PSPF WATOA SEMINA KWA ASKARI NA WATUMISHI RAIA MAKAO MAKUU YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI JIJINI DAR
Afisa Matekelezo Mwandamizi(SCO) wa mfuko wa Pensheni wa PSPF Bi. Matilda A. Nyallu akitoa elimu ya Mpango wa Uchangiaji wa Hiari kwa Askari na watumishi raia makao makuu ya Wizara ya mambo ya ndani jijini Dar es Salaam
Askari na watumishi raia wakifuatilia elimu hiyo iliyokuwa inatolewa na maafisa wa PSPF waliofika makao makuu ya Wizara ya mambo ya ndani kutoa elimu ya Mpango wa Uchangiaji wa Hiari
Mfuko wa penseni wa PSPF ulipata fursa ya kukutana na kutoa elimu kuhusu huduma mbalimbali...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DAR
9 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA IDARA YA UHAMIAJI KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM — AWATAKA WATENDAJI KWENDA NA KASI MPYA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-lUyqF8qGHi4/XnJOZF1PTpI/AAAAAAALkWU/44bUxENF4zkOoMerw0RIqLyJmZpFFD3jgCLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA%2B1.jpg)
KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AWAONGOZA WAJUMBE WA KAMATI YA BUNGE MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA KUPOKEA TAARIFA YA MRADI WA UJENZI MAKAO MAKUU YA NIDA JIJINI DODOMA.
![](https://1.bp.blogspot.com/-lUyqF8qGHi4/XnJOZF1PTpI/AAAAAAALkWU/44bUxENF4zkOoMerw0RIqLyJmZpFFD3jgCLcBGAsYHQ/s640/PICHA%2B1.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-jXtnJTM2doQ/XnJOZKxw_jI/AAAAAAALkWQ/jDWWERpQ8ogJRG12JhCm552lYV3rcZ1RQCLcBGAsYHQ/s640/PICHA%2B2.jpg)
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
HAPA KAZI TU: Naibu Katibu Mkuu Mambo ya ndani ya Nchi atembelea makao makuu ya Idara ya uhamiaji Kurasini jijini Dar es Salaam!
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo (kushoto), akisalimiana na Kamishna wa Uhamiaji (Utawala na Fedha), Piniel Mgonja , wakati wa ziara ya kikazi Makao Makuu ya Uhamiaji,Kurasini jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Sylvester Ambokile.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Sylvester Ambokile (kushoto), akimuonesha Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo, baadhi ya Ofisi za Idara ya Uhamiaji,...
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGUA MAFUNZO YA AWALI KWA WATUMISHI WA IDARA YA WAKIMBIZI, LEO JIJINI DAR ES SALAAM
9 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI NA KUWAPONGEZA KWA KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU KWA AMANI NA UTULIVU
9 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NA KUWATAKA KUBUNI MIRADI MBALIMBALI YA KUONGEZA MAPATO NDANI YA JESHI HILO.
11 years ago
Michuzi26 Jul
MFUKO WA PESHENI KWA WATUMISHI WA UMMA 'PSPF' WATOA SEMINA KWA WASANII WA BONGO MOVIE