Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KADINDA: NILITAMANI WEMA AWE WANGU

Stori: Mayasa Mariwata MWANAMITINDO maarufu Bongo, Martin Kadinda amesema kabla hajawa kiongozi wake, awali aliwahi kumtamani kimapenzi mcheza filamu Wema Sepetu, lakini alighairi baada ya kugundua ni mwanamke wa kudekadeka. Mwanamitindo maarufu Bongo, Martin Kadinda. Kadinda alitoa kauli hiyo hivi karibuni wakati akipiga stori na paparazzi wetu kuhusu masuala mbalimbali yanayomhusu msichana huyo ambaye ana uhusiano wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Kadinda: Sipendi ‘Drama’ za Wema, Team Wema Msinitusi

Meneja  wa staa mrembo, mjasiliamali  na mwigizaji  wa filamu, Wema Sepetu , Martin Kadinda ametoboa kuwa anapenda kila kitu kuhusu Wema isipokuwa  ‘drama’  zake na kuwasihi watu ambao ni mashabiki na watetezi wa Wema Sepetu kwa kila jambo huko mtandaoni maarufu kama Team Wema wasimtukane .

Meneja huyo ambaye ni mbunifu wa mavazi aliyasema hayo hivi juzi kati kwenye ukursa wake mtandao mara baada ya kubandika picha ya Wema akiwa ndani ya ofisi ya Hospitali ya kimataifa ambayo imeingia...

 

10 years ago

Vijimambo

Martin Kadinda Hivi Kweli Meneja Ndo Anatakiwa Awe Hivi Kwa Mteja Wake? Jisomee Alichoandika

Katika pitapita zangu instagram nikakutana na post aliyoiweka Martin Kadinda kuhusu mteja wake mpya Elizabeth michael aka Lulu.Nilishangazwa sababu maneno haya hayakutakiwa kuwekwa na manager wake,labda kama ana mmanage kwenye biashara ya Ngono..Picha hiyohapo niliyo screenshoot.

 

10 years ago

GPL

MAHABA NIGARAGAZE, ADUI AWE ‘BABY’ WANGU

Na Musa Mateja
ILIANZA kama utani lakini siku zilivyosonga ndivyo uhusiano wao ulivyowekwa wazi, hao ni watu wawili waliowahi kuwa maadui wakubwa miaka kadhaa nyuma. Staa wa filamu Shamsa Ford na msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ wakifanya yao. Hapo nawazungumzia staa wa filamu Shamsa Ford na msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ambao kwa sasa wamezama...

 

11 years ago

GPL

BUSU LA WEMA, KADINDA UTATA!

Wema Sepetu na meneja wake, Martin Kadinda katika pozi tata. Stori: Mwandishi Wetu PICHA inayomuonesha mwigizaji Wema Sepetu na meneja wake, Martin Kadinda imezua utata kuwa huenda wawili hao wana zaidi ya umeneja. Baada ya picha hiyo kutupiwa kwenye mtandao wa Instragram na watu kutilia mashaka busu hilo, paparazi wetu alimvutia waya Wema, alipopatikana alijibu:
“Martin ni meneja, baby wangu kila mmoja anamjua, ni...

 

10 years ago

Bongo5

Amini: Nataka mke wangu ajifungue mtoto wa kiume ili awe mwanasheria

Msanii wa muziki Amini ambaye mke wake ni mjamzito amesema kuwa anaomba mke wake ajifungue mtoto wa kiume ili mwanae aje kuwa mwanasheria na sio mwanamuziki. Katikati ni msanii wa muziki Amini akiwa na mke wake pamoja na mtu wao wa karibu Akizungumza na waandishi wa habari katika sherehe za kuagwa na wanafunzi wenzake wa […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Kadinda: Wema Anachangamoto Hii Kwenye Siasa

Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amesema anaamini kuwa muigizaji huyo anaweza kuwa kiongozi mzuri japo changamoto inayomkabili ni kubadilisha mawazo ya watu juu yake hasa kutokana na maisha yake ya ustaa na mapenzi.

Martin ameiambia Bongo5 kuwa kinachotakiwa sasa ni kuwabadili watu waanze kumchukulia kama mwanamke anayeweza kuwa kiongozi.

“Watu wengi wametokea kumsupport kwa sababu walikuwa wanamsikia baba yake akimtaka aingie kwenye siasa, na wengine walikuwa wanamtaka Wema aingie...

 

11 years ago

GPL

PICHA ZA AUNT, WEMA, KADINDA ZATIBUA SWAUMU

OOHOO! Picha ambazo hazijakaa poa katika kipindi hiki cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani za mastaa, Aunt Ezekiel, Wema Sepetu na Martin Kadinda zimetibua swaumu za Waislamu waliofunga. Mastaa wa Bongo Muvi Aunt Ezekiel na Wema Sepetu. Picha hizo zinazoonesha ni za kipindi cha Wema cha In My Shoes kinachorushwa kupitia EATV, zinawaonesha sehemu ya juu wakiwa wazi.… ...

 

11 years ago

GPL

BAADA YA KADINDA, WEMA AMSHUSHIA MABUSU MTANGAZAJI

Stori: Mwandishi Wetu
UTAMU kolea! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ametengeneza kichwa cha habari kwa mara nyingine baada ya picha inayomuonesha akimshushia mabusu Mtangazaji wa East Africa Television ‘EATV’, Tonny Albert ‘T-bway 260’ kunaswa. Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu akimshushia mabusu Mtangazaji wa East Africa Television ‘EATV’, Tonny Albert ‘T-bway 260’...

 

9 years ago

Bongo5

Kadinda ataja mipango mipya kwa Wema Sepetu

wemaa na kadinda

Meneja Wema Sepetu, Martin Kadinda amesema mpango alionao ni kumtoa mwanadada huyo katika drama na kumfanya awe mfanyabiashara mkubwa mwaka 2016.

wemaa na kadinda

Kadinda ambaye pia ni mbunifu wa mavazi, ameiambia Bongo5 kama Wema akiweza kubadilika na kuacha drama, atakuwa na mafanikio makubwa.

“Wema is a business woman, kitu ambacho nitakifanya ni kuhakikisha anasimama kama mfanyabiashara,” alisema.

“Kuna kipindi tulikuwa tayari tumeondoka kwenye drama na mimi nikasimama na kazi zangu nyingine akarudi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani