Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Johari: Nina mtoto sawa, mnataka kumjua baba yake ili iweje?

Staa wa Bongo Movies, Blandina Chagula  ‘Johari’ amedai kushangazwa na watu wanaoshindwa kufanya mambo yao binafsi na kuanza kufuatilia maisha yake pamoja na mtoto wake.


ohari ameiambia Bongo5 kuwa anaishi kwa furaha na mwanae licha baadhi ya watu kumfuatilia na kutaka kujua mtoto wake amezaa na nani kitu ambacho hapendi kukiweka wazi kwa sasa.
“Sidhani kama kuna mtoto ambae anakosa baba,” amesema muigizaji huyo.


“Siku nitapokuwa tayari nitamweka wazi baba yake ili waridhike. Kwa sababu...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

JOHARI AFIWA NA BABA YAKE MDOGO

Msanii Blandina Chagula 'Johari' baada ya kuweka shada la maua kwenye kaburi la baba yake mdogo Mzee Clement Chagula. Baadhi ya mastaa wa Bongo Muvi walioshiriki mazishi…

 

11 years ago

Bongo Movies

MSIBA: Johari afiwa na baba yake. Tazama picha za mazishi yalivyokuwa leo.

R.IP baba yetu kipenzi CLEMENT KIENZE CHAGULA tulikupenda sana ila mungu amekupenda zaidi .daima tutakukumbuka milele pumzika kwa amani. Amini.

 

5 years ago

BBCSwahili

Msichana aliyeendesha baiskeli ili kunusuru maisha ya baba yake amekuwa maarufu India

Msichana aliyeendesha baiskeli ili kunusuru maisha ya baba yake amekuwa maarufu nchini India

 

9 years ago

Global Publishers

Shoga; Unapiga picha za utupu ili iweje sasa?

LOVE2Awali ya yote napenda kukupongeza shoga yangu kwa kuuona Mwaka Mpya wa 2016 hivyo hatunabudi kila mmoja wetu kumshukuru Mwenyezi Mungu aliyetuwezesha kuufikia kwani kuna wenzetu walitamani kuuona lakini hatunao.

Kama kawaida ya watu kujiwekea malengo kila tunapouanza mwaka mpya, nawe fanya hivyo ili utakapofika Desemba utembee kifua mbele kwa kufanikisha malengo yako.
Baada ya kusema hayo shoga yangu, sasa narejea kwenye jambo ambalo nimeona ni vyema nikazungumza nawe lengo likiwa ni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tunataka kunusuru mchakato wa katiba mpya ili iweje?

NAKUMBUKA nilipoingia darasani kufundishwa namna ya kutumia kompyuta, mwalimu aliyeingia darasani wa kwanza alianza na sentensi fupi ya kimombo kabla hata hatujasalimiana na kutambulishana. Nakumbuka alisema “garbage in, garbage out.”...

 

10 years ago

GPL

UNAJENGA UKARIBU NA MKE, MPENZI WA MTU ILI IWEJE?

Ni wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiamini umzima bukheri wa afya. Mimi namshukuru Mungu kwa kunipa nguvu na uwezo wa kuandika hiki nilichodhamiria kukufikishia siku ya leo.
Nazungumzia ukaribu ambao baadhi ya watu wamekuwa wakiujenga kwa wake au waume za watu bila hofu yoyote na kuona ni jambo la kawaida tu. Katabia hako kamechipukia huko mtaani ambapo unakuta mtu yuko kwenye ndoa au uhusiano wa...

 

10 years ago

GPL

WEMA, AUNT, YOTE HAYA ILI IWEJE SASA?

MIMI ni Mmatengo, kabila moja kubwa katika mkoa wa Ruvuma, lakini lisilo maarufu, tunapatikana katika wilaya kubwa pia, inaitwa Mbinga. Idadi kubwa ya wamatengo ni wakristo, tena wa madhehebu ya Roman Catholic.
Katika moja ya vitu ambavyo wanakijiji wenzangu wanaviheshimu sana, ni makaburi. Wenyewe wanaita Shamba la Bwana. Ili kuonyesha heshima hiyo, makaburi yamepewa ‘ofa’ ya kujengwa mbali kabisa na makazi ya...

 

10 years ago

Habarileo

Mtoto wa Kingunge amgeuka baba yake

MTOTO wa mwanasiasa mkongwe nchini Kingunge Ngombale Mwiru, Kunje amempinga baba yake na kusema kwamba hawezi kuleta mabadiliko yoyote kwa kushirikiana na Ukawa kama ambavyo wamekuwa wakijinadi.

 

10 years ago

Bongo Movies

Mtoto wa Monalisa Alishangaa Siku ya Msiba wa Baba Yake

Sonia Tyson  George mtoto wa aliekuwa  muongozaji mkubwa wa fialamu hapa , Marehemu  George Tyson   amesema kuwa  siku ya msiba wa baba yake alishangaa sana kuona  watu wengi nyumbani kwao na kuamini kuwa  baba yake  ni mtu maarufu katika jamii.

Ikiwa ni mwaka mmoja sasa umepita tangu baba yake afariki dunia,  Sonia akiongea kwenye kipindi  cha filamunata  alisema kuwa mbali  na  baba yake ni kitendo  ambacho hatokisahu  katika maisha yake  lakini anajikaza  na kujipa moyo kwa sababu ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani