MWANAHABARI AMUUA POLISI KWA KISU WAKIGOMBEA MWANAFUNZI
ASKALI Polisi wa mjini Babati, Mkoa wa Manyara ameuawa kwa kuchomwa kisu na mtangazaji mmoja wa redio kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
Baadhi ya wakazi wa Babati walisema jana kuwa wanaume hao walikuwa wakimgombea mwanafunzi wa kidato cha pili walipokuwa baa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Christopher Fuime alimtaja aliyeuawa kuwa ni Rashid Haruna (30) mwenyeji wa Mkoa wa Njombe.Kamanda Fuime alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 5.30 usiku eneo la Kitalu X.
Alisema Polisi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Amuua mwenzake wakigombea sigara
11 years ago
Habarileo18 Feb
Amuua mwenzake wakigombea 10,000/-
MKAZI wa Kijiji cha Nyangoto Nyamongo Tarafa ya Ingwe Tarime mkoani Mara, Mwita Samson (23) ameuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali na Munyaru Waigama katika ugomvi wa kugombea Sh 10,000.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/P1afYajBhxA3y2zQlAbVFpgNe4eAp0XepO2O346JAzlGRWPOUVr5dak8TMeLOiZgI5-EXMox-RR*l7Ntk6yJlM28hY2LsBso/BACKUWAZI.jpg)
DADA AMUUA KAKA YAKE KWA KISU KISA
10 years ago
Mtanzania26 Feb
Mwanafunzi aua mwenzake darasani wakigombea daftari
Na Kadama Malunde, Shinyanga
MWANAFUNZI wa darasa la tano katika Shule ya Msingi Ilola, Wilaya ya Shinyanga Vijijini, Mkoa wa Shinyanga, Veronica Venance (12), amefariki dunia baada ya kupigwa na mwanafunzi mwenzake wakati wakigombea daftari darasani.
Tukio hilo limetokea juzi mchana wakati wanafunzi hao wakiwa darasani wakiendelea na masomo.
Akizungumza na MTANZANIA jana kuhusu tukio hilo, Ofisa Mtendaji wa Kata ya Ilola, Mahona Joseph, alidai lilitokea wakati Veronoca alipong’ang’ania...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tei6Zvghx20JZq7BMJs2EW2Po7hlRbkWt-zDNwQBVmGSk0v-KmZ96FRUCMJwqUd-rim-7EKvOYbw5UgkJ3KdK4d*Zl15M-nd/FRONT.jpg)
MWANAFUNZI AMCHOMA KISU DEREVA DALADALA!
11 years ago
BBCSwahili03 Apr
Mwalimu amuua mwanafunzi Kenya
10 years ago
BBCSwahili23 Sep
Chui Buka amuua mwanafunzi India
9 years ago
BBCSwahili12 Oct
Auawa kwa kujaribu kumdunga polisi kisu Israeli
11 years ago
Mwananchi07 Feb
Mtuhumiwa amuua askari polisi kwa jiwe