WEMA, AUNT, YOTE HAYA ILI IWEJE SASA?
![](http://api.ning.com/files/TARUKDkBK7oZRGIVKgIWh1dt2uNaHJbToqfyxGMPeK31FY3q7dmX35nA-x2R*qEL2ocQY4Luun-liQZ9oc4yaL6dA73-v9VN/MAMAWEMAh.jpg?width=650)
MIMI ni Mmatengo, kabila moja kubwa katika mkoa wa Ruvuma, lakini lisilo maarufu, tunapatikana katika wilaya kubwa pia, inaitwa Mbinga. Idadi kubwa ya wamatengo ni wakristo, tena wa madhehebu ya Roman Catholic. Katika moja ya vitu ambavyo wanakijiji wenzangu wanaviheshimu sana, ni makaburi. Wenyewe wanaita Shamba la Bwana. Ili kuonyesha heshima hiyo, makaburi yamepewa ‘ofa’ ya kujengwa mbali kabisa na makazi ya...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Shoga; Unapiga picha za utupu ili iweje sasa?
Awali ya yote napenda kukupongeza shoga yangu kwa kuuona Mwaka Mpya wa 2016 hivyo hatunabudi kila mmoja wetu kumshukuru Mwenyezi Mungu aliyetuwezesha kuufikia kwani kuna wenzetu walitamani kuuona lakini hatunao.
Kama kawaida ya watu kujiwekea malengo kila tunapouanza mwaka mpya, nawe fanya hivyo ili utakapofika Desemba utembee kifua mbele kwa kufanikisha malengo yako.
Baada ya kusema hayo shoga yangu, sasa narejea kwenye jambo ambalo nimeona ni vyema nikazungumza nawe lengo likiwa ni...
10 years ago
Bongo Movies18 Jun
Wema: Baba Aliniambia Niingie Kwenye Siasa, Haya Sasa Naingia Vitani, Sitakubali Kushindwa
Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ambaye ametangaza nia kuwania ubunge wa Viti Maalum kupitia CCM ameandika hayo kwenye ukursa wake Instagram mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu ya zamani akiwa na mama yake pamoja na Marehemu baba yake.
"Naanza kwa kusema Alhamdulillah kwa kufikia hapa nilipo na nawashkuru sana wazazi wangu kwa kunileta duniani na kunilea katika maadili mazuri.
Nawashkuru pia kwa kunipa Elimu na kunipa chochote nilichokitaka but more over kwa kunipa support kubwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rkFK1BYzsGj5YuX8rc3uVk1mzjvfZGmWhFJsQkjeWesvjknA4yhWAU91ktICdjvXFZe4WqPLPrgSAd6RSpRuTh2t0N*7ywBM/Love.jpg)
UNAJENGA UKARIBU NA MKE, MPENZI WA MTU ILI IWEJE?
11 years ago
Tanzania Daima20 Jul
Tunataka kunusuru mchakato wa katiba mpya ili iweje?
NAKUMBUKA nilipoingia darasani kufundishwa namna ya kutumia kompyuta, mwalimu aliyeingia darasani wa kwanza alianza na sentensi fupi ya kimombo kabla hata hatujasalimiana na kutambulishana. Nakumbuka alisema “garbage in, garbage out.”...
10 years ago
Bongo Movies13 Jun
Johari: Nina mtoto sawa, mnataka kumjua baba yake ili iweje?
Staa wa Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’ amedai kushangazwa na watu wanaoshindwa kufanya mambo yao binafsi na kuanza kufuatilia maisha yake pamoja na mtoto wake.
ohari ameiambia Bongo5 kuwa anaishi kwa furaha na mwanae licha baadhi ya watu kumfuatilia na kutaka kujua mtoto wake amezaa na nani kitu ambacho hapendi kukiweka wazi kwa sasa.
“Sidhani kama kuna mtoto ambae anakosa baba,” amesema muigizaji huyo.
“Siku nitapokuwa tayari nitamweka wazi baba yake ili waridhike. Kwa sababu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mClk6LlNRyvD0nM2U63LIa9GZOPIKnfQZez4epzErEHUJei-e5VDwpgqQibouAUlkz7ESoX3jFZBDci4ekE-JppGau-Fx1-Z/MAHaBA.jpg)
UNANG’ANG’ANIA KUPENDA USIPOPENDEKA ILI IWEJE?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eOkD9SMZvVpsz-sSpGyR-tkxaDTV01JNHpJ8Drh*LLksRTRQICz5GpMkv8MdqL0z5i1Xn*tzyv0Ux1M*wLGWZhhdlv9KqboM/mahaba.jpg?width=650)
UNANG'ANG'ANIA KUPENDA USIKOPENDEKA ILI IWEJE? - 2
5 years ago
BBCSwahili04 May
Virusi vya corona: 'Sasa iweje?' Jinsi rais wa Brazil anavyopuuza janga la Covid-19
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/06/lovingcouple.jpg?width=650)
UNAMPENDA MTU WA MTU ILI IWEJE?