Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ASKARI WA ISRAEL AMUUA KWA RISASI MSICHANA WA KIPALESTINA

Askari wa Kipalestina akimuweka chini ya ulinzi msichana wa Kiislaer, Hadeel al-Hashlamon. Askari wenzake waki wakimzuia kufanya chochote kwa binti huyo. Hofu ikitanda kwa maaskari hao. Hadeel al-Hashlamon akiwa chini baada ya kupigwa risasi.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AMFUMANIA MKEWE, AMUUA MWANAUME KWA RISASI

Stori: Francis Godwin, Iringa
KUMBE! Pia mume wa mtu ni sumu! Kikongwe wa miaka 70 aliyejitambulisha kwa jina la Gwerino Ganga amemtwanga risasi mbili mwanaume aitwaye Thadei Mbungu (40) akimtuhumu kuingilia ndoa yake kwa  kuvunja amri ya sita na mama watoto wake. Thadei Mbungu enzi wa uhai wake. Tukio hilo la ajabu lilijiri Oktoba 9, mwaka huu mkoani Iringa ambapo mashuhuda wanadai Mbugu, mbali na kukutwa na mke wa mtu...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtuhumiwa amuua askari polisi kwa jiwe

Askari polisi F. 5264 PC Sabato (37) wa Kituo cha Polisi cha Longido, wilayani Monduli, ameuawa kwa kupigwa jiwe na mtuhumiwa aliyekuwa akimpeleka mahabusu katika Gereza la Kisongo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtoto wa miaka mitatu amuua mdogo wake kwa risasi

Payson Ariz, mtoto wa kiume wa miaka mitatu amemuua mdogo wake wa kiume mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu kwa kumpiga risasi.

 

11 years ago

Mwananchi

Askari FFU Z’bar auawa kwa risasi

Askari wa Kikosi cha FFU, Mohamed Mjombo (Namba E 5607) ameuawa kwa kupigwa risas, huku mwingine akijeruhiwa baada ya majambazi kuvamia hoteli ya kitalii ya Pongwe Bay iliyo Pongwe mkoani Kusini Unguja.

 

11 years ago

Mwananchi

Askari aliyemjeruhi raia kwa risasi akamatwa

Askari PC Joshua anayedaiwa kumpiga risasi tatu mguuni raia wa Kata ya Lang’ata Bora wilayani Mwanga na kumjeruhi vibaya kisha kutoroka, amekamatwa na jeshi hilo na kufikishwa Mahakama ya Kijeshi kwa taratibu za jeshi hilo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwanajeshi wa Israel amuua Mwisraeli kimakosa

Mwanajeshi wa Israel amemuua raia wa Israel Myahudi kimakosa baada ya wawili hao kukabiliana kila mmoja akidhani mwenzake alikuwa Mwarabu aliyepanga kushambulia.

 

10 years ago

Vijimambo

ASKARI WA JESHI LA POLISI AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI YA MDOMONI MKOANI MBEYA

Askari wa jeshi lapolisi, Sajenti Patrick Kondwa amejiua kwa kujipiga risasi akiwa katika ofisi yake kwenye ghala lakuhifadhia silaha katika kituo cha polisi cha wilaya ya mbozi mkoani mbeya.Akizungumza na Paparazi wetu kwanjia ya simu, kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya amekiri kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa chanzo cha kifo hicho bado hakijafahamika na kwamba jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo.Sajenti Patrick mwenye umri wamiaka 54 ,akiwa katika ofisi yake kwenye...

 

10 years ago

Mwananchi

NYANZA: Familia, polisi, kanisa wamtenga askari aliyejiua kwa risasi mdomoni

>Polisi aliyejiua kwa kujipiga risasi mdomoni, Aloyce Mafuru (24), amezikwa katika makaburi ya Mugumu, Wilaya ya Serengeti, Mkoa wa Mara bila huduma za kidini na kijeshi.

 

11 years ago

Mtanzania

Askari wawili wauawa, SMG 10, risasi na mabomu vyaporwa

IGP Mangu

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Mangu

NA PETER MAKUNGA, BUKOMBE

HOFU ya usalama wa raia na mali zao imetanda baada ya askari polisi wawili kuuawa na bunduki 10 aina ya SMG kuporwa katika Kituo Kikuu cha Polisi wilayani hapa.

Uporaji huo umefanywa na watu ambao hawajafahamika baada ya kuvamia kituo hicho saa 9:45 alfajiri na kuwashambulia askari polisi waliokuwa zamu ambapo wawili waliuawa na wengine watatu walijeruhiwa.

Mbali na kupora SMG 10, pia inadaiwa wamefanikiwa kupora risasi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani