Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askari aliyemjeruhi raia kwa risasi akamatwa

Askari PC Joshua anayedaiwa kumpiga risasi tatu mguuni raia wa Kata ya Lang’ata Bora wilayani Mwanga na kumjeruhi vibaya kisha kutoroka, amekamatwa na jeshi hilo na kufikishwa Mahakama ya Kijeshi kwa taratibu za jeshi hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Askari FFU Z’bar auawa kwa risasi

Askari wa Kikosi cha FFU, Mohamed Mjombo (Namba E 5607) ameuawa kwa kupigwa risas, huku mwingine akijeruhiwa baada ya majambazi kuvamia hoteli ya kitalii ya Pongwe Bay iliyo Pongwe mkoani Kusini Unguja.

 

10 years ago

CloudsFM

Young Thug akamatwa kwa kosa la kutishia kumpiga mtu risasi.

Rapper kutoka Atlanta, Young Thug amewekwa chini ya ulinzi mapema siku ya jana huko Sandy Springs, Georgia baada ya kutishia kumpiga risasi mlinzi wa mall.

July 7, Jeffrey Williams au Young Thug alifanya vurugu  kwenye mall hiyo   “ upscale Perimeter Mall” ambapo alitishia kumpiga risasi ya uso mlinzi aliyekua akimtoa nje.

Young thug ni mmoja ya wasanii watakovaa steji ya tuzo za “MTV MAMA” Jumamosi hii.

 

9 years ago

GPL

ASKARI WA ISRAEL AMUUA KWA RISASI MSICHANA WA KIPALESTINA

Askari wa Kipalestina akimuweka chini ya ulinzi msichana wa Kiislaer, Hadeel al-Hashlamon. Askari wenzake waki wakimzuia kufanya chochote kwa binti huyo. Hofu ikitanda kwa maaskari hao. Hadeel al-Hashlamon akiwa chini baada ya kupigwa risasi.…

 

10 years ago

Vijimambo

ASKARI WA JESHI LA POLISI AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI YA MDOMONI MKOANI MBEYA

Askari wa jeshi lapolisi, Sajenti Patrick Kondwa amejiua kwa kujipiga risasi akiwa katika ofisi yake kwenye ghala lakuhifadhia silaha katika kituo cha polisi cha wilaya ya mbozi mkoani mbeya.Akizungumza na Paparazi wetu kwanjia ya simu, kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya amekiri kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa chanzo cha kifo hicho bado hakijafahamika na kwamba jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo.Sajenti Patrick mwenye umri wamiaka 54 ,akiwa katika ofisi yake kwenye...

 

10 years ago

Mwananchi

NYANZA: Familia, polisi, kanisa wamtenga askari aliyejiua kwa risasi mdomoni

>Polisi aliyejiua kwa kujipiga risasi mdomoni, Aloyce Mafuru (24), amezikwa katika makaburi ya Mugumu, Wilaya ya Serengeti, Mkoa wa Mara bila huduma za kidini na kijeshi.

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE WA KISHAPU SULEIMAN NCHAMBI AKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA SILAHA 10, RISASI 536 NA NYAMA 'UWINDAJI HARAMU'




Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Shinyanga ACP Debora Magiligimba akionesha kwa waandishi wa habari silaha alizokamatwa nazo mbunge wa Jimbo la Kishapu Suleiman Masoud Suleiman 'Suleiman Nchambi'.


Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Jeshi la polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Mbunge wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga Mhe. Suleiman Masoud Suleiman maarufu Suleiman Nchambi (CCM) kwa tuhuma za kupatikana na silaha 10, risasi 536 na nyama zinazodhaniwa kuwa ni za wanyawapori kinyume...

 

5 years ago

Michuzi

ASKARI JWTZ WATAKIWA KULINDA MIPAKA NA RAIA KWA NGUVU NA GHARAMA YEYOTE


Baadhi ya Askari wanafunzi wa Shule ya Aawali ya Mafunzo ya Kijeshi RTS Kihangaiko wakiwa katika eneo la mapigano wakati wa zoezi Maliza msata bagamoyo Mkoani Pwani .
Baadhi ya Askari NA wanafunzi Kuruta wa Shule ya Aawali ya Mafunzo ya Kijeshi RTS Kihangaiko wakikimbia na na kifaru wakati wa zoezi Maliza msata bagamoyo Mkoani Pwani .
Mkuu wa shule ya Kihangaiko Kanali Sijaona Myala katikati akishangilia na Kuruti mara baada ya kumaliza zoezi la Mwisho kwa Kuruti hao katika pori la Msata...

 

10 years ago

Vijimambo

PSPF WATOA SEMINA KWA ASKARI NA WATUMISHI RAIA MAKAO MAKUU YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI JIJINI DAR


Afisa Matekelezo Mwandamizi(SCO) wa mfuko wa Pensheni wa PSPF Bi. Matilda A. Nyallu  akitoa elimu ya Mpango wa Uchangiaji wa Hiari kwa Askari na watumishi raia makao makuu ya Wizara ya mambo ya ndani jijini Dar es Salaam Askari na watumishi raia wakifuatilia elimu hiyo iliyokuwa inatolewa na maafisa wa PSPF waliofika makao makuu ya Wizara ya mambo ya ndani kutoa elimu ya  Mpango wa Uchangiaji wa Hiari
Mfuko wa penseni wa PSPF ulipata fursa ya kukutana na kutoa elimu kuhusu huduma mbalimbali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani