Mtuhumiwa amuua askari polisi kwa jiwe
Askari polisi F. 5264 PC Sabato (37) wa Kituo cha Polisi cha Longido, wilayani Monduli, ameuawa kwa kupigwa jiwe na mtuhumiwa aliyekuwa akimpeleka mahabusu katika Gereza la Kisongo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMTUHUMIWA WA WIZI WA PIKIPIKI AOKOLEWA NA ASKARI POLISI MOSHI
Askari polisi wa kituo kikuu cha Polisi cha kati akiwa amemshikilia kijana mmoja baada ya kumuokoa toka mikononi mwa madereva bodaboda ambao walikwishaanza kujichukulia sheria mkononi kwa kumuadhibu baada ya kutaka kuiba pikipiki.
Askari katika ofisi ya kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro walilazimika kufunga geti kuzuia kundi kubwa la madereva boda boda na watu wengine wakilazimisha kuingia ili kumfuata mwizi wao...
11 years ago
MichuziMTUHUMIWA WA WIZI WA PIKIPIKI AOKOLEWA NA ASKARI POLISI MOSHI ,NUSURA WAENDESHA BODABODA WAMTOE ROHO
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-TutPqtHSKEY/VNN7ThDmasI/AAAAAAAHB_o/ex3b-jQDxFc/s72-c/unnamed%2B(9).jpg)
ASKARI POLISI ALIYEUAWA KIKATILI AAGWA LEO MKOANI DODOMA, MTUHUMIWA WA MAUAJI AUWAWA NA WANANCHI
Na Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kama Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema kama alivyotoa taarifa jana tarehe 04/02/2015 kuhusiana na kuawa kwa Askari Namba G. 7168 PC JOSEPH ISACK SWAI huko Chango’ombe ya juu Mkoani Dodoma na mtu aliyefamika kwa jina la TISSI S/O SIRIL MALYA.Jeshi la Polisi Mkoa wa Dododoma lilianza msako wa kumtafuta mtuhumiwa huyo baada ya kufanya kitendo hicho cha kinyama cha kumkata kata kwa...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/Islaer-with-Palestina-2.jpg?width=650)
ASKARI WA ISRAEL AMUUA KWA RISASI MSICHANA WA KIPALESTINA
Askari wa Kipalestina akimuweka chini ya ulinzi msichana wa Kiislaer, Hadeel al-Hashlamon. Askari wenzake waki wakimzuia kufanya chochote kwa binti huyo. Hofu ikitanda kwa maaskari hao. Hadeel al-Hashlamon akiwa chini baada ya kupigwa risasi.…
10 years ago
CloudsFM31 Dec
9 years ago
Michuzi13 Oct
MWANAHABARI AMUUA POLISI KWA KISU WAKIGOMBEA MWANAFUNZI
ASKALI Polisi wa mjini Babati, Mkoa wa Manyara ameuawa kwa kuchomwa kisu na mtangazaji mmoja wa redio kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
Baadhi ya wakazi wa Babati walisema jana kuwa wanaume hao walikuwa wakimgombea mwanafunzi wa kidato cha pili walipokuwa baa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Christopher Fuime alimtaja aliyeuawa kuwa ni Rashid Haruna (30) mwenyeji wa Mkoa wa Njombe.Kamanda Fuime alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 5.30 usiku eneo la Kitalu X.
Alisema Polisi...
Baadhi ya wakazi wa Babati walisema jana kuwa wanaume hao walikuwa wakimgombea mwanafunzi wa kidato cha pili walipokuwa baa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Christopher Fuime alimtaja aliyeuawa kuwa ni Rashid Haruna (30) mwenyeji wa Mkoa wa Njombe.Kamanda Fuime alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 5.30 usiku eneo la Kitalu X.
Alisema Polisi...
11 years ago
Habarileo07 Feb
Mshitakiwa aua polisi kwa jiwe
ASKARI Polisi amekufa baada ya kujeruhiwa vibaya kwa jiwe kichwani na mshitakiwa wa kesi ya uvunjaji wa nyumba, Njoke ole Kiripi (34), mkazi wa Olebomba, wilayani longido.
10 years ago
BBCSwahili09 Jun
FIFA;mtuhumiwa ajisalimisha kwa polisi Italia
Mfanyibiashara mmoja aliyekuwa miongoni mwa watu 14 waliotajwa katika kashfa ya rushwa ya FIFA amejisalimisha kwa polisi nchini Italia
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania