Balozi wa PSPF Mwanamitindo wa Kimataifa Flaviana Matata akabidhi mabegi na madaftari kwa shule za Msingi Dodoma na Singida
Balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Flaviana Matata, akikabidhi begi kwa mwanafunzi wa Shule ya Msingi, Nyerere iliyoko Manispaa ya Singida, Oktoba 7, 2015. PSPF kupitia Sera yake ya kusaidia jamii imetoa msaada wa mabegi na madaftari kwa shule hiyo na ile ya Chididimo iliyoko nje kidogo ya Manispaa ya Dodoma
NA K-VIS MEDIA, DODOMA NA SINGIDA BALOZI wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Flaviana Matata, ametoa wito kwa wanafunzi wa shule za msingi Chididimo iliyoko Manispaa ya mji wa Dodoma...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziBALOZI WA PSPF MWANAMITINDO WA KIMATAIFA FLAVIANA MATATA AKABIDHI MABEGI NA MADAFTARI KWA SHULE ZA MSINGI DODOMA NA SINGIDA
Balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Flaviana Matata, akikabidhi begi kwa mwanafunzi wa Shule ya Msingi, Nyerere iliyoko Manispaa ya Singida, Oktoba 7, 2015. PSPF kupitia Sera yake ya kusaidia jamii imetoa msaada wa mabegi na madaftari kwa shule hiyo na ile ya Chididimo iliyoko nje kidogo ya Manispaa ya Dodoma
NA K-VIS MEDIA, DODOMA NA SINGIDABALOZI wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Flaviana Matata, ametoa wito kwa wanafunzi wa shule za msingi Chididimo iliyoko Manispaa ya mji wa Dodoma na ile ya...
11 years ago
GPLFLAVIANA MATATA, PSPF WATOA MABEGI KWA WANAFUNZI 650 WA SHULE KATIKA HALMASHAURI ZA LINDI NA NACHINGWEA MKOANI LINDI
11 years ago
MichuziPSPF kwa kushirikiana na mwanamitindo Flaviana Matata wagawa vifaa shuleni
10 years ago
Michuzi31 May
MWANAMITINDO WA KIMATAIFA FLAVIANA MATATA AZIDI KUWIKA
10 years ago
GPLBALOZI WA PSPF FLAVIANA MATATA ATOA ELIMU YA FURSA MBALIMBALI ZINAZOPATIKANA KATIKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWA WANAFUNZI WA VYUO MBALIMBALI JIJINI MWANZA
10 years ago
Vijimambo14 Jan
FLAVIANA MATATA FOUNDATION YATOA VIFAA VYA SHULE SHULE YA MSINGI MSINUNE
11 years ago
Dewji Blog12 Aug
Flaviana Matata Foundation na PSPF wakabidhi vifaa vya Shule Lindi
Mwanamitondo afanyae kazi zake za mitindo nchini Marekani Flaviana Matata, yuko nchini kwa ajili ya kufanya kazi za kijamii kupitia taasisi yake ya Flaviana Matata Foundation. katika mradi wa Back to school project /FMFstationarykit ambao unafadhiliwa na mfuko wa penseni PSPF,
Baada ya mwezi January Flaviana kugawa vifaa shule za msingi za jijini awamu hii ameenda Mtwara na kufanikiwa kugawa shule za Msingi Mtua na Chemchem ziliyopo Nachingwea pamoja nashule za msingi Litingi na Mnengulo...
11 years ago
Michuzi15 Mar
Haikupunguzii chochote kumpa mwanamke nafasi - Mwanamitindo Flaviana Matata
Wakati mikutano mbalimbali kuhusu hali ya ya wanwake ikiendelea mjini New York Marekani, mwanamitindo nguli wa kimataifa kutoka Tanzania Flaviana Matata ambaye pia anamiliki taasisi iitwayo Flaviana Matata inayotoa misaada ya kielimu, amesema ikiwa wanawake watainuana na kupeana nafasi watapiga hatua kwani kufanya hivyo kunatoa fursa zaidi kwa kundihilo.
Katika mahiojiano maalum na Joseph Msami wa idhaa hii muda mfupi baada ya kuhudhuria...