DADA AMUUA KAKA YAKE KWA KISU KISA
![](http://api.ning.com:80/files/P1afYajBhxA3y2zQlAbVFpgNe4eAp0XepO2O346JAzlGRWPOUVr5dak8TMeLOiZgI5-EXMox-RR*l7Ntk6yJlM28hY2LsBso/BACKUWAZI.jpg)
Stori: Chande Abdallah na Haruni Sanchawa/Uwazi DUNIAÂ imekwisha! Binti mmoja mwenye umri wa miaka 19, Rukia Ally anadaiwa kumuua kwa kumchoma kisu kaka yake wa kuzaliwa, Said Ally wote wakati whga Tegeta Mivumoni, Kata ya Wazo jijini Dar es Salaam, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kutokana na kijana huyo kutaka kudhibiti tabia zisizofaa za dada yake huyo, tukio lililotokea usiku wa Januari 24 mwaka huu. Rukia Ally anayedaiwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/e*Q7chwcF2YcvMs-3TPiK3AUAj6YKlbo*Hqb0C9Od74Kd75QjRs9nwxh06dEISIAMnzJeLOGn4RdOQZ3N4ZurTVikn1XzACV/e.jpg)
KAKA ADAIWA KUMTOROSHA DADA YAKE KWA MUME
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Vlz-VcMBEumUMHVM8iFKXou93GQwqIeb4rqm7FwKyiWF5nsSPM4XFo0nndnXfV4tvZK40yhAOqOfMR8CCEJDnbybOD058MPC/sea.jpg?width=650)
PART III YA ADEBAYOR: KAKA ZANGU WALINIWEKEA KISU SHINGONI KISA FEDHA NA NIMEJARIBU MARA KADHAA KUTAKA KUJIUA
9 years ago
Michuzi13 Oct
MWANAHABARI AMUUA POLISI KWA KISU WAKIGOMBEA MWANAFUNZI
Baadhi ya wakazi wa Babati walisema jana kuwa wanaume hao walikuwa wakimgombea mwanafunzi wa kidato cha pili walipokuwa baa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Christopher Fuime alimtaja aliyeuawa kuwa ni Rashid Haruna (30) mwenyeji wa Mkoa wa Njombe.Kamanda Fuime alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 5.30 usiku eneo la Kitalu X.
Alisema Polisi...
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Kaka, dada kortini kwa kubaka
WATU wawili, kaka na dada yake wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mpanda, mkoani Katavi kwa tuhuma za kushirikiana kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 12. Waliofikishwa mahakamani ni Alfred...
9 years ago
Habarileo11 Sep
Mwalimu afa kwa kuchomwa kisu, kisa wivu wa mapenzi
WATU wawili wamekufa katika matukio mawili tofauti mkoani Kilimanjaro, likiwamo la mwalimu wa shule ya sekondari Minja wilayani Mwanga, Tumaini Magila (27) kumuua mumewe Sweetbert Magila (48) kwa kumchoma kisu, kutokana na wivu wa kimapenzi.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1pYGM2xUDQkBwHEfG2iS0w83qpUcQA884s3p0tOX96DyT2tlIsNBHrHNwbUL*QFq6hqcSeKRTb4s88iIbjByMAjy8UP6Z1mh/kaka.jpg)
KAKA ASIMAMIA FUMANIZI LA DADA'KE!
11 years ago
Habarileo13 Feb
Dada amsaidia kaka kunajisi binti wa miaka 12
MKAZI wa mtaa wa Tambukareli wilayani Mpanda, Helen Simon (20) anashikiliwa Polisi na kaka yake, Afred Mnyonge (24) kwa tuhuma za kumsaidia kaka huyo kumnajisi msichana jirani yao, mwenye umri wa miaka 12.
11 years ago
Tanzania Daima15 Dec
Amuua jirani yake kwa rungu, panga
VILIO na simanzi vilitawala katika Kijiji cha Kikavu Chini, Kata ya Machame Kusini wilayani Hai, baada ya Alex Peter kudaiwa kumshambulia jirani yake aliyefahamika kwa jina la Pili Mnyamvua (65)...
11 years ago
Tanzania Daima18 Mar
Asakwa kwa kumuua kaka yake
WATU wawili wamefariki dunia mkoani Morogoro katika matukio mawili tofauti likiwemo la kijana kumuua kaka yake. Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Faustine Shilogile, alisema tukio hilo limetokea juzi, saa 6...