mnengulo...
10 years ago
Dewji Blog08 Oct
Balozi wa PSPF Mwanamitindo wa Kimataifa Flaviana Matata akabidhi mabegi na madaftari kwa shule za Msingi Dodoma na Singida

Balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Flaviana Matata, akikabidhi begi kwa mwanafunzi wa Shule ya Msingi, Nyerere iliyoko Manispaa ya Singida, Oktoba 7, 2015. PSPF kupitia Sera yake ya kusaidia jamii imetoa msaada wa mabegi na madaftari kwa shule hiyo na ile ya Chididimo iliyoko nje kidogo ya Manispaa ya Dodoma
NA K-VIS MEDIA, DODOMA NA SINGIDA BALOZI wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Flaviana Matata, ametoa wito kwa wanafunzi wa shule za msingi Chididimo iliyoko Manispaa ya mji wa Dodoma...
10 years ago
Michuzi
BALOZI WA PSPF MWANAMITINDO WA KIMATAIFA FLAVIANA MATATA AKABIDHI MABEGI NA MADAFTARI KWA SHULE ZA MSINGI DODOMA NA SINGIDA

NA K-VIS MEDIA, DODOMA NA SINGIDABALOZI wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Flaviana Matata, ametoa wito kwa wanafunzi wa shule za msingi Chididimo iliyoko Manispaa ya mji wa Dodoma na ile ya...
10 years ago
GPL
BALOZI WA PSPF FLAVIANA MATATA ATOA ELIMU YA FURSA MBALIMBALI ZINAZOPATIKANA KATIKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWA WANAFUNZI WA VYUO MBALIMBALI JIJINI MWANZA
10 years ago
Michuzi
FLAVIANA MATATA ATOA ELIMU YA FURSA MBALIMBALI ZINAZOPATIKANA KATIKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWA WANAFUNZI WA VYUO MBALIMBALI JIJINI MWANZA



10 years ago
Dewji Blog21 May
Flaviana Matata atoa elimu ya fursa mbalimbali zinazopatikana PSPF kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali jijini Mwanza

Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata akitoa elimu kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu (hawapo pichani) jijini Mwanza.

Afisa Mfawidhi Ofisi ya PSPF Mwanza, Bw. Salim Salim, akisalimiana na Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata, kabla ya kuanza semina ya siku moja kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu jijini Mwanza.

Baadhi ya wanafunzi wakisoma vipeperushi vyenye taarifa kuhusu Mfuko wa PSPF wakati wa semina juu ya Mfuko huo iliyotolewa na Balozi wa PSPF, Bi....
10 years ago
MichuziWANAWAKE MKOANI LINDI WATAKIWA KUKAMATIA FURSA KWA KUJIUNGA NA CHF-RC LINDI
11 years ago
Michuzi06 Aug
PSPF YASHIRIKI MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE MKOANI LINDI KWA MAFANIKIO
BALOZI WA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF, MRISHO MPOTO “MJOMBA” AKIFURAHIA JAMBO NA MENEJA MASOKO WA PSPF, RAHMA NGASSA WAKATI AKITOA BURUDANI KWENYE MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE MKOANI LINDI.
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10