Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Haya yote ya nini JK wakati nchi haiko vitani?

. Natatizwa sana kuona Serikali ya KIkwete ikijiimarisha “kiulinzi” kupitia Jeshi, Polisi na hata Usalama wa Taifa eti kudhibiti na kuzuia machafuko wakati wa uchaguzi mkuu. Serikali imeweka majesho yote kwenye Red alert, polisi wamekabidhiwa magari […]

The post Haya yote ya nini JK wakati nchi haiko vitani? appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

YOTE HAYA UTAYAPATA KWENYE GAZETIU LA UWAZI

Mgonjwa aliyetoa siri Muhimbili kwa Magufuli, yamkuta -Ni yule aliyeibua ubovu wa CT-Scan -Avamiwa anakoishi -Ahofia maisha -Azungumza na UWAZI mwanzo hadi mwisho. -Unataka kufahamu akina nani wamemvamia na nini kimemkuta baada ya kuvamiwa? Wanaswa wakijiandaa kulipua hoteli -Unajua ni akina nani, wapi na ilikuwaje? Magufuli 'kiboko'! -Awahenyesha Makjatibu Wakuu wa Wizara -Unataka kujua nini amekifanya Rais Magufuli? -Ni Wizara...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema: Baba Aliniambia Niingie Kwenye Siasa, Haya Sasa Naingia Vitani, Sitakubali Kushindwa

Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ambaye ametangaza nia kuwania ubunge wa Viti Maalum kupitia CCM ameandika hayo kwenye ukursa wake Instagram mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu ya zamani akiwa na mama yake pamoja  na Marehemu baba yake.

"Naanza kwa kusema Alhamdulillah kwa kufikia hapa nilipo na nawashkuru sana wazazi wangu kwa kunileta duniani na kunilea katika maadili mazuri.

Nawashkuru pia kwa kunipa Elimu na kunipa chochote nilichokitaka but more over kwa kunipa support kubwa...

 

10 years ago

GPL

YOTE HAYA YANAPATIKANA NDANI YA RISASI JUMATANO KESHO

-Wafanya kufuru; Ray Kigosi na Steve Nyerere wamfanyia kufuru mwanamuziki Christian Bella. Je, wajua ni kufuru gani hiyo? -Hii kali ya mwaka; OFM yanasa wagonjwa wakiosha vyombo kwenye masinki ya vyoo, ni wapi huko? ilikuwaje? -Jeuri ya fedha; Nelly Kamwelu anunua Lipstick kwa Mil. 6, unataka kuiona? KUJUA UNDANI WA HAYO YOTE NA MENGINE MENGI, USIKOSE KUSOMA GAZETI LAKO LA RISASI JUMATANO KESHO. ...

 

10 years ago

GPL

WEMA, AUNT, YOTE HAYA ILI IWEJE SASA?

MIMI ni Mmatengo, kabila moja kubwa katika mkoa wa Ruvuma, lakini lisilo maarufu, tunapatikana katika wilaya kubwa pia, inaitwa Mbinga. Idadi kubwa ya wamatengo ni wakristo, tena wa madhehebu ya Roman Catholic.
Katika moja ya vitu ambavyo wanakijiji wenzangu wanaviheshimu sana, ni makaburi. Wenyewe wanaita Shamba la Bwana. Ili kuonyesha heshima hiyo, makaburi yamepewa ‘ofa’ ya kujengwa mbali kabisa na makazi ya...

 

9 years ago

GPL

YOTE HAYA UTAYAPATA KWENYE GAZET LA RISASI, JUMATANO HII

Jide jeuri kwisha! >Unataka kujua nini kimemtokea Jide? Diamond aibu tupu! > Picha za CCTV nyumbani kwake zamuumbua > Fundi ajionea sinema ya bure > Amwaga ubuyu Wema, Mwana FA kuukwaa ubunge? Sajent, Nisha Wagombea Bwana! >Unataka kumjua bwana mwenyewe? wapi tukio hilo lilitokea? ilikuwaje? Wachungaji, Mashehe Wakutana Kanisani! >Ni Kwa Ajili Ya Kuwarudisha Wabwia Unga Kwa Mungu Yote haya na mengine usikose kusoma Gazeti...

 

9 years ago

GPL

YOTE HAYA UTAYAPATA KATIKA GAZETI LAKO LA IJUMAA WIKIENDA

WASTARA AKATWA MGUU! -Mamilioni ya fedha yatumika, mwenyewe aeleza maumivu makali aliyopitia kwa saa 24 -Unataka kujua jinsi alivyokatwa mguu huo na ni kwa nini? CHANZO CHA LULU KUTODUMU NA MWANAUME CHATAJWA! -Unajua chanzo hicho ni nini? -Licha ya kuwa na mvuto, kwa nini hadumu na mwanaume? MGONI AMUUA MWENYE MKE! -Amvizia shambani, ampiga na jembe kichwani naye ala kichapo -Unajua chanzo cha kisa hicho? KAJALA APATA...

 

11 years ago

Mwananchi

Zingatia haya wakati wa kujifungua

Tangu mimba inatungwa na kipindi chote cha ujauzito ni wakati muhimu mno kwa mjamzito, lakini wakati muhimu zaidi ni wakati wa kujifungua.

 

10 years ago

Mwananchi

Lipumba agonganisha mihimili yote ya nchi

Mjadala kuhusu sakata la polisi kumpiga na kumtia mbaroni Profesa Ibrahim Lipumba jana ulikuwa mkali, lakini uliweka bayana kugongana kwa mihimili mitatu ya nchi baada ya Bunge kujadili suala hilo wakati likiwa limeshafika mahakamani

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mauaji haya ya Kiteto, DC Umbula anangoja nini?

RAIS Jakaya Kikwete sina hakika kama unajua kwamba wananchi takribani 30 wameshapoteza maisha wilayani Kiteto Mkoa wa Manyara. Wafugaji na wakulima wanauana kwa sababu ya chuki za kibaguzi zinazodaiwa kupandikizwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani