Mume wa Dada Yake na Diamond Akanusha Kutoka na Wema
Mume wa dada yake na Diamond, Esma, Petit Man ambaye pia ni mfanyakazi wa kampuni ya Wema Sepetu, Endless Fame Film amekanusha kutoka kimapenzi na na bosi wake huyo.
Akizungumza kwenye kipindi cha na FNL cha EATV jana, Petit alisema anamheshimu Wema kama bosi wake.
“Niko na Wema huu ni mwaka wa nane inasemekana vitu hivyo hivyo,” alisema. “Lakini Wema akiwa tu karibu na mtu basi watu wanasema hivyo. Ilikuwa kwa Mirror wakasema hayo, maneno hayo ni maneno wanayoyaongea. Hakuna kitu...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies04 Feb
PICHA: Kitendo ya Dada yake Diamond Kudendeka na Wema Chawa Gumzo Mtandaoni
Siku za hivi karibuni kumeibuka na mtindo mpya wa watu kulishana keki wa kutumia mdomo yaani “Kudendeka”.
Picha ya mrembo na mwigizaji wa filamu Wema Sepetu akilishwa keki kwa mdomo na dada yake Diamond, Esma imeibua mjadala mtandaoni baada ya baadhi ya watu kudai kuwa Wema anataka kumrusha roho Zari ambae awari aliandika ujumbe mtandaoni na kumuita Esma WIFI. Huku wengine wakiona kama ni kawaida kwani kwa kiasi kikubwa Wema ndio aliewawezesha Esma na Petti Man wakafunga ndoa.
Tukio hilo...
10 years ago
Bongo Movies03 Feb
VIJIMAMBO: Dada yake Diamond, Esma Awagonganisha Wema na Zari, Moja Amuita WIFI Mwingine MKWE!!
Siku ya jana ilikuwani siku ya kuzaliwa ya mwanadada Esma ambae ni dada wa msanii mkubwa wa Bongo Fleva hapa nchini, Diamond Platnumz. Kama unavyojua tena mambo mitandaoni
Alianza mwanadada Zari, ambae ni mpenzi wa sasa wa Diamond, kumtumia Esma ujume wa kumtakia furaha kwenye siku yake ya kuzaliwa na kumuita Esma kama WIFI. Watu wakaichukulia poa kwani ni kweli wifi yake.
“Happy bday to my lovely wifi @esmaplatnum. Love you doll”-Aliandika Zari na kuweka picha ya Esma
Baada ya saa...
10 years ago
Bongo Movies03 Feb
VIJIMAMBO: Dada yake Diamond, Esma Awagonganisha Wema na Zari, Moja Aita WIFI Mwingine MKWE!!
Siku ya jana ilikuwani siku ya kuzaliwa ya mwanadada Esma ambae ni dada wa msanii mkubwa wa Bongo Fleva hapa nchini, Diamond Platnumz. Kama unavyojua tena mambo mitandaoni
Alianza mwanadada Zari, ambae ni mpenzi wa sasa wa Diamond, kumtumia Esma ujume wa kumtakia furaha kwenye siku yake ya kuzaliwa na kumuita Esma kama WIFI. Watu wakaichukulia poa kwani ni kweli wifi yake.
“Happy bday to my lovely wifi @esmaplatnum. Love you doll”-Aliandika Zari na kuweka picha ya Esma
Baada ya saa...
10 years ago
GPL
AFUMANIWA GESTI NA MUME WA DADA YAKE
10 years ago
GPL
KAKA ADAIWA KUMTOROSHA DADA YAKE KWA MUME
10 years ago
CloudsFM03 Feb
PETIT MAN AMFANYIA ‘’SURPRISE’DADA YAKE DIAMOND KWENYE SIKU YAKE YA KUZALIWA
Meneja wa msanii wa Bongo Fleva,Mirror,Petit Man kutoka kampuni ya Endless Fame chini yake Wema Sepetu jana alimfanyia Surprise mke wake ambaye ni dada yake aitwaye Esma Platinumz kwa kumzawadia zawadi ya gari kwenye sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika Samaki Samaki maeneo ya Masaki.
Katika Sherehe iliyohudhuliwa na mastaa kibao akiwemo Wema Sepetu,Petit Man wakati akimzawadia mke wake huyo hakuamini na kuanza kulia kwa furaha.
Kupitia Instagram Esma aliandika hivi....Thank u my husband for...
11 years ago
Bongo516 Oct
Kanye West ampiga marafuku mume wa dada yake na Kim Kardashian kumsogelea mwanae North
11 years ago
GPL
SHEMEJI WA WEMA ATANGAZA NDOA NA DADA WA DIAMOND
10 years ago
Bongo506 Oct
Idris Sultan akanusha kuwahi kutoka kimapenzi na Wema Sepetu