Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Martin Kadinda Akanusha Habari ya Wema Kupeleka Diamond Polisi

Meneja wa mwigizaji Wema Sepetu, Martnin Kadinda amekaunsha habari ya Wema kumpeleka polisi Diamond kwa kumtapeli shilingi milioni 10, iliyochapishwa leo kwenye Gazeti la Mtanzania.

Martin amesema kuwa Wema na Diamond hawadaiani chochote na kwamba habari hizo ni za uongo. “Unajua tatizo ni kwamba hatujajua source ni nani,” amesema Martin. “Kwa sababu taarifa
ikishaingia kwenye social network everybody posts, kwahiyo sisi tunamtafuta nani ameianzisha hiyo stori. “We don’t have any issue with...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Wema Sepetu Hajampeleka Diamond Mahakamani Kwa Deni La Milion 10 — Martin Kadinda Afunguka


Meneja wa Wema Sepetu, Martin Kadinda amekanusha taarifa zilizoandikwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari nchini likiwemo gazeti la Mtanzania kuwa amempeleka Diamond polisi kwa kile kinachosemwa ni kumtapeli shilingi milioni 10.Martin ameiambia Bongo5 kuwa Wema na Diamond hawadaiani chochote na kwamba habari hizo ni za uongo.
“Unajua tatizo ni kwamba hatujajua source ni nani,” amesema Martin. “Kwa sababu taarifa ikishaingia kwenye social network everybody posts, kwahiyo sisi tunamtafuta nani...

 

11 years ago

GPL

MARTIN KADINDA: ‘KUMMENEJI’ WEMA SHUGHULI PEVU

Stori: Musa Mateja
MENEJA wa Wema Isaac Sepetu, Martin Kadinda amekiri kuwa kumsimamia ‘kummeneji’ staa huyo ni shughuli pevu kwani ana tabia ya kubadilika. Meneja wa Wema Isaac Sepetu, Martin Kadinda akiwa na na Staa huyo. Alisema Wema anahitahi hesabu kwani kuna vitu unaweza kupanga naye lakini akashindwa kutimiza kutokana na hisia zake binafsi.… ...

 

9 years ago

Bongo5

Martin Kadinda aeleza kwanini filamu ya Van Vicker na Wema inachelewa kutoka

Meneja wa mwanadada wa filamu Wema Sepetu, Martin Kadinda ameelezea sababu ya kuchelewa kutoka kwa filamu ya ‘Day After Death’ iliyochezwa na Wema pamoja na muigizaji wa Ghana, Van Vicker ‘Day After Death’. Martin amesema filamu hiyo ilikuwa itoke September mwaka huu lakini imeshindikana kutokana na kampeni za uchaguzi. “Filamu mpaka sasa ipo tayari, lakini […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha:Safisha Macho na Hizi za ‘Bethidei’ Pati ya Meneja wa Wema, Martin Kadinda Hapo Jana

Siku ya jana ilifanyika bonge la sherehe ndani ya MOG bar &restaurants zamani nyumbani lounge, ilikuwa ni meneja wa staa Wema Sepetu, Martin  Kadinda alikuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa, Mastaa na watu wake  wakaribu walikuwepo ndani ya nyumba.

Jionee baadhi ya picha za tukio zima hapo juu.

 

10 years ago

GPL

MARTIN KADINDA KUOA SOON!

Mbunifu wa mavazi Bongo, Martin Kadinda. Na Laurent Samatta
MBUNIFU wa mavazi Bongo, Martin Kadinda, amesema kuwa baada ya kuishi bachela kwa miaka mingi amepanga kuoa ‘ soon’ mwanamke ambaye ni mpenzi wake wa siku nyingi ili kumaliza maneno ya watu kuwa hajiwezi. Akizungumza na Amani, Kadinda alisema kuwa mwanamke anayemuoa si aliyezaa naye mtoto bali ni mwanamke aliyekuwa naye kwenye uhusiano kwa muda mrefu na...

 

10 years ago

Michuzi

martin kadinda apigwa kabali na 93.7 efm

SIKILIZA 93.7EFM POPOTE DUNIANI BOFYA HAPAMbunifu wa mitindo Martin Kadinda

 

11 years ago

Mwananchi

Martin Kadinda kuitambulisha ‘Supremacy’ kimataifa

>Mwezi mmoja tangu atambulishe toleo jipya la mavazi ‘Supremacy’ mbunifu wa mitindo nchini Martin Kadinda yuko mbioni kuanza ziara aliyoipa jina la Boda to Boda, kutambulisha toleo hilo kimataifa.

 

9 years ago

Bongo Movies

Mume wa Dada Yake na Diamond Akanusha Kutoka na Wema

Mume wa dada yake na Diamond, Esma, Petit Man ambaye pia ni mfanyakazi wa kampuni ya Wema Sepetu, Endless Fame Film amekanusha kutoka kimapenzi na na bosi wake huyo.

Akizungumza kwenye kipindi cha na FNL cha EATV jana, Petit alisema anamheshimu Wema kama bosi wake.

“Niko na Wema huu ni mwaka wa nane inasemekana vitu hivyo hivyo,” alisema. “Lakini Wema akiwa tu karibu na mtu basi watu wanasema hivyo. Ilikuwa kwa Mirror wakasema hayo, maneno hayo ni maneno wanayoyaongea. Hakuna kitu...

 

11 years ago

GPL

WANAMITINDO, ALLY REHMTULLA NA MARTIN KADINDA WATUNUKIWA VYETI VYA MAFANIKIO

Mama wa Mitindo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fabak Fashions na wandaaji wa onesho la Lady in Red, Bi. Asia Idarous Khamsin akizungumza na wadau tasnia ya mitindo waliojumuika kwenye After Party ya kuwashukuru wadau waliotoa michango mbalimbali tangu kuanza kwa onyesho la Lady in Red nchini Tanzania. Mama wa Mitindo Bi. Asia Idarous Khamsin akipozi wakati wa zoezi la kugawa vyeti na models waliovaa mavazi yaliyoonyeshwa kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani