KAKA ADAIWA KUMTOROSHA DADA YAKE KWA MUME
![](http://api.ning.com:80/files/e*Q7chwcF2YcvMs-3TPiK3AUAj6YKlbo*Hqb0C9Od74Kd75QjRs9nwxh06dEISIAMnzJeLOGn4RdOQZ3N4ZurTVikn1XzACV/e.jpg)
Na Makongoro Oging’/Uwazi ALLY Issa anayeishi Mombasa nchini Kenya, anadaiwa kumtorosha dada yake Hasina Issa (22) aliyekuwa akiishi na mumewe, Baraka Ally (32), Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam.Tukio hilo lilitokea siku ya mkesha wa Siku ya Wapendanao ‘Valentine’s Day’. Hasina Issa siku ya harusi yake. Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, Ally alisema alitoa taarifa polisi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/P1afYajBhxA3y2zQlAbVFpgNe4eAp0XepO2O346JAzlGRWPOUVr5dak8TMeLOiZgI5-EXMox-RR*l7Ntk6yJlM28hY2LsBso/BACKUWAZI.jpg)
DADA AMUUA KAKA YAKE KWA KISU KISA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JcikeZL6OiKMBuyI18FcpvWzXrUQn-wSKzIFbJH18m38afYAOHDUAgHmujnBGko8dpf6gtanA8RNYQzA4aVHDmOW65Ug0fh5/5.jpg?width=650)
AFUMANIWA GESTI NA MUME WA DADA YAKE
9 years ago
Bongo Movies06 Sep
Mume wa Dada Yake na Diamond Akanusha Kutoka na Wema
Mume wa dada yake na Diamond, Esma, Petit Man ambaye pia ni mfanyakazi wa kampuni ya Wema Sepetu, Endless Fame Film amekanusha kutoka kimapenzi na na bosi wake huyo.
Akizungumza kwenye kipindi cha na FNL cha EATV jana, Petit alisema anamheshimu Wema kama bosi wake.
“Niko na Wema huu ni mwaka wa nane inasemekana vitu hivyo hivyo,” alisema. “Lakini Wema akiwa tu karibu na mtu basi watu wanasema hivyo. Ilikuwa kwa Mirror wakasema hayo, maneno hayo ni maneno wanayoyaongea. Hakuna kitu...
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Kaka, dada kortini kwa kubaka
WATU wawili, kaka na dada yake wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mpanda, mkoani Katavi kwa tuhuma za kushirikiana kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 12. Waliofikishwa mahakamani ni Alfred...
10 years ago
Bongo516 Oct
Kanye West ampiga marafuku mume wa dada yake na Kim Kardashian kumsogelea mwanae North
11 years ago
CloudsFM29 May
MUME WA MWANAMUZIKI WA NYIMBO ZA INJILI ADAIWA KUMBAKA SHEMEJI YAKE WA MIAKA 17
Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, (jina tunalihifadhi kwa sasa), anatuhumiwa kumbaka shemeji yake mdogo (17).
Taarifa za tukio hilo ziliripotiwa juzi saa 12 jioni katika Kituo cha Polisi Tabata (Tabata Shule), zikimtuhumu mwanamume huyo kwamba alimbaka binti huyo mara tatu na kumsababishia maumivu makali.
Binti huyo alifika katika kituo hicho cha polisi akiwa na ndugu zake wawili ambao walilalamika kwamba kulikuwa na jitihada kubwa kutoka upande wa mtuhumiwa wa kuzima kesi hiyo.
...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx*07ZctfuuCboKsuCJm2j4VNbai2VP20QU3sQzSsPQzY0mQk5sLiqS5mnsxRE2xWzH7KMnJznQcJHN3nArySLQg/mchungaji.jpg)
MCHUNGAJI ADAIWA KUMTOROSHA MWANAMKE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XswnwlaLlAh92Nn5-xKrvxXM6tMarG-Ir8P0aMBGPKaDy-wi*t5y6baPFzM*MbAEuK3R52VnM3XmSvt-zl16hn7tu1LURJkY/3.jpg?width=650)
SNURA ADAIWA ADAIWA KUPORA MUME WA DAVINA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1pYGM2xUDQkBwHEfG2iS0w83qpUcQA884s3p0tOX96DyT2tlIsNBHrHNwbUL*QFq6hqcSeKRTb4s88iIbjByMAjy8UP6Z1mh/kaka.jpg)
KAKA ASIMAMIA FUMANIZI LA DADA'KE!